mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
Hapana hapana sasa imetosha Mhe. Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti. Mpeni Mhe. Sumaye.
Huu sio ushauri bali ni uhuni. Mimi siafiki Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti, lakini kama unayeshauri awe mwenyekiti ni Sumaye, basi bora Mbowe aendelee tu. Hakuna mtu aliyekuwa mwanaccm anayeweza siasa za upinzani kwani wengi wao walibweteka na siasa za mbeleko. Tena inatakiwa huyo Sumaye atolewe cdm mara moja maana ni useless na Yuko cdm kwa faida ya ccm.