Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Nenda mahakamani kashitaki
Hata nisipoenda mahakamani, wananchi watamuadhibu oktoba.
Nenda mahakamani kashitaki
Ndg. Mapunga, unanionea bure tu, mimi nimehoji, kwanini Freeman hakutoa huo msaada siku zote akasubiri miezi kadhaa kabla ya uchaguzi ndipo anatoa? Huoni kama ni ulaghai wa kisiasa huo? That means uchaguzi ukipita hakuna kinachoendelea mpaka uchaguzi mwingine ukaribie tena.
Mkuu FaizaFoxy bora yeye Mh. Mbowe ameomba msaada na unaonekana wazi. Wale wa kule kwa shangaazi wanaotapatapa sasa kwa kuandika maandiko ya miradi kudanganya wananchi mbona sijaona misaada yao? Ninaamini wanapata wanakula na familia maana chama chao ndivyo kilivyo. Halafu uchu wa madaraka hatari. Sijui mpaka kipenga cha mwisho msafara utakuwa unavuka mpaka wa Kenya @ wanaotangaza nia!!
Wewe hata ulichoandika sikuelewi, jipange upya.
Hata nisipoenda mahakamani, wananchi watamuadhibu oktoba.
Hilo gari ni rushwa.
Mkuu, wamepanic, waonee huruma tu.
Wewe hata ulichoandika sikuelewi, jipange upya.
Amepata wapi fwedha?
Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako
![]()
Jamani hivi Musalani aliendaga wapi
Si kosa lako...... Ni kosa la kukosa ndoa za mwezi wa Ramadhan naona zimekupita kushoto......... Umechuja....... Ajuza........
Hata kwa karne hutoweza kumuelewa.
We subiria huko mkuranga upewe kitenge na kofia, ubwabwa. ..alafu muende ngomani tu s.h.n.z typ
Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Karne unaijuwa wewe au unabwabwaja tu?
Wivu huna ila una roho ya kunguni
Cdm ni kiboko yenu na lazima mkae tu