Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

Habari wana MMU.

Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo.

Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality).

Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi wana mentality kuwa maandalizi ya familia ya baadae haswa kwa mambo yanayohusu assets na gharama zingine ni majukumu ya mwanaume na sio mwanamke.
Hivyo unaweza kukuta binti ana kazi nzuri tu ila hata kujiwekeza kununua hata kiwanja walaaa hawazi au hata kufungua biashara. Anawekeza kwenye mikoba,mawigi,simu za bei ghali,viatu nk. Vitu ambavyo ukivipigia mahesabu unakuta ana viwanja vitano vikubwa tu huku kijijini kwetu.

Hebu fikiria unaolewa ukiwa angalau umejiwekeza kiasi fulani hivyo mkiunganisha nguvu na mwenza wako angalau mnapiga hatua kadhaa kwa haraka kuliko kusubiria mwanaume afanye kila kitu.

Wakati mwingine unakuta binti anadate mwanaume mwenye expossure ya kutosha na mfanyabiashara mzuri, hata kuomba basi hata aelekezwe abc's za biashara, hata kuunganishwa kibiashara nehiiii.

Au unadate mwanaume mwenye uwezo mkubwa kifedha hivyo kazi yake ni kuomba kununuliwa simu ya milioni 2 nk, vitu vya anasa ambavyo kwa kiasi kikubwa havikuongezei lolote la maana zaidi ya sifa za kijinga. Ni kwanini usimuombe mtu wa aina hiyo hata business idea, au angalau uanze jambo lako ie biashara,ujenzi nk kisha umuombe akuongezee kiasi fulani cha pesa? Kwa mwanaume mwenye upeo atakuona una akili na anaweza kukusogeza mahali pazuri.

Mwingine unakuta ni mama kabisa ila hata haiwazii kesho ya mtoto wake ambae anamlea peke yake, yuko busy na starehe na kutumbua pesa za child support, kesho na keshokutwa baba hayupo mtu anaanza kuhaha wakati nafasi ilikuwepo akaichezea

Maisha yamebadilika sana jamani basi nasi wanawake tubadilike in a positive way, tuyaishi maisha halisi na sio ya kuigiza ili angalau tunapoingia kwenye maisha ya ndoa angalau tuwe na cha kuongeza sio ndio ukiolewa umtwishe mwanaume majukumu ya familia mnayoijenga,familia ya kwao na ya kwenu pia. No wonder wanakufa mapema hawa watu.

Tuzitumie fursa vizuri pale zinapopatikana kabla haijawa too late.

Jamani hapa simchagulii mtu maisha ila hakikisha hautokuwa na majuto baadae kuwa "laiti ningejua"!!! Maana hakuna anaependa kesho yake iwe ya kuunga unga.

Nawasilisha.
espy ningekuwa napendeka ningekuwowa mimi...
 
Whaaaaat!? Carbamazephine huyu huyu ninaemjua mimi au mwingine? Heeee jf simama nishuke zangu mie!

Vipi lakini u buheri wa afya? Nimekuham kweli best
Nimekumis pia dia,
Ndio hivyo yametokea muulize espy atakwambia vizuri maana yeye ndiye alinipeleka sehemu walipokuwa wanakula raha zao
 
Home ndiko ofisi yako kuu,

Hapa tu ndipo sijapaelewa, nikifanya home ndio Ofisi yangu Kuu....kesho Mola akakuita....nitaanzaje kutafuta Kazi maana huko nje hata sikujui kulivyo na sina Experience nje ya Nyumbani?
 
Yeah but i am sorry jamii tunayoishi na gamaduni zinaenda otherwise. The answers is impossible. Hakuna 50/50 kwenye mapenz

Nakubaliana na wewe kwa sababu umetaja JAMII na TAMADUNI zinzokuzunguka.

Kwa Upande mwigine ni kitu kinachowezekana na kinafanyika.
 
Hapa tu ndipo sijapaelewa, nikifanya home ndio Ofisi yangu Kuu....kesho Mola akakuita....nitaanzaje kutafuta Kazi maana huko nje hata sikujui kulivyo na sina Experience nje ya Nyumbani?
Umenyofoa kipengele kidogo sana ktk mengi niliyoandika..
Nimesema ntakuruhusu ufanye biashara au kazi lkn yenye mazingira rafiki na kutunza familia
 
Nimenyofoa nikuonyeshe ni wapi sijakuelewa.
Sawa kama utanipa ruhusa ya kujiendeleza kibiashara ni vizuri,,nilidhani uliposema Home ndio ofisi kuu...nilipiga picha nikaona nitamaliza siku nzima nafanya kazi za nyumbani na kuangalia familia tu....kumbe naweza kufanya mambo yangu mengine.(working from home)
 
Have ma" like babe-girl
emoji122.png
emoji122.png
emoji122.png
unajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...

Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...

Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...

Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
Habari wana MMU.

Kuna hili jambo ningependa tujadiliane ama tushirikishane kidogo.

Hakuna asiejua kuwa kila mwanamke kabla hatujavurugwa na dunia huwa matamanio yetu ni siku moja kuolewa na kutengeneza familia na mwanaume fulani hivi amazing(fantancy vs reality).

Sasa tatizo linakuja kuwa huwa wanawake wengi wana mentality kuwa maandalizi ya familia ya baadae haswa kwa mambo yanayohusu assets na gharama zingine ni majukumu ya mwanaume na sio mwanamke.
Hivyo unaweza kukuta binti ana kazi nzuri tu ila hata kujiwekeza kununua hata kiwanja walaaa hawazi au hata kufungua biashara. Anawekeza kwenye mikoba,mawigi,simu za bei ghali,viatu nk. Vitu ambavyo ukivipigia mahesabu unakuta ana viwanja vitano vikubwa tu huku kijijini kwetu.

Hebu fikiria unaolewa ukiwa angalau umejiwekeza kiasi fulani hivyo mkiunganisha nguvu na mwenza wako angalau mnapiga hatua kadhaa kwa haraka kuliko kusubiria mwanaume afanye kila kitu.

Wakati mwingine unakuta binti anadate mwanaume mwenye expossure ya kutosha na mfanyabiashara mzuri, hata kuomba basi hata aelekezwe abc's za biashara, hata kuunganishwa kibiashara nehiiii.

Au unadate mwanaume mwenye uwezo mkubwa kifedha hivyo kazi yake ni kuomba kununuliwa simu ya milioni 2 nk, vitu vya anasa ambavyo kwa kiasi kikubwa havikuongezei lolote la maana zaidi ya sifa za kijinga. Ni kwanini usimuombe mtu wa aina hiyo hata business idea, au angalau uanze jambo lako ie biashara,ujenzi nk kisha umuombe akuongezee kiasi fulani cha pesa? Kwa mwanaume mwenye upeo atakuona una akili na anaweza kukusogeza mahali pazuri.

Mwingine unakuta ni mama kabisa ila hata haiwazii kesho ya mtoto wake ambae anamlea peke yake, yuko busy na starehe na kutumbua pesa za child support, kesho na keshokutwa baba hayupo mtu anaanza kuhaha wakati nafasi ilikuwepo akaichezea

Maisha yamebadilika sana jamani basi nasi wanawake tubadilike in a positive way, tuyaishi maisha halisi na sio ya kuigiza ili angalau tunapoingia kwenye maisha ya ndoa angalau tuwe na cha kuongeza sio ndio ukiolewa umtwishe mwanaume majukumu ya familia mnayoijenga,familia ya kwao na ya kwenu pia. No wonder wanakufa mapema hawa watu.

Tuzitumie fursa vizuri pale zinapopatikana kabla haijawa too late.

Jamani hapa simchagulii mtu maisha ila hakikisha hautokuwa na majuto baadae kuwa "laiti ningejua"!!! Maana hakuna anaependa kesho yake iwe ya kuunga unga.

Nawasilisha.
Naam walengwa pitieni huku mpate ujumbe mubashara
 
Nimenyofoa nikuonyeshe ni wapi sijakuelewa.
Sawa kama utanipa ruhusa ya kujiendeleza kibiashara ni vizuri,,nilidhani uliposema Home ndio ofisi kuu...nilipiga picha nikaona nitamaliza siku nzima nafanya kazi za nyumbani na kuangalia familia tu....kumbe naweza kufanya mambo yangu mengine.(working from home)
Kabisa, kusaidiana muhimu but lzm mimi niwe juu kwa kila kitu kuanzia uchumi nk. Kuhusu kipato chako kitasaidia nikitetereka.
Sio tu nitakuruhusu biashara au kazi bali nitakuwezesha kukujengea uwezo katika kazi hizo.
Tukubaliane tu ukweli ni kwamba wengi wenu ke mnapoona me tunauwezo mnabaki kutaka mavazi, magari ili muonekane mko juu na hamfikirii kuhusu kesho yenu na familia.
 
Kimsingi mimi ni miongoni mwa wanaume wanaojali sana hasa kwa jambo lililo ndani ya uwezo wangu..care&love lkn ninaamini zaidi ktk kuwa mimi ndiye kichwa kwa kila kila kitu kama mwanaume.
Namudu majukumu yangu yote tena kwa bidii.
Lkn siamini ktk 50/50 isipokuwa ktk mgawanyo wa majukumu ktk familia.
Nitakuruhusu ujumuike na wenzio, biashara but kuwe na mipaka.
Urudi nyumbani kabla kiza/giza.
Home ndiko ofisi yako kuu, watoto wakae vizuri, uwaandalie chakula mapema na ninapofika unihudumie wew na sio house gel
Wacha we!!
 
wengi wenu ke mnapoona me tunauwezo mnabaki kutaka mavazi, magari ili muonekane mko juu na hamfikirii kuhusu kesho yenu na familia.

Basi hao wachache waliobakia na akili ya kujiendeleza wawaambukize na hao wa kujipodoa tu.
Naamini kama unasema utakuwa kichwa basi utaweza kubadilisha mawazo ya wapendao kijipodoa, magari na kuwapa akili ya kujiendeleza kwa manufaa ya familia na sio kuwaendeleza wauza magauni, magari na vipodozi tu.
 
Back
Top Bottom