Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,211
Reaction score
137,616
Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako
attachment.php


Wana nchi wanao ongozwa na wapinzani haswa chadema kwenye majimbo yao wana mengi ya kujivunia na wamechagua njia bora kabisa ya kuharakisha maendeleo yao.

Hii inaonyesha kuwa upinzani ni neema na baraka kwenye majimbo hivyo tujifunze kwa na wenzetu na majimbo mengine tuige kwa maendeleo yetu na vizazi vyetu.

Tunajua wataongea mengi lakini tusivunjike mioyo tuchague njia na fungu sahihi kwa maendeleo ya taifa letu.

Hongera chadema ,hongera wananchi wa hai mkoani kilimanjaro.

Maendeleo siyo bahati wala maneno mengi bali ni mipango makini inayofanywa na watu makini kama kaka yetu freeman mbowe .
 

Attachments

  • mbowe.jpg
    mbowe.jpg
    28.2 KB · Views: 6,668
Ingekuwa ni mbunge wako kapewa msaada na waarab wa Dubai ungesema mbunge wetu noma kaua, leo katupa msaada wa gari la taka. CCM na waarab oyee!

Mbunge wetu angesema limetoka kwa nani, hatuna ubinafsi sisi - kumbuka hilo.
 
Nyie magamba mkipewa misaada inaishia kwa viongozi tu na familia zao, sana sana viongozi wataenda kuwahonga vima. ... zao
 
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
Si kama nyie magamba eti mshaanza kuchonga bara bara za uswazi kisa uchaguzi, sana sana m naleta vumbi tu
 
Freeman ni mbunge wetu na ametufanyia mengi sana mema na ya kuigwa poleni na roho zenu mbaya kwa wanaomchukia
 
Back
Top Bottom