Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

mtoto wa fisadi papa nae arithi ufisadi wa baba yake, natamani mali zao zitaifishwe

Aisha;
Kwa kweli nimefurahi kuuona mchango wako hapa. Sasa, ushauri wako mzuri hivi ukifanyiwa kaz, wadhani huko ccm mtapona?
Mnasema ati ana kadigirii kamoja tu lakini ana utajiri wa kutupwa. Jiulize, tangu lini utajiri Tz ukawa dhambi?? Kama ni kupiga dili alianza Mr. Clean akiwa mle mle Ikulu. Akanunua Kiwira tena kwa shs. 50.000/= sio dola ya Mmarekani, ni hii hii fedha aliyosema JK ya madafu. Ununue kampuni ya makaa ya mawe. Hivi kweli hamuoni aibu kusema mtu anayefanya biashara mchana peupe na kodi analipa??
Mwadhani Fred akitaifishiwa mali zake alizowekeza hapa nchini, nyiye mtabaki salama? Sitaki kuwataja watu na mali zao ila, tukijichanganya katika kuhesabu mali za wapinzani tuu, tutaishia pabaya kwani nao wakiwataja wenzao ncho yaweza kutetemeka.
Kama mpo salama, yatajeni yale mafisadi yaliyo gawana fedha kwa mifuko ya sandalusi pale Stanbick Bank. Si hivyo, just shut up and let sleeping dogs lie.
 
Siku zote aliefilisika kifikra utamjua kwa kulalamika
 
We bulula kweli! hata huna habari kuwa madini ya Tanzanite yalivumbuliwa AR
 
Hivi hii nayo ni mada? Mtoto wa tajiri unataka awe masikini! Lowassa ni tajiri wa muda mrefu mno rejea 1995 walimletea figisufigisu kisa mali zake lakin hakuna aliyetoa ushahidi wa uharamu wa mali hiyo. Ok tuanze kudiscuss matajiri wote bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho ujinga mkuu.
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Magufuli ana bonge la beach resort huko kwao chato, kaweka lami mpaka getini kwake, njia ya kuelekea kwake kuna traffic light wakati hakuna msongamano wa magari chato! anamijishare panone, mijishare CHTCO, Nyambo co.ltd na 10% kwenye madaraja na mabarabara yote yayojengwa. ha ha ha! Ukiishi na wavuta bange lazima utavuta tuu!
 
wanajamvi,

mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni rostam azizi.

Kampuni ya pili ni integrated property limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko mbuzi mawe serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa fred anamiliki shares 30% pale hyatt hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? I don't know)

swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba uk, sweden na malta


tumekusikia embu tuwekee na utajiri wa riziwani kikwete tuwafananishe?
 
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote

Marekani ndio inaongoza kuwa na matajiri wengi, lakini sio wamarekani wote ni matajiri. Ila hizi ni siasa za kitoto ndugu.
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Kwanini usisubiri na Lowassa akimaliza muda wake tumjadili, maana 2010 watu wengi kasoro wewe na mafisadi wenzio mlikaa kimya JK akawa rais, tuonyeshe uzi wako wowote uliompinga JK.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco

Pasco katika ubora uliotukuka. Nimekusoma, nimekuelewa.
Ila uchaguzi wa mwaka huu kazi kweli kweli, watu wanajikana,wanakula matapishi, ila kikubwa zaidi hawajanunuliwa, aliyenunuliwa ni Slaa peke yake wengine tunatoa mawazo yetu.
 
Hivi hii nayo ni mada? Mtoto wa tajiri unataka awe masikini! Lowassa ni tajiri wa muda mrefu mno rejea 1995 walimletea figisufigisu kisa mali zake lakin hakuna aliyetoa ushahidi wa uharamu wa mali hiyo. Ok tuanze kudiscuss matajiri wote bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho ujinga mkuu.
EL Fisadi, Slaa ana ushaidi, Mbowe ana ushahidi, Mnyika ana ushahidi,Tundu Lissu ana ushaidi(source JK), Lema ana ushahidi, Msigwa ana Ushahidi na Hata Sumaye anajua(Source wao wenyewe) halafu wanataka tuwe na Rais Fisadi? Tumerogwa na nani?
 
Hili jamaa wamelikosea toka mwanzo, lilitakiwa liwe lupango siku nyingi! Sasa hivi tungefanya uchaguzi wetu bila shida.
Tumeliachia limenunua mijitu hailewi hata uwaambie nini. Mingine inasema wapo tayari hata kutoa wake zao, sasa hii ni hatari! Lakini tusikate tamaa, tusafishe nchi kwa kuwaondoa mijizi na mafisadi wote ili wananchi tuishi kwa raha! Tufanye hivyo kwa kumpigia kura nyingi Mh. Magufuli. Magufuli ooyeee!!
 
Napata taabu sana kwa nini hayo maswali au mambo hayakusemwa wakati bado yuko CCM? Au ukiwa CCM ni ruksa kufanya chochote upendacho bila kuulizwa???? 2010 Mwenyekiti wakati wa kampeni kule Monduli alikiri ni mchapakazi na safi kabisa mpeni kura zenu!!!!!!!!! Now who is above party Chairman in CCM???????
 
Ukijua utajiri Alionao Riz one kaupataje Itakua rahisi sana kwa Fred Lowassa
 
Yaaani mtazunguka bado mtarudi pale pale....hayo mabadiliko wanayotaka watu awawezi yapata coz bado no watu walewale waliopiga uko wameenda kutafuta pajuu zaid ili wapige vzr..tens kwenye mikutano ya ukawa utackia wale walio hama wanasema na mm nimewahi uku nicje nkaachwa bure...yaaan n kheri hapa kazi tuuu kidogo atakua amejisoma raia wanataka nn
 
masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,

Hujajibu hoja, bali umemjibu Pasco. Kwa hiyo what you've just written is deep sh...t
 
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote
Yule mwana wa mfalme kwa nini asikufundishe?tatizo lenu mmeridhika na b7 ya kujazia matumbo tu
 
Back
Top Bottom