Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 792
- 257
andika kiswahili,,hizo lugha za mazingaombwe peleka kwa GWAJIMA
Nimechekaje!!!
andika kiswahili,,hizo lugha za mazingaombwe peleka kwa GWAJIMA
aisee humu forum unaweza ukavunjika mbavu nimecheka aisee sio siri hadi nikadondosha sonny yangu ila we jamaa itakuwa hazijatimia upstairsSura kwani unataka kumtongoza?
Baba Yake lowasa ndiye alivumbua madini ya tanzanite pale mererani Kwa hiyo jibu ndiyo hilo.
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
We unakisima cha gesi? labda cha maji.Wakipewa urais watajimilikisha na visima vyetu vya gesi. Lowassa hastahili kuwa rais wa nchi hii.
Wow, this post i quite invasive and surely sio post ya kubezaWanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Weka nyaraka za umiliki wa hizo mali... acha porojo