Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.
Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.
Unakabiliwa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.
Ila na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel sorry for you!, acha wivu!.
Pole!,
Pasco
Kwa hiyo mkuu we ndio broka wa kutafuta watu wa kuwaogesha wazungu vibabu hapo kunako Scandinavia hongera mkuu wala hiyo haina rushwa sababu ni humanitarian charity MUNGU atakulipa.Nashukuru,,mzee wangu ni marehemu so sitamjadili hapa: Nafanya biashara halali kabisa hapa Scandnavian ya kujiajiri: Keep on dreaming: Mpaka sasa kuna watanzania zaidi ya 50 wanaendesha maisha yao kutokana na biashara yangu hapa.As you know,,we have zero corruption in here,,,,aaaaah sorry naongea na mfuasi wa Gwajima,,,nenda kanisani kesho kasali muombee mzee zezeta ashinde uchaguzi akiwa uchi
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.
Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Kwa hiyo wewe ulitakaje sasa labda! Sijakuelewa mantiki yako ni nini? Asitafute hela ama nini sasa! Kuwe na digrii moja ndio usiyafute hela? Kuwa form six ndo usitafute hlea?Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Mkuu Hebron Ipyana,mburula wewe,
mpumba.vu wewe,
mlamba viatu wa Lowassa wewe siku zote.
Mpuuzi sana wewe.
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Tajiri ni mtoto au baba?Hata ukiwa mahiri wa kujibu marefu yenye tija lakini ukichanganya na jibu moja la ovyo na majibu mengine yote mazuri yanakuwa ya ovyo kwa mtindo uleule wa samaki mmoja akioza...
Yaani mtu awe na utajiri wa kutisha ambao hauwezi tolea maelezo yanayojitosheleza unathubutu kumuita mtu ambaye anaona hilo si sawa ana wivu, mburula wewe, mpumba.vu wewe, mlamba viatu wa Lowassa wewe siku zote.
Ni busara ya kawaida tu kuhoji mtumishi wa umma au mtoto wake anapokuwa ana pesa ndefu sana tena ambayo hai'tally na kodi anazolipa. Mpuuzi sana wewe.
Mimi kwangu Lowassa ni fisadi tu kama na wenzake wengine wote walio CCM na very soon itakushangaza kukuta hata mzee wa kubadilishia gia angani ni fisadi wa kutupwa, anayejificha kwenye mihemko ya wananchi na kibwagizo chao cha mabadiliko muda huu.
Hivi kumbe kuwa tajiri ni dhambi?tutakalia kujadili utajiri wa watu wengine badala ya kufanya kazi wewe mwenyewe umetaja biashara wanazofanya sasa unauliza nini?Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
hahaha unajidanganya, hata huyo anaye maliza muda wake usiye na time naye aliingia kama huyo unaye taka kutuaminisha ni msafi. .lakini hatoki vilevile tena siyeye wala watoto na wajukuu zake. .Nadhani kwakuwa huyu El anaingia na utajiri kama unavyosema ni tajiri hivyo basi anafaa zaidi kuliko atakae kwenda kusaka utajiri. .
Hilo kwetu siyo muhimu hatakidogo. cha muhimu kwa sasa CCM OUT, baada ya hapo ndiyo tuanze kujadili hayo mambo yako.