Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
José mwenyewe mtoto tuu huoni alivyokuwa ananisumbua?Hivi utakimbizana na hawa watoto hata lini? Ulimkimbia mzee mwenzio Joseverest ona sasa ulivyoumbuka!!!
Nadhani sasahivi nitafute mzee mwenzangu hawa watoto watanipa jaka la moyo.
Au nielekeze akili yangu kwenye kujikwamua kimaisha kwa kuendeleza biashara zangu kuliko kupambana na hawa watoto kama ulivyotushauri kwenye bandiko lako au wewe unasemaje?



