Well, inahusu jamii nzima. Yeyote anae pozi kupiga picha kupeleka MICHUZI huyo hataki privacy, anatamani kujadiliwa na jamii, ugonjwa wake, maisha yake, ya nyuma, ya mbele, familia, umbea wake, sura yake, biashara zake... Ana enjoy himself. Picha ikitoka MICHUZI inaenda JF, halafu Dar-Hotwire, then UTAMU. Yeye anafurahia.
Na kweli hujasema!HERI MIMI SIJASEMA. Ahsante Mtakatifu Dilunga.
Inaelekea watu wa O'bay back in the days humu si haba!
...tena wengi enzi za ma 'breki-densi'...siajabu hata kina 'Digadiga na Black Moses' wamo humu
Black Moses nadhani is no more (R.I.P)
heheheheheehheUna contacts za Caro?
heheheheheehhe
shekhe amakweli huachi msala upitao kwa ambachao hehehe Karo yupo wapi wadau?? I mean Karo Nyimbo
masanilo naomba namba za imelda mwamanga
HERI MIMI SIJASEMA. Ahsante Mtakatifu Dilunga.