Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Kuna maelezo mazuri yenye msaada kwenye hii thread pitie kwa makini mtapata vitu hasa kwa wanafunzi wa form four mnaouliza kuhusu college..
 
Hey ma funs nna iv ya 28 ma result =>bios d,geo d,hist d,kisw d,civ d,b/keep d,com d,xo chuo kip naweza gonga?
 
mdogo wangu ana C 3 na masomo mengine yooote kapata D mpaka Agriculture. Combi haja-balance. Hatuna uwezo wa kumpeleka Private. Sas tufanyaje?
 
wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2010 nikapata III 25 nikawa na credit mbili nikaka nyumbani mwaka mzima mwaka 2012 nikajitosa kutafuta moja nimeipata.....SWALI LANGU---naweza kuendelea na kidato cha tano kwa muhula wa 2013? Nasikia sheria hairuhusu vyeti vya kuunga na ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe na credit tatu uliozipata ktk kikao kimoja cha mtihani ktk mwaka mmoja huo sasa me nilio reseat itakuaje mungu wangu naitaji kuwasaidia wazazi wangu jembe linawazeesha ntafurahi nikipata majibu naitwa mwita nipo kubiterere Tarime
 
Na mm pia ndugu zangu nina 4- 29 D - 6 so niende chuo kipi, ---- m2 ananishauri niende kwenye chuo cha mambo ya umma je hiko ndo bora au kwani nisha apoy pia vyuo cha biashara kama CBE NA IIA
 
Hey ma funs nna iv ya 28 ma result =>bios d,geo d,hist d,kisw d,civ d,b/keep d,com d,xo chuo kip naweza gonga?
ndugu kama umeipitia hii THREAD vizuri utaona kuna michango nimeshauri watu unaweza kuangalia kulingana na alama zako nini ufanye ..
 
Na mm pia ndugu zangu nina 4- 29 D - 6 so niende chuo kipi, ---- m2 ananishauri niende kwenye chuo cha mambo ya umma je hiko ndo bora au kwani nisha apoy pia vyuo cha biashara kama CBE NA IIA
uko maeneo gani ya tanzania.,..?
 
wakuu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2010 nikapata III 25 nikawa na credit mbili nikaka nyumbani mwaka mzima mwaka 2012 nikajitosa kutafuta moja nimeipata.....SWALI LANGU---naweza kuendelea na kidato cha tano kwa muhula wa 2013? Nasikia sheria hairuhusu vyeti vya kuunga na ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe na credit tatu uliozipata ktk kikao kimoja cha mtihani ktk mwaka mmoja huo sasa me nilio reseat itakuaje mungu wangu naitaji kuwasaidia wazazi wangu jembe linawazeesha ntafurahi nikipata majibu naitwa mwita nipo kubiterere Tarime

Nani kakudanganya dogo? Hapo una vigezo vyote nenda katafute school fasta.
 
kuna msichana ana credit mbili, je anaweza kusoma form five huku ana resit ili kupata tena zile credit mbili?
 
inawezekana....japo ni ngumu kutoboa...lazima ujitoe muhanga kufa na kupona kwani siku hizi una-resit masomo yote 7 ya lazima sio yale uliyofeli tu!...ukikomaa na kuwa makini uweke nguvu zako zote inawezekana...ila kwa somasoma ya lelemama...kufeli kutakuwa nje nje

amini unaweza,na ujiwezeshe kwa kusoma kwa bidii zaidi utaweza
 
kuna msichana ana credit mbili, je anaweza kusoma form five huku ana resit ili kupata tena zile credit mbili?

Ukiwa na Credit mbili hukidhi vigezo vya kuingia kidato cha tano na hutakiwi kufanya mtihani wa kidato cha sita.Ila unaweza kwenda hizi shule za Private (at your own risk) kusoma huku ukijiandaa kurudia mtihani wa kidato cha nne,mungu bariki ukifaulu na kupata credit moja au zaidi basi inakua umetatua tatizo maana itakapofika mda wa kujiandikisha kufanya mtihani wa kidato cha sita utajaza zile fomu na kuonesha credits ulizonazo ambazo zitakua tatu au zaidi.Ila usipofaulu huo mtihani wa kidato cha nne unaorudia basi hutoweza kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa sababu hutokidhi vigezo;Utakua umepoteza muda wako pamoja na pesa zako,Ila vizuri uchukue hiyo risk.
 
inawezekana....japo ni
ngumu kutoboa...lazima ujitoe muhanga kufa na kupona kwani siku hizi
una-resit masomo yote 7 ya lazima sio yale uliyofeli tu!...ukikomaa na
kuwa makini uweke nguvu zako zote inawezekana...ila kwa somasoma ya
lelemama...kufeli kutakuwa nje nje

amini unaweza,na ujiwezeshe kwa kusoma kwa bidii zaidi utaweza

aaaaaah! mkuu mbona ukiangalia matokeo ya p.candidates mwaka jana kuna watu wali resit masomo mawili na wengine matatu wengine yote?
 
Back
Top Bottom