Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Kaka huyo kupata tu div 0 ni kwamba shule sio sehemu yake.. cha kufanya kama vip jaribu kuangalia aende hivi vyuo vya ufundi then asomee hata cherehani au fani yoyote kwa miaka 2 au 3 then mwanzishie biashara kwenye alichokisomea. Lazima tujifunze kuelewa na si kulazimisha pale mwanao shule inapogoma. Nchi kama ujerumani mtoto akifeli secondary ama akipata marks za kutoweza kuendelea college moja kwa moja anakuwa allocated kwenda kusomea kazi.Anaweza kurudia form 3?