Ili mwanamke akupende inabidi utumie mbinu hii

Ili mwanamke akupende inabidi utumie mbinu hii

Bila shaka mbinu hii, unawaongelea Wavulana na Wasichana wasiojielewa,

Mwanamke akijua una wanawake wengi na akakupenda,ujue anafaidika na jambo lingine kabisa toka kwako nje ya mapenzi,na akisha kamilisha misheni yake,lazima asepe kivyake.
 
Hii chapter mmeanza lini wengine hatujamalizana na ma-ex mmeanza wanawake wengi🫢 to whoever it may concern, usijaribu ntakuchinja na kampuni yako😅
Nilichogundua wanaume sasa hivi wako confused sijui shocked, yaani hawaelewi wafanye nini wao ni kulalamika na ku attack wanwake 🤣😂
 
Nilichogundua wanaume sasa hivi wako confused sijui shocked, yaani hawaelewi wafanye nini wao ni kulalamika na ku attack wanwake 🤣😂
Boys II Men😅

Yani hawaelewi wafanye nini so far ni kulalamikia wanawake tu, sijui hawana mambo ya kushauriana wao kwa wao!😂
 
Hii chapter mmeanza lini wengine hatujamalizana na ma-ex mmeanza wanawake wengi🫢 to whoever it may concern, usijaribu ntakuchinja na kampuni yako😅
😂😂😂😂😂 mbona kampuniiii. Woiiiiih
 
Ili Mwanamke akupende kwa dhati hakikisha anajua una wanawake wengi
Hii ni kweli kabisa mwanaume mmoja mwenye mke au wanawake; wanawake wengi hujigonga kwake na humng'ang'ania mwanaume huyo.

Lakini mwanaume asiye na mke au mwanamke hakuna mwanamke/wanawake watakao mtaka Wala kumng'ang'ania ila siku na yeye huyo mwanaume asiye na mwanamke au mke akisha kuwa na mke au wanawake ndo wanawake wengi zaidi hujileta kwake.

Hii ni kweli kabisa kama unabisha Fanya utafiti.
 
Hii chapter mmeanza lini wengine hatujamalizana na ma-ex mmeanza wanawake wengi🫢 to whoever it may concern, usijaribu ntakuchinja na kampuni yako😅
😆😆😆😆😆
 
Ili Mwanamke akupende kwa dhati hakikisha anajua una wanawake wengi
Pia Kuwa na wanawake wengi nae ni suna unawasaidia na ambao wamekosa wanaume maana wanawake wako wengi sana zaidi ya wanaume,

ukisema Kila mwanaume amiliki mwanamke mmoja, wanawake wengi sana watakosa wanaume maisha Yao yote wataishi bila mwanaume kama vile wale masister wa kanisani walo weka nadhiri ya usista milele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom