Mbunge wetu angesema limetoka kwa nani, hatuna ubinafsi sisi - kumbuka hilo.
Faizafox hata siku moja hawezi kuona lolote jema linalofanywa na wasio wana ccm, haya hamna neno lakini mimi naamini hata huko unakosema mko sawa kuna madudu mengi tu yasiyo sawa, ndo maana leo dola iko tsz 2215/-.
Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Kajitolea au kaomba msaada CDU?
Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"
Jakaya Kikwete.
Alikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.
Aseme basi ni msaada wa CDU na si wake.
Ndugu yangu wewe ni msanii sanaAlikuwa wapi siku zote? Tapeli la kisiasa hilo.