Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako
![]()
Hivi mnaijua hai hai Hilo gari ni la pale bomangombe ,kwa hiyo badilisha heading yako gari la bomangombe
Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako
![]()
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.
Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!
"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.
Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
Hilo swali zuri sana kuwauliza CCM,Kuwa walikuwa wapi miaka hamsini ndo leo waseme watatuletea maendeleo.Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.
Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!
"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.
Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
Afu kuanzia leo ukome na ukomae kuniita mi gwanda/UKAWA wala takataka SISIEM, sina chama wala ushabiki na chama chochote kile.Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.
Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!
"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.
Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
Hivi nani kawaloga nyie magamba!! Mtu mzima una comment uchuzi hivi!!!Aibu.mpumbavu wewe ajuza
Afu kuanzia leo ukome na ukomae kuniita mi gwanda/UKAWA wala takataka SISIEM, sina chama wala ushabiki na chama chochote kile.
Kumbe tatizo ni uchaga aisee! Kazi kwelikweli.
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Tatizo ni wivu unakusumbua.toka tupate uhuru sisiemu yenu imeshindwa kuteletea gar kama hilo, mbunge katuletea roho inakuuma kweli...😀jinyonge
Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.
utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, Makaratasi ndiyo toilet paper zao.
Usijitoe ufahamu binti.. hiyo gari maandishi ya ubavuni yana jubu lako. Badilika japo Ramadhan ipite kisha urudi kwenye pumba zako.Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Ni mfanyabiashara kwenye mahoteli ya kitalii.
Nikikuambia mirembe kunakuhusu hutaki sasa ndio umeandika nini.Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?
Hizo gari huko Hai si atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.
Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!
"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.
Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
Kuna ubinafsi zaidi ya kuuweka mchepuko bungeni? Akaukatisha safari za Serikali na kuupeleka Dubai kwa gharama za Serikali (ubadhirifu)?
Hapo mnapigwa changa la macho tu, wewe mrangi leo huwajuwi wachagga? Kuna mchagga duniani akupende wewe zaidi ya maslahi yake?
Hivi wewe hufikirii hilo gari kama si kwenda kujionesha Hai ni nini? Likabebe taka gani huko? kuna njia za kulipitisha hilo huko?
Hivi huwa hamna hata fikra kidogo?
Fikiri.