Mtoto/watoto wa Edward Lowasa wana haki ya kumiliki mali zao binafsi bila kumhusisha baba yao.
Hata hivyo, kama una uthibitisho kuwa amerithi kutoka kwa mzazi wake na pia mali hizo zimepatikana isivyo halali, hapo kuna hoja ya msingi na tunaweza kumhusisha Edwaed Lowasa na jinai hiyo.
Anayegombea Urais ni Edward Lowasa, kama hoja yako inahusu kampeni, basi tuoneshe uhusiano wa moja kwa moja wa upatikanaji wa mali hizo na baba yake. Kutaja mali za watoto, ndugu, marafiki haitoshi kuthibitisha uovu!