Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,421
Wala hata, najielewa kabisaa hapa ndio hapa sioHapo sawa, maana nilikuwa najiandaa kukuonya usije ukamuumiza best yangu Ney
Wala hata, najielewa kabisaa hapa ndio hapa sioHapo sawa, maana nilikuwa najiandaa kukuonya usije ukamuumiza best yangu Ney
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji119] [emoji119]Tunapendana A-Z..upo?
Ni vyema na hakiWala hata, najielewa kabisaa hapa ndio hapa sio
Kweli ni vyema na haki kujua mipaka ya ushemeji daima na popote..Ni vyema na haki
Kwa hiyo tuliza boli...ushilawadu uuweke pembeni saa tunabebika na neybright[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji119] [emoji119]
Hautafeli bana, nenda ukashonewe uniform.Usinicheke mkuu, kusoma shughuli pevu ati.
Kwamba?Nipe mahela nigeuke
Kwamba?
Njoo kageukie pm kwangu ..[emoji3][emoji58]Nigeuke aone sura
Woyooooooo kwako lazima najua nitakoga wekundu wa kutoshaNjoo kageukie pm kwangu ..[emoji3][emoji58]
Naona mbio zako umehamishia kwa shemu wako[emoji13]Njoo kageukie pm kwangu ..[emoji3][emoji58]
Hahaha...Woyooooooo kwako lazima najua nitakoga wekundu wa kutosha
Hahaha...
Naona leo umeamka na Hang over ya hela..
Hainaga ushemela...[emoji85][emoji85]Naona mbio zako imehamishia kwa shemu wako[emoji13]
Mkuu hivi ulibadili ID lini? Manake huu mwandiko wako unaniambia mengi.Naona mbio zako umehamishia kwa shemu wako[emoji13]
Miezi kadhaa mkuuMkuu hivi ulibadili ID lini? Manake huu mwandiko wako unaniambia mengi.
Kweli kabisa