Mbowe Tano TenaNi kweli, ila sio kwa cdm ile iliyokuwa inashine. Kaa kumtetea Mbowe kwa maslahi yako binafsi, lakini ujue Mbowe ataiongoza cdm inayoshuka, moja ni kwa hujuma za vyombo vya dola, na pili kwa yeye kuchuja na kuifubaza cdm kwa kuishiwa na mbinu. Wakati ukuta hata atanyeje kwa sasa ni muda wake wa kushuka, hivyo ni bora ashuke mwenyewe kuliko akishushe na chama.
Mbowe afananishwa na Yasser ArafatChadema kopi ya orijino sidhani kama kuna haja ya kufanya uchaguzi, maana mwenyekiti anafahamika. Kwani kuna wa kumpindua??
Haahaa Mkuu wenzako wanasema huko chadema hakuna mwenyekiti uwezo Wa kuwa mwenyekiti kumzidi mbowe.Angalia utaitwa msaliti soon.
Wanashindwa kuelewa kuwa Baba Yake Mbowe alimfadhili Nyerere kwenda kwa malkia kudai uhuru.Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie
– Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote za chama. Mbowe anaendesha chama kama ofisi binafsi.n.k
Maneno haya yanajirudia kila msimu wa uchaguzi wa chama hicho.
Tuliyasikia wakati wa Chacha Wangwe. Wakati wa Zitto Kabwe. Sasa Kigogo wa ‘twita’ anayarudia kwa namna ileile. Kwa mwenye akili timamu hii inachosha.
Kama hizi ndiyo propaganda basi hizi ni za kipumbavu. Kichekesho zaidi ni wanaozitumia kushindwa kuelewa kuwa hazina mashiko. Uchaguzi wao ukiisha na haya maneno yanaisha.
Tuwekane sawa kwenye hili. Chama kinachopigania ukombozi au kutaka kushika dola, kikipata kiongozi imara hakimbadilishi ovyoovyo. Hii ni ‘prinsipo’. Yasser Arafat kafa akiwa kiongozi wa PLO kwa miaka mingi kule Palestina.
Dunia nzima, kiongozi wa namna hii huondolewa kwa kushindwa kustawisha chama na si vinginevyo. Huyu ndiye Mbowe.
Ukiwa na kiongozi asiye na msimamo mtaishia kuwa na vyama visivyosikika. Akili za Mbowe, msimamo wake, uchumi wake. Ndiyo yaliyopelekea akute chama kina wabunge watano na sasa wako sabini.
Unamuondoaje? Labda kama huna nia ya kushika dola. Propaganda za kula ruzuku lazima zife kibudu.
Kuna watu wakisikia shamba la Mbowe limeharibiwa na DC wanawaza matembele, nyanya chungu, sukuma wiki, kabeji na matuta ya viazi – wanalifananisha na mashamba ya bibi na babu zao huko Mpwapwa au Malinyi kama siyo Matombo.
Tunatakiwa kumshangaa Mbowe kuacha utajiri chekwa wa familia yake na kuja kuhangaika na siasa huku mitaani na kina Sugu.
Mwanzoni watu walikuwa ‘bize’ na Kigogo huko ‘twitani’. Kuna wakati akataka aniteke kiakili na mimi. Lakini kuanzia kwenye suala la ‘flash’ za ajali ya yule kigogo wa ukweli. Nikaanza kupata shaka. Ni sampuli ya watu wanaoamua kujipa nafuu ya nafsi zao kwa kuandika wanachojisikia.
Lowassa, aliitwa fisadi kila siku. Watu wakachoka kuona mtu mmoja anabebeshwa zigo lote la ufisadi. Kwanini hashtakiwi? Kwanini sasa hafungwi? Maswali yasiyo na jibu yalipelekea ageuke shujaa 2015.
Ndiyo Mbowe, shutuma anazopewa mbona Msajili wa vyama na CAG hawajawahi kusema lolote? Hata wapinzani wa Mbowe wamechoshwa nazo.
Tufanye siasa safi, zenye tija na manufaa kwa nchi. Hizi za ovyo ni upuuzi.
#Mbowe Tano Tena#
Mbowe Tano TenaUmeandika utetezi mrefu sana, inaonyesha unataka kufucha ukweli , malalmiko ya ufujaji pesa chadema yapo, tena yanafanyika bila aibu wala kuogopa.
Lakini tusisahau, Mbowe kakijenga chama na sidhani kama chadema kitapa kiongozi zaidi yake.
Yupi mwanachama Wa ccm? hapa ndani unawajua wote Mkuu?Mwanachama wa CCM hawezi kuwa msaliti ndani ya CDM.Kasaliti nini?
Umenena ukweli mtupu mkuuWanashindwa kuelewa kuwa Baba Yake Mbowe alimfadhili Nyerere kwenda kwa malkia kudai uhuru.
TATIZO KUBWA MBOWE HAFIKI BEI NA SII MNAFIKI.
Anayetumia pesa za umma kujenga chato hasemwi
Tunajuana wote ndiyoYupi mwanachama Wa ccm? hapa ndani unawajua wote Mkuu?
Kwa hiyo Mkuu kwenye chama chenu asiyekybaliana na mwenyekiti anatumiwa? Vipi wale Wa ccm wasiokubaliana na viongozi wao nao watumiwa?Hatuna muda wa kupoteza kubishana na watu kama nyinyi mnao tumiwa
Umeandika utetezi mrefu sana, inaonyesha unataka kufucha ukweli , malalmiko ya ufujaji pesa chadema yapo, tena yanafanyika bila aibu wala kuogopa.
Lakini tusisahau, Mbowe kakijenga chama na sidhani kama chadema kitapa kiongozi zaidi yake.
Awami ngapi anaruhusiwa kuongoza mwenyekiti?Kuhusu nini?
Tuna subili mpaka lisu aludi ndipo tutaitisha uchaguzi wa kumpata mwenyekiti mpyakwani uchaguzi nafasi ya mwenyekiti lini? Utaratibu ukoje? Je wagombea wa nafasi ya mwenyekiti lini wanaanza chukua fomu? Je fomu ni bei gani? Kurejesha fomu lini? Maana hizo ndo sifa za demokrasia pia Mkuu.
Sawa kamanda,Mbowe afananishwa na Yasser Arafat
Kwa hiyo Mkuu kwenye chama chenu asiyekybaliana na mwenyekiti anatumiwa? Vipi wale Wa ccm wasiokubaliana na viongozi wao nao watumiwa?
Wanachama wakiamua bila shinikizo, hakuna tatizoKuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie
– Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote za chama. Mbowe anaendesha chama kama ofisi binafsi.n.k
Maneno haya yanajirudia kila msimu wa uchaguzi wa chama hicho.
Tuliyasikia wakati wa Chacha Wangwe. Wakati wa Zitto Kabwe. Sasa Kigogo wa ‘twita’ anayarudia kwa namna ileile. Kwa mwenye akili timamu hii inachosha.
Kama hizi ndiyo propaganda basi hizi ni za kipumbavu. Kichekesho zaidi ni wanaozitumia kushindwa kuelewa kuwa hazina mashiko. Uchaguzi wao ukiisha na haya maneno yanaisha.
Tuwekane sawa kwenye hili. Chama kinachopigania ukombozi au kutaka kushika dola, kikipata kiongozi imara hakimbadilishi ovyoovyo. Hii ni ‘prinsipo’. Yasser Arafat kafa akiwa kiongozi wa PLO kwa miaka mingi kule Palestina.
Dunia nzima, kiongozi wa namna hii huondolewa kwa kushindwa kustawisha chama na si vinginevyo. Huyu ndiye Mbowe.
Ukiwa na kiongozi asiye na msimamo mtaishia kuwa na vyama visivyosikika. Akili za Mbowe, msimamo wake, uchumi wake. Ndiyo yaliyopelekea akute chama kina wabunge watano na sasa wako sabini.
Unamuondoaje? Labda kama huna nia ya kushika dola. Propaganda za kula ruzuku lazima zife kibudu.
Kuna watu wakisikia shamba la Mbowe limeharibiwa na DC wanawaza matembele, nyanya chungu, sukuma wiki, kabeji na matuta ya viazi – wanalifananisha na mashamba ya bibi na babu zao huko Mpwapwa au Malinyi kama siyo Matombo.
Tunatakiwa kumshangaa Mbowe kuacha utajiri chekwa wa familia yake na kuja kuhangaika na siasa huku mitaani na kina Sugu.
Mwanzoni watu walikuwa ‘bize’ na Kigogo huko ‘twitani’. Kuna wakati akataka aniteke kiakili na mimi. Lakini kuanzia kwenye suala la ‘flash’ za ajali ya yule kigogo wa ukweli. Nikaanza kupata shaka. Ni sampuli ya watu wanaoamua kujipa nafuu ya nafsi zao kwa kuandika wanachojisikia.
Lowassa, aliitwa fisadi kila siku. Watu wakachoka kuona mtu mmoja anabebeshwa zigo lote la ufisadi. Kwanini hashtakiwi? Kwanini sasa hafungwi? Maswali yasiyo na jibu yalipelekea ageuke shujaa 2015.
Ndiyo Mbowe, shutuma anazopewa mbona Msajili wa vyama na CAG hawajawahi kusema lolote? Hata wapinzani wa Mbowe wamechoshwa nazo.
Tufanye siasa safi, zenye tija na manufaa kwa nchi. Hizi za ovyo ni upuuzi.
#Mbowe Tano Tena#
Upo sawa kabisa mkuu katibu amezidi kuwa bariidi sanaNafasi ambayo nadhani kwa sasa inahitaji mbadala ni nafasi ya katibu mkuu.
Hivi uenyekiti ccm huwa mchakato wake ukoje?kwani uchaguzi nafasi ya mwenyekiti lini? Utaratibu ukoje? Je wagombea wa nafasi ya mwenyekiti lini wanaanza chukua fomu? Je fomu ni bei gani? Kurejesha fomu lini? Maana hizo ndo sifa za demokrasia pia Mkuu.