Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Freeman Mbowe, awanunulia watu wa Hai gari la takataka

Mbowe amefanya kitu chema lakini siasa imeingia ushabiki maandazi hadi kero
 
Yaani wewe ni pumb@..v na utazidi kuwa pumb@..v,viongozi wako toka kwa magamba wamejaa ubinafsi uroho mpaka wanawasahau wananchi wao.
ona viongozi wa ukawa walivyokuwa syovwanabinafsi hata kama anapewa msaada lkn inawafikia walengwa, syo nyie magamba mkipewa msaada mnapiga til taka tu.
Hebu badilika wewe maana ww ni msukule wa ccm.. FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Kuna ubinafsi zaidi ya kuuweka mchepuko bungeni? Akaukatisha safari za Serikali na kuupeleka Dubai kwa gharama za Serikali (ubadhirifu)?

Hapo mnapigwa changa la macho tu, wewe mrangi leo huwajuwi wachagga? Kuna mchagga duniani akupende wewe zaidi ya maslahi yake?

Hivi wewe hufikirii hilo gari kama si kwenda kujionesha Hai ni nini? Likabebe taka gani huko? kuna njia za kulipitisha hilo huko?

Hivi huwa hamna hata fikra kidogo?

Fikiri.
 
wee mama wee acha chuki zitakuua..kwani hilo gari linatakiwa kupita kwnye barabara za aina gani ambazo hai hakuna?wakati mwingine unajitoa ufahamu hadi unaboa...october utakufa kwa presha wewe
 
haya mbunge wako mtemvu kasaidia nini temeke ? au ndio kaleta miss Tanzania kikongwe mwenzio ?

Safi sana mbowe we unajali mazingira

Viongozi inabidi waige kutoka kwako kwa kuwa na moyo wa kujitolea kwa wapiga kura wako

Mbowe amefanya kitu chema lakini siasa imeingia ushabiki maandazi hadi kero

Magamba wanajuaga kutoa khanga tu kwa wasiojielewa

serikali yako huwa inaomba wapi?

mbunge wako ametoa mangapi jimboni kwako?

Hakuna siku magwanda mmenichekesha kama leo, mnashangilia gari la taka?

Hizo gari huko Hai sijuwi atabebea nini? maana huko hakitupwi kitu, utumbo na mavi yake hautupwi watu wanakula tu, ngozi za mbuzi watu wanakula tu, maganda ya ndizi ndiyo usiseme, chakula cha mbuzi. Makaratasi ndiyo toilet paper zao. Mifuko ya plastiki huko haitupwi inakusanywa na iliyochanika inaunganishwa na chupa tupu za plastiki inakwenda kuuzwa.

Nyie mnafikiri hata mji wa Moshi kwanini hauna taka? haitupwi taka huko seuse Hai. Cheza na wachagga!

"Wewe ulifkirrri hii mifuko niliokotaaa? nilinunua kwa pesaaa, sasa unaitupa ya niniii?" Chagga accent.

Sasa hilo gari la taka huko litabeba nini? Nnashaangaa!
 
apa tatizo sio kujitolea tatizo timing anajiandaa kuwalaghai wapiga kura wa hai ktk dakika za majeruhi
 
Nimeipenda hii rushwa nzuri sio maflana na makofia ya kijani
 
.. FaizaFoxy nyie mmezidi ubinafsi! Nyie mkuranga mbunge wenu kawafanyia nn nyangau nyie.
Viongozi ukawa hutoa ambulance, magari ya kufanyia usafi, etc nyie mnaishiwa kupewa kofia na kanga tu...misukule ya c..c.. nyie
 
Last edited by a moderator:
Naona mkikosa hoja mnakimbilia "dini", "udini", "Mdini".

Hivi Hai hilo gari linakwenda kubeba taka zipi?

Vasco dagama mkwere akienda kuomba nje anaomba chupi na kondomu.Wewe bibi kizee mwambie mkwere aige kwa Mbiwe
 
Hujamsikia Mama fisadi wa kagera anavyohangaikia msaada wa maji toka kwa wafadhili???hebu tutajie mradi mmoja tu ambao CCM wamefanya bila hela ya wafadhili?
Mwaka wa uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi sana.
 
Back
Top Bottom