Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

We mbwa wa kike,,hata nusu ya maisha ninayoishi huwezi KAMWE kuyafikia,,,mimi sio mlamba miguu wa mbowe,,I am a free thinker: elimu yangu:exposure yangu na mengineyo kamwe hutoweza hata kugusa mbilikimo wewe;kondomu ya mbowe:

I hate Ufisadi,,and I will shout as loudly as I can,,FREELY

Hilo zee zezeta lenu mbowe aliloliokota ni JIZI; tena JIZI PAPA.

I will loudly shout bila mbilikimo kama wewe kunikwaza:

Mkeo amerudi hapo kigamboni,,si tulikuwa naye hapa posta

Ni rais anayesubiri kuapishwa
 
Ni wazi wapiga dili hawaipendie ccm. Tusiopenda hii mi dili yenu tumewakataa UKAWA

duuu mbona kama unatembea kinyumenyume? yaaani hujaeleweka wa madili ni wakina nani sasa? si hao wazee wa 10%
 
Kwann mtu unapata shida kumfuatilia mtu na utajiri wake au kwa kuwa baba yake ni mgombea mbona tangu awali alipokuwa amejiuzuru wote mliwasahau sasa vp?
 
Una mashaka na utajiri wa Mwanaume mwenzako/ Mafanikio ya Mwanamke mwenzako?

Nani alikuambia ukiwa na Midigrii mingi kichwani ndio kutajirika?

Kwahiyo Form 6 hatakiwi kuwa na Pesa?

Mchukie baba yako kwa kushindwa kukupa elimu ya msingi juu ya mafanikio yako.

#Mabadiliko

Kukosa utashi kunachangia na uswahili nafikiri
 
Umri kama umekwenda,,Mbona babu ZEZETA anataka kutuongoza watanzania..mwambie aende Monduli kupumzika.Tukishika nchi tutaMFILISI huyu FISADI PAPA ZEZETA

Mlishindwaje ndani ya miaka 8
 
Hapo yupo na MUUZA MADAWA YA KULEVYA(COCAINE;HEROINE) number moja kushoto,,,Wote hao na Kinje wanaombea Mzee aingie ikulu ili wamalize kabisa vijana wa dar es salaam kwa unga( unga ndo ajira ya lowassa kwa watanzania)
Fred hafanyi biashara ya unga anafanya biashara clean na mkewe si fsadi
 
Nafurahi sana kuona mate wangu pale ILBORU enzi hizo amefanikiwa sanaah..KEEP IT UP 'MMENYE' FRED.

Tz me Mohamed wa KIBO.
 
Mbona hakuna cha kushangaza apo ungetuuliza babu yke utajiri katoa wapi apo sawa sasa hawa wa msoga historia inagoma nazani umenielewa
 
Mtoa mada upeo wako mdogo sasa unataka awe masikini sisi tunataka watu wawe matajiri,ukawa mbele kwa mbele ccm mtaisoma no mwaka huu
 
Ngoja tuingie madarakani hatutamwonea mtu ila mahakama ya mafisadi yaja
 
Acha kubwabwaja we mleta uzi huu mbona huoji utajiri wa mtoto wa mkulu wa injii hii
Hata kuhusu wao kwenda 777 pale mikocheni hata wewe unaweza kwenda acha kushobokea
Wanaume
 
Back
Top Bottom