Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Tafuta nawe utajiri wako !
Wivu kwa asiye kuhusu , utakufa maskini .
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Mbuzi Mawe iko chini Serena hotels, hiyo tu inaonyesha ulivyo mzushi, na je Ridhiwani mambo yake vipi?

Tupo bar, umeme umekatika ghafla mtu kasema peopleeeeees Bar nzima imeitikia Powerrrrrrrr.
Jamaa akadakia hapa kazi tuu akajibiwa " Kazi gizani?? Huo ni uzizi"

umeme umekatika ghafla mtu kasema peopleeeeees Bar nzima imeitikia Powerrrrrrrr.
Jamaa akadakia hapa kazi tuu akajibiwa " Kazi gizani?? Huo ni uzizi
 
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote

Mchague awe Rasi sikashasema yeye haupendi umaskini na hatakuwa tayari kuwa Raisi wa maskini chadua LOWASA chagua UKAWA uupige teke u m a s i k i ni
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

rizone jeh unamjua mmliki wa shel za panone em kaa chini utadhmin utajr wa makongoro nyerere na rzone
 
Mleta uzi unaonaje ungepeleka huo ushahidi mahakamani ungetusaidia kweli
 
Hashangai kampuni za kigeni zinakuja hazina kitu zaidi ya business idea zinakopa mtaji kwenye mabenki yetu. ...zinasamehewa kodi wanatajirika na kusepa
 
Bora huyu Baba yake sio Raisi tayari ana mali zakueleweka, hakuna anaemjua...
Kale katoto ka JK, mzee alipoingia tu ndo mali zikaanza kuja, lazima hapo kuna tatizo
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Wewe ni mnafiki Mbona humuzungumzii Lidhiwan Kikwete mwenye kumiliki kila kitu hapa Tanzania.
Acha maneno ya kinafiki sisi kwa Lowasa tu.
Hata Twiga waliosafiri hausemi kabisa.
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Magufuli kampa Kabula Hotel Kebby pamoja na Nyumba mbili za Serikali hilo hujui?
Katutia hasara 1.4 tilioni kwenye barabara yaani tunadaiwa malipo ya kijinga kabisa.
katudanganya mwaka 2011 kwamba anakwenda kujenga barabara akapiga 256 bilioni hakujenga hata kipande cha lami. Bilioni 77 hazijulikani zilipo pia 10 bilion zina Mashaka na 3.02 kalipa kampuni hewa yaani Kapiga.
Anausafi gani hapo tena
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Huna muda nae et kwa sababu kasha maliza muda wake, amna hiyo kama nae kapiga pesa zetu muweke wazi, Kidhiwani na utajili uliopindukia wa ghafla
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Kwa nini asifie chato???
 
Rizkikwete alipataje utajiri wa PANONE Petrol stations tangu Dar hadi Babati hata Bunda Mata kwa wanaume wa kweli? Aliyetangulis katangulia tu. Tafuta na wewe kama bado Kijana.
 
Back
Top Bottom