Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

FisadiKuu huwa anasema madili ya pesa yanapatikana bar, sijui yuko wapi!!
Na sie tukae bar tupate hayo madili kwakweli.

Cc Heaven Sent
50/50 ina mipaka mama.. Na mipaka yake ni urudi nyumbani mapema kuhakikisha watoto wameshinda salama pamoja na kufanya homeworks, dinner na kila kitu kiko sawa..

NB: Bar madili ni kwa wanaume tu..
 
50/50 ina mipaka mama.. Na mipaka yake ni urudi nyumbani mapema kuhakikisha watoto wameshinda salama pamoja na kufanya homeworks, dinner na kila kitu kiko sawa..

NB: Bar madili ni kwa wanaume tu..
@bbade uisome hii
 
Mwanamke ununue kiwanja ni mwanaume gani huyo ambaye hana akili sawa sawa atajenga hapo......labda kununua fenicha za ndani na vikolokolo......nyumba hujengwa na mwanaume ili mkewe aje kuingia na kuisimamia hatimaye kuimiliki....
Kwani mke akinunua kiwanja na mwisho wa siku mkaungana kujenga nyumba kuna tatizo??
 
Saafi sana UBIKIRIWE sana dada yangu yani ni fulu madini
 
Back
Top Bottom