Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Nakubaliana na wewe mkuu, japo ni vizuri zaidi wakati wa hizo kura Mbowe awe pembeni ya kinyang'anyiro. Hii ni kwa heshima ya taasisi kubwa kama cdm na demokrasia ya kupokezana vijiti.
Tatizo la chadema linaanzia kwa wanachama wenyewe hadi kwa viongozi wao, mfano mbowe angeweza shauriwa na miongoni mwa wanachama akae pembeni awapishe wengine huku yeye akiendelea kuwa mshauri Mkuu Wa ndani ya chama, kiukweli kwa mtazamo wangu chadema inahitaji reform ya ndani, nadeclare interest sio mshabiki Wa chama chochote ila napenda changes kwenye nchi yetu pendwa.
 
Wanajivunia kuiba
Hapana mkuu, uchaguzi wa mwakani msipokuwa makini mtajikuta mnavutana na ACT huku CCM ikipata upenyo. Viongozi wawe makini sana kuweka maslahi binafsi pembeni na kuunda ushirikiano. Mkiendelea kumbeza Zitto kuwa ni kibaraka (japo kweli haaminiki) atawaumiza.
 
Hiyo ndiyo itakuwa furaha ya watawala hakuna haja ya kuwa na mashaka
 
Hapana hapana sasa imetosha Mhe. Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti. Mpeni Mhe. Sumaye.
 
Hata mkisema mara 10 000. Haitusaidii kitu yaani leo hii ndiyo mnamuna lissu ana nafasi kwenu wakati mmeshamfukuza kwenye ubunge?

Wacheni unafiki wenu huo
Acha ushamba, unaposema haiwasaidii we na nani? Kuondolewa ubunge kuna husiana vp na Lissu kuwa mwenyekiti cdm km siyo akili ya chato? Iko hv kwa Tz hiyo biashara ya kumtegemea binadamu moja haipo na haitakuwepo unless mnataka cdm iwe sawa na the likes of tlp.
 
Whatever jambo la msingi mnakaribishwa tupige kura tu
Mi naongea maslahi ya chama kikuu cha upinzani Tz na nafikiri mbowe anaelewa hilo na km haelewi this time tutamwelewesha kuwa Tz hatuna utamaduni wa kumtegemea binadamu moja na kwamba km ni yeye pekee ndo anaweza kuwa mwenyekiti na bila yeye cdm itakufa basi ife yeye akiwa hai na Tundu Lissu
 
Uchaguzi ni mwezi wa desemba karibu sana utumie haki yako
Mi naongea maslahi ya chama kikuu cha upinzani Tz na nafikiri mbowe anaelewa hilo na km haelewi this time tutamwelewesha kuwa Tz hatuna utamaduni wa kumtegemea binadamu moja na kwamba km ni yeye pekee ndo anaweza kuwa mwenyekiti na bila yeye cdm itakufa basi ife yeye akiwa hai na Tundu Lissu
 
Kama nia yako ni matusi nitakutukana mpaka utalia
Acha ushamba, unaposema haiwasaidii we na nani? Kuondolewa ubunge kuna husiana vp na Lissu kuwa mwenyekiti cdm km siyo akili ya chato? Iko hv kwa Tz hiyo biashara ya kumtegemea binadamu moja haipo na haitakuwepo unless mnataka cdm iwe sawa na the likes of tlp.
 
Yaani umejiunga jana tu jf kwa nia ya kutukana watu?
Jifunze kujenga hoja basi
Acha ushamba, unaposema haiwasaidii we na nani? Kuondolewa ubunge kuna husiana vp na Lissu kuwa mwenyekiti cdm km siyo akili ya chato? Iko hv kwa Tz hiyo biashara ya kumtegemea binadamu moja haipo na haitakuwepo unless mnataka cdm iwe sawa na the likes of tlp.
 
Hata ukitaka awe chakubanga mwambie aje agombee au mpandikizeni lipumba aje tu
Sasa hapa hoja yako ni nini? Km we ni paid troll wa mbowe basi mbowe hana tofauti na chakubanga based on types of trolls they recruit, low iq bots. By the way chakubanga aweza pia kuwa mwenyekiti wa cdm km ambapo lowassa amekuwa mgombea uraisi wa cdm baadaya kukatwa kule na chakubanga.
 
Huna sifa ya kubishana na mimi
Sasa hapa hoja yako ni nini? Km we ni paid troll wa mbowe basi mbowe hana tofauti na chakubanga based on types of trolls they recruit, low iq bots. By the way chakubanga aweza pia kuwa mwenyekiti wa cdm km ambapo lowassa amekuwa mgombea uraisi wa cdm baadaya kukatwa kule na chakubanga.
 
Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie

– Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote za chama. Mbowe anaendesha chama kama ofisi binafsi.n.k

Maneno haya yanajirudia kila msimu wa uchaguzi wa chama hicho.

Tuliyasikia wakati wa Chacha Wangwe. Wakati wa Zitto Kabwe. Sasa Kigogo wa ‘twita’ anayarudia kwa namna ileile. Kwa mwenye akili timamu hii inachosha.

Kama hizi ndiyo propaganda basi hizi ni za kipumbavu. Kichekesho zaidi ni wanaozitumia kushindwa kuelewa kuwa hazina mashiko. Uchaguzi wao ukiisha na haya maneno yanaisha.

Tuwekane sawa kwenye hili. Chama kinachopigania ukombozi au kutaka kushika dola, kikipata kiongozi imara hakimbadilishi ovyoovyo. Hii ni ‘prinsipo’. Yasser Arafat kafa akiwa kiongozi wa PLO kwa miaka mingi kule Palestina.

Dunia nzima, kiongozi wa namna hii huondolewa kwa kushindwa kustawisha chama na si vinginevyo. Huyu ndiye Mbowe.

Ukiwa na kiongozi asiye na msimamo mtaishia kuwa na vyama visivyosikika. Akili za Mbowe, msimamo wake, uchumi wake. Ndiyo yaliyopelekea akute chama kina wabunge watano na sasa wako sabini.

Unamuondoaje? Labda kama huna nia ya kushika dola. Propaganda za kula ruzuku lazima zife kibudu.

Kuna watu wakisikia shamba la Mbowe limeharibiwa na DC wanawaza matembele, nyanya chungu, sukuma wiki, kabeji na matuta ya viazi – wanalifananisha na mashamba ya bibi na babu zao huko Mpwapwa au Malinyi kama siyo Matombo.

Tunatakiwa kumshangaa Mbowe kuacha utajiri chekwa wa familia yake na kuja kuhangaika na siasa huku mitaani na kina Sugu.

Mwanzoni watu walikuwa ‘bize’ na Kigogo huko ‘twitani’. Kuna wakati akataka aniteke kiakili na mimi. Lakini kuanzia kwenye suala la ‘flash’ za ajali ya yule kigogo wa ukweli. Nikaanza kupata shaka. Ni sampuli ya watu wanaoamua kujipa nafuu ya nafsi zao kwa kuandika wanachojisikia.

Lowassa, aliitwa fisadi kila siku. Watu wakachoka kuona mtu mmoja anabebeshwa zigo lote la ufisadi. Kwanini hashtakiwi? Kwanini sasa hafungwi? Maswali yasiyo na jibu yalipelekea ageuke shujaa 2015.

Ndiyo Mbowe, shutuma anazopewa mbona Msajili wa vyama na CAG hawajawahi kusema lolote? Hata wapinzani wa Mbowe wamechoshwa nazo.

Tufanye siasa safi, zenye tija na manufaa kwa nchi. Hizi za ovyo ni upuuzi.

#Mbowe Tano Tena#
Sawa mh Mbowe kwa kujifagilia!!

Kwa hiyo kwa wanachama woooote wa CDM Mbowe pekee ndiye mwenye uwezo wa kuongoza na kukuza chama. Hakuna mwanachama hata m1 mwenye uwezo km wa Mbowe au hata zaidi ya Mbowe ktk wanachama wote wa CDM?

Huoni kama hayo ni matusi na dharau kwa wana CDM ambao ni wengi na wapo wenye elimu zaid ya Mbowe?

Elewa hata hao viongozi wa ukombozi uliyowatolea mfano waliongoza vyama vyao kwa mda mrefu wakati nchi zao zina wasomi wachache. Je kwa CDM unaweza kusema wasomi ni wachache?

ACHA HAYO MATUSI YA REJA REJA
 
Naona povu linakuvuja wakati hata access ya kupiga kura huna [emoji111]

Mkuu kwa akili km hz za kwako cdm haiwezi kwenda mbele. Ni hv acheni upuuzi, mbowe ameshafanya yake inatosha. Mwenyekiti na mgomnea uraisi wa Tz ajaye ni Tundu Lissu period.
[/QUOTE]Sawa sina access na kura na nyie wenye nayo ni beneficiaries kwa mbowe kuendelea kuwa chair na mko mfukoni mwake na kwamba yeyote anayepinga ni lumumba. This time huo upuuzi hautafanikiwa, rest assured nyie wote wenye access kuwa this time mwenyekiti wa cdm ni Tundu Lissu
 
Hakuna kiongozi anayekosa wapambe, lakini kiukweli Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm sio afya kwa cdm. Tunaosema hivi tuna mapenzi mazito na cdm kama taasisi, kuliko wapambe wake wachache wenye maslahi naye binafsi. Huu ni wakati sahihi wa mtu kama John Heche au Marcus Albanie kuwa mwenyekiti wa cdm, na Mbowe kubaki kama mjumbe maalum (VIP) wa cdm kwa afya ya chama.
John Heche ni mpiga kelele na siyo kiongozi. Siyo kila mwenye uwezo wa kuongea ana uwezo wa kuongoza. Kwa kuthibisha hilo fanya uchunguzi katika jimbo la Heche utabaini kama kweli anacho kipawa cha uongozi. Kama katika jimbo lake kachokwa kwa miaka mi4 tu ya uongozi wake vipi kuwa kingozi wa kitafa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom