Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

Mkuu bado upo?

Habari za siku nyingi?

Umepotea, Umeibuka, Mbowe bado upo tu!

Kwa sasa hoja zinazoletwa ni kama vile bila uwepo Mbowe ni uwepo wa CHADEMA! Yaani Mbowe akitangulia mbele ya haki hata CHADEMA kinatangulia mbele ya haki!
Mbowe Tano Tena
 
Molemo huo ndiyo ukweli sisi wanachama ambao tunajitolea kutumia muda wetu kuitetea cdm kwa matumaini ya kuwa ipo siku cdm itasimama pamoja na mitihani yoote tunayopitia
Ninaomba nisilijibu hili kwa sasa ila maoni ya wanachama wengi tumeyachukua na tutamshauri Mwenyekiti ipasavyo
 
#Mbowe Tano Tena#

Mkuu kwa akili km hz za kwako cdm haiwezi kwenda mbele. Ni hv acheni upuuzi, mbowe ameshafanya yake inatosha. Mwenyekiti na mgomnea uraisi wa Tz ajaye ni Tundu Lissu period.
[/QUOTE]
Ni kituko wewe mwanaccm kuitakia mema CDM na kuichagulia kiongozi.
Unajifanya kumpenda Lissu mbona mmempora ubunge wake?
 
Marcus alikuwa mgombea ukatibu mkuu wa cdm uchaguzi uliopita. Nilishangaa sana yeye kuachwa na cdm badala yake akawa Mashinji. Huyo Marcus alibanie ndie angefaa hasa kuvaa viatu vya Dr. Slaa kwani ana uelewa mpana wa mambo na ni mjenzi mzuri wa hoja zenye ushawishi. Pia alikuwa mgombea ubunge katika tiketi ya cdm, Morogoro mjini na alipata kura za kutosha japo hakuwa mbunge. Lakini ni mtu sahihi sana kwa sasa kwenye ngazi za juu za cdm.

Sipingi kabisa Lissu kuwa mwenyekiti, lakini naona Lissu anapenda zaidi kugombea urais. Ni vyema tukaepuka utamaduni wa ccm wa rais kuwa ndio mwenyekiti wa chama.
Unajichanganya hasa.Huna kumbukumbu kabisa.Pole
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa

Chama cha ukombozi kikipata kiongozi imara hakimbadilishi badilishi

Kwa nini sasa mnataka nchi inayopigana kujikomboa kiuchumi na iliyompata kiongoz imara My John pombe magufuli ibadilishe kiongozi

Magufuli had 2030
Nakushauri uende kwanza shule usome vizuri maana ya nchi na vyama vya siasa na Katiba zake kisha ndiyo urudi hapa ujenge hoja
 
Hv mko serious mnamtaka mbowe? Yaani 15 years haitoshi siyo? Iko hv ikiwa Tundu hatakuwa Mwenyekiti wa cdm this time propaganda za ccm kuwa cdm ni ya wachaga itakuwa confirmed
Pole mwanaccm unadhani mnaweza kumtoa Lissu kwa ujinga huu mnaoandika? Lissu anajua kama si Mbowe kusimama kidete leo asingekuwa hai.
 
Mbowe asingekuwa ni mkwe wa Mzee Mtei, Founder wa CHADEMA

Hoja ya kuwa haaachii nafasi kwa kuwa ni kiongoz imara ingekuwa na mashiko

Otherwise mengine ya kuwa CDM ni taasisi ya familia, ukabila, ukanda lazima yawe na mashiko
Mambo ya Chadema waachie wanachama wenyewe
 
Nakubaliana na wewe mkuu, japo ni vizuri zaidi wakati wa hizo kura Mbowe awe pembeni ya kinyang'anyiro. Hii ni kwa heshima ya taasisi kubwa kama cdm na demokrasia ya kupokezana vijiti.
Kwanini usitake mwenyekiti wa chama chako akae pembeni badala yake unataka mkiti wa chama kingine usichokipenda akae pembeni?
 
Molemo huo ndiyo ukweli sisi wanachama ambao tunajitolea kutumia muda wetu kuitetea cdm kwa matumaini ya kuwa ipo siku cdm itasimama pamoja na mitihani yoote tunayopitia
Nakuheshimu sana mkuu wewe hujui tu.Kila unachoandika nakichukulia kwa umakini mkubwa
 
Huyo kigogo wa Twitter sometimes anaweza akawa 'upgraded latest version' ya Msiba..

maana dola inashindwaje kudeal naye!

ikiwa wameweza kumwangushia kesi nzito kama ya Aquilina Aquilline tena kweupe hadharani
Ha Haa Haaa
 
Zamani nilikuwa najua vijana hasa wa Upinzani kuwa Ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.

Baadae nimekuja kugundua kumbe vijana wa UFIPA hawana tofauti na wale Buku7 wa pale Lumumba.

Tumbo kwanza.
 
Tatizo la chadema linaanzia kwa wanachama wenyewe hadi kwa viongozi wao, mfano mbowe angeweza shauriwa na miongoni mwa wanachama akae pembeni awapishe wengine huku yeye akiendelea kuwa mshauri Mkuu Wa ndani ya chama, kiukweli kwa mtazamo wangu chadema inahitaji reform ya ndani, nadeclare interest sio mshabiki Wa chama chochote ila napenda changes kwenye nchi yetu pendwa.
Sisi tunamshauri endelee na wanaccm mnamshauri akae pembeni.Hapo unadhani ataheshimu mawazo ya nani?
 
Zamani nilikuwa najua vijana hasa wa Upinzani kuwa Ni vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri.

Baadae nimekuja kugundua kumbe vijana wa UFIPA hawana tofauti na wale Buku7 wa pale Lumumba.

Tumbo kwanza.
Kumbe unajijua? Maana wewe ni buku 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom