Teh teh teh tehMissing you too darling
Haha nilikuwa nakusalimia tu nataka shari
Hahahahaa mama swalehe jomoniii...nawalea mwenyewe alikimbia kitambo akidhan sitofanikiwa

Kuna muda huwa unaakili kama vile sio yule mywii ninayemfahamu teh teh tehHave ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...
Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...
Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...
Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!

Sasa wawapate wa 50/50 halafu waendelee kupitia Bar baada ya Kazi....watakuta chakula mezani hakuna.Yaani huko kwingine hawataki hata kusikia, ni hapo tu kwenye financial issues.
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
Walikua waonevu hao. Prenuptial ipo kisheria ila hao walikua wananyang'anya kwa nguvuHalafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi
Watafurahi vipi? Maana hiyo 50/50 itaenda mbali nje ya Financial issues wasipokuwa makini.![]()



. Lazima iwe hivyo. 50/50 mpaka kwenye zamu za kuogesha watoto na kupiga dekiHahahahaa wifiiiii acha tuu...Kuna muda huwa unaakili kama vile sio yule mywii ninayemfahamu teh teh teh
Hongera kwa busara hizi wifi yangu hakika Miller amepata mtu sahihi![]()

ahsante lakini


ila atarud nshamsameheHahahahaa mama swalehe jomoniii...![]()
Haha soma Bible mamaTeh teh teh teh
Unanikumbushaga mbali sana ujue mambo ya upekuzi wa majina katika Bible
Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimyaSasa wawapate wa 50/50 halafu waendelee kupitia Bar baada ya Kazi....watakuta chakula mezani hakuna.
Ooooyyyyooooila atarud nshamsamehe
shout-out kwa baba na mama swalehe


Uuwiiii hapo atakuambia naomba ile 50/50 aongezee hapo zake ziwe 80%.... Lazima iwe hivyo. 50/50 mpaka kwenye zamu za kuogesha watoto na kupiga deki
Cha msingi tuendelee na misingi yetu tuliyoikuta toka tunakua. Tukisaidia familia zetu isiwe jukumu bali kumboost mume.Hahahaaaaa!! Hicho kipengele hawataki hata kusikia, ikifikia hapo ndio huwa wanakumbuka kuwa wao ni wanaume.
Kuongeza inaruhusiwa ila si unajua zinaongezekaje eeh??Uuwiiii hapo atakuambia naomba ile 50/50 aongezee hapo zake ziwe 80%...





Utasikia mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu. Utaitwa majina ya kila aina.Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimya
Ndio maana yake.... Hapo manyanyaso yatapungua....Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimya