MgungaMiba
JF-Expert Member
- Aug 28, 2011
- 999
- 816
Una uhakika kuwa Freeman Mbowe hajafanya lolote tangu achaguliwe zaidi ya hili gari la kuzoa taka? Au unajiropokeatu?Ikifika kipindi cha uchaguzi kunakuwa na vituko sana, mara huyu katoa Ambulance mara mwingine katoa gari la taka tena kwa kuandika jina lake kabisa "Donated by flani". Hivi siku zote, miaka minne yote tangu mchaguliwe mlikuwa wapi? Mfano mnzuri na wa kupigiwa makofi ni Deo Filikunjombe pekee, huyu bwana tangu amekuwa mbunge amekuwa akitoa misaada, hakusubiri kipindi cha uchaguzi ili awalaghai wananchi kama wanavyofanya hawa wengine.