Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.

Nilichogundua hapa ni wivu naona enzi za ujana wako ulipigwa kibuti na mchagga unalo.
 
FaizaFoxy [a puppet]

Kazi ya mbunge kwa mujibu wa katiba ni kuwawakilisha wananchi, kutunga sheria na kuisimamia serikali, ila mbunge wetu kaenda mbele zaidi.
Magamba Jinyongeni😀
 

Attachments

  • 1434620573829.jpg
    1434620573829.jpg
    33.8 KB · Views: 80
  • 1434620605079.jpg
    1434620605079.jpg
    29.2 KB · Views: 78
Last edited by a moderator:
Hata kama kaomba msaada, kwani alilazimishwa akaombe? alijituma mwenyewe na neno sahihi la mtu aliyejituma mwenyewe ni kajitoliea.

Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
mbaguzi sana; kwa vile ni mwenyekiti kila msaada anapeleka machame


juzi
barabara - magufuri kafungua barabara ya kijiji sio tanroad wala nin

ambulance 2 - kapeleka jana

ujenzi wa shule- ili hali sio ilani ya chadema kama lissu alivyowambia wasichangie singida

gari la takataka - kijiji cha machane - badala ya kumletea mnyika anayezalisha tani 367 kwa siku
 
mbaguzi sana; kwa vile ni mwenyekiti kila msaada anapeleka machame


juzi
barabara - magufuri kafungua barabara ya kijiji sio tanroad wala nin

ambulance 2 - kapeleka jana

ujenzi wa shule- ili hali sio ilani ya chadema kama lissu alivyowambia wasichangie singida

gari la takataka - kijiji cha machane - badala ya kumletea mnyika anayezalisha tani 367 kwa siku

Teh teh teh. Kazi ya mbunge kwa mujibu wa katiba ni kuwawakilisha wananchi, kutunga sheria na kuisimamia serikali.ubaguzi upi!!! Ilalamikie serikal yako inayokusanya kodi temana na mbunge wetu heroo.
 
Ikifika kipindi cha uchaguzi kunakuwa na vituko sana, mara huyu katoa Ambulance mara mwingine katoa gari la taka tena kwa kuandika jina lake kabisa "Donated by flani". Hivi siku zote, miaka minne yote tangu mchaguliwe mlikuwa wapi? Mfano mnzuri na wa kupigiwa makofi ni Deo Filikunjombe pekee, huyu bwana tangu amekuwa mbunge amekuwa akitoa misaada, hakusubiri kipindi cha uchaguzi ili awalaghai wananchi kama wanavyofanya hawa wengine.
 
safi sana kaka Mboe. Natamani na Mbunge wa Dodoma mjini angefanya hivyo ingekuwa poa sana, maana mji wa dodoma karibu wote utakuwa ni jalala kwasababu ya kuzagaa kwa takataka.
 
Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
Tapeli la kutupwa ni Lowasa anaye gawa hela kama njugu.Nchi ya wamaskini hii kazipata wapi?kama kakopa ata zirudishaje?Monduli kuna gari la taka la kisasa kama hilo?si tapeli linalo taka kuingia ikulu kwa kuhonga?
 
Unapajua hai? au una shutashuta tu hapa!!Kama hamna barabara ni jukumu la nani kutengeneza izo barabara? Kumbe we mama kichwa maji namna hii!!!

Hai lami si barabaraba ya Moshi Arusha tu> au hilo la Panone si mseme kweli tu.
 
Back
Top Bottom