Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Brother mie kuna jembe langu lina PCB but imesimama ki_hivi DDC vip kuhusu huyu ana four ya 27 na result lake ni_civ D, chem D, geo D, eng F , kisw D, math F,phy D, hist D and bios C..,nifahamishe kuhusu hapo..

Hahahaaaa jembe lako limechemka broda!! Hembu pitia hii sredi utapata option nzuri ya nini cha kumshauri jembe lako!! Kureseat PCB ni mziki mzito edwin...mwambie jembe hapo hana ujannja, abadili upepo tu.
 
nina ushauri hasa kwa wazazi na walezi wadogo zetu hawa waliomaliza kidato cha nne na ambao wamejitahidi kupata alama za kwenda kidato cha tano
endapo mwanao au nduguyo amefaulu shule ya serikali tizama ni mchepuo gani anaenda kusoma na shule gani kapata usikurupuke kumuhamisha bila kufanya japo katafiti kadogo kwa shule nyingi za serikali ni hali si hali yaani zote ni panzi na nzige hazichekani sana kutokana na uhaba wa vitendea kazi na walimu ukiacha shule chache sana ambazo huwa zinafanya vizuri kwa hiyo walimu huwa wanapata motisha ya kufanya kazi na si nyingi kihivyo.. sasa basi suala tuition kwa mwanafunzi kabla hajaenda form five kwa haka kwa mwezi ni lazima kubali au kataa kama una uwezo mpeleke tu ,ununuzi wa vitabu ni lazima kubali kataa ,pocket money yake kwa ajili ya tution atakapo kuwa shule ni lazima maana atakutana uhaba walimu kwa hiyo lazima atafute njia mbadala ambayo ni tution
jambo jingine chagua shule ambayo unaweza kuwasiliana naye kirahisi au anaweza kupata resourse kwa ajili ya kusoma kirahisi(vitin na vitabu)hapa kama unataka kumuahamisha
elimu ya A-LEVEL ni kipindi kifupi na syllabus yake ni kubwa sana kwa hiyo ajitahidi sana kusoma na kumaliza syllabus mapema iwezekano
usomaji wa vitabu kuongeza maarifa sio kung'ang'ania past pepa tu na vitin
wale ambao mnechaguliwa shule za michepuo ya sayansi za A-LEVEL(pcm,pcb,cbg,cbn,cb,pgm) huku kunachangamoto nyingi sana kunahitaji kujituma kwa hali ya juu na kuwa na moyo binafsi maana huku ndio kwenye matatizo sana hasa ya walimu na vifaa vya practicals

Good advice to follow....elimu yetu kwa sasa imechakachuliwa sana, BILA self effort inakula kwako!! Huu ndio unaitwa USHAURI WA BURE
 
hivyo kwa ushauri wako mkuu ni bora dogo arudie hesabu ili aondoe hiyo f ili aweze kupata option nyingi university!

ya ndo mana ake...afute f ya hesabu hapo, maoption kibao atayakuta huko mbele...hesabu ndiyo mpanggo nzima lakini watoto ukiwaambia hivi huwa hawaelewi always...sijui kwanini??
 
Mimi pia nina 4 ya 28
nina d saba,c moja na f ya math,naomba mnisaidie ntaweza apply wapi?
 
Napenda kwenda vyuo vya afya wanaweza nichukua?maana nina d ya bios,phys,chemis na hyo f ya math,watanichukua?
 
Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie.

CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE,
P.O.BOX 30,
IFAKARA,
MOROGORO.


Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
 
Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie.

CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE,
P.O.BOX 30,
IFAKARA,
MOROGORO.


Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
nimekuPM hii namba ila kwa faida ya wote na watu wengine jaribuni kutumia hii namba 2625018 ni land line hiyo tumia extension ya morogoro
 
Extension ya morogoro ni ipi hiyo mkuu au ndo 022?

022 ni ya dar es salaam

Check hapa...Area codes kwa region, anza na 0

Arusha27Lindi23Ruvuma25
Coast Region23Mara28Shinyanga28
Dar es Salaam22Mbeya25Singida26
Iringa26Morogoro23Tabora26
Kagera28Mtwara23Tanga27
Kigoma28Mwanza28Zanzibar24
Kilimanjaro27Rukwa25
 
Yap ni vizuri sana kuwapa muongozo, wengine washaanza kupanic huku mtaani "mi ntafanya nini?" hii ndo elimu si lazima ukae darasani, tatizo utakuta hata hao wadogo zetu bado hawapo kwenye mitandao itayofungua macho yao. Lakini watasikia tu hata kwa kuambiwa.....
 
Hapo una uwezo mkubwa wa kuchaguliwa combination ya hkl, lakini je ulifanya selection ya shule gani na combination zipi? Kama ulichagua comb ya hkl shule yoyote 78 percent utachaguliwa
hizo asilimia nyingine hutegemea zaidi ufauru wa mwaka kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo.
 
civ.c hist d geo.c.kisw d eng.c phy.c chem.b bios b b/math .a add.math .d shule ya kwanza kuchagua ni tosamaganga pcm ya pili minaki pcb ya tatu njombe cbg. nk.sasa uamuz wake ni kusoma pcb ili awe dr.je kwa matokeo haya ya mwaka huu unaweza kumkadiriwa kuenda shule gani?na je shule hizo tatu zinaweza kuwa na ubora sawa au ipi bora zaidi? samahani wakuu maswali nahisi ni mepes lakn ynahtaj majib magumu hebu nifumbuwen au aende privet kama ndvyo shule gani kwa pcb? nawaskisha
 
Nimepata three ya 24 nina C nne yani ya Hist,kisw,Engl,na Civics na D ya math,biology na Geography naweza kuchaguliwa government school au ni tegemee private school

kimehasabu na kwa kiwango cha ufaulu na ongezeko la shule za A-LEVEL kuna uwezekano mkubwa wa wewe kupata shule tatizo tu ni kuna uwezekano mkubwa wa kupata shule ambayo hukuichagua kutokana either na ushindani wa shule au cut off point za shule husika ila kama ulianza na HGL AU HKL NAONA UMEFANYA FRESH SO KUNA UWEZEKANO WA KUPATA SHULE ULIYOCHAGUA
 
civ.c hist d geo.c.kisw d eng.c phy.c chem.b bios b b/math .a add.math .d shule ya kwanza kuchagua ni tosamaganga pcm ya pili minaki pcb ya tatu njombe cbg. nk.sasa uamuz wake ni kusoma pcb ili awe dr.je kwa matokeo haya ya mwaka huu unaweza kumkadiriwa kuenda shule gani?na je shule hizo tatu zinaweza kuwa na ubora sawa au ipi bora zaidi? samahani wakuu maswali nahisi ni mepes lakn ynahtaj majib magumu hebu nifumbuwen au aende privet kama ndvyo shule gani kwa pcb? nawaskisha[/QUOTE
ana CDCDCBBCAD= DIV 1.17 SAWA SASA DOGO KAMA ANATAKA KUSOMA PCB AMBAYO ANA CBB KWA SHULE YA MINAKI LAZIMA ATAPATA ILA KAMA ALICHAGUA PCM AMBAYO ANA BBA YA KWANZA KWA SHULE YA TOSAMAGANGA LAZIMA ATAPATA USHAURI NI HUU YEYE KAMA ANATAKA KUSOMA PCB NA UNAONA ANAJIWEZA MIMI BINAFSI NIMESOMA PCM MINAKI NAZUNGUMZIA UZOEFU WANGU NA SHULE ZA KATI ZA SERIKALI ZA WAVULANA YAA NI ZILE AMBAZO WANACHAGALIWA WALE WENYE UFAULU WAKATI KAMA PUGU TOSAMAGAGANGA MINAKI,IFUNDA,OLD MOSHI, MOSHI TECHNICAL ,MINAKI NA NYINGINE NYINGI HIZI KWA KWELI ZINAFANANA SANA MATATIZO HASA KWENYE WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI UTAKUTA MTU ANAHAMA ANATOKA PUGU ANAENDA MINAKI AKITEGEMEA AFUENI KUMBE NAKO CHALI.. UKIONDOA MZUMBE,KIBAHA ILBORU,TABAORA AMBAZO HUWA WANAENDA WATU WALIOFANYA VIZURINA HUWA KUNA USHINDANI PAMOJA NA MATATIZO YA SHULE ZA SERIKALI KWA HIYO HUWA WANAFAULU VIZURI
SASA MIMI NINGESHAURI HIVI KAMA ANATAKA KUSOMA PCB NA UNAONA ANAJIWEZA AENDE MINAKI KWA SABABU ZIFUATAZO KWANZA ITAKUWA RAHISI KWA KUPATA MATERIAL S MINAKI IKO KARIBU NA DAR SO IKUWA RAHISI SANA KUPATA MSAADA NA NDUGU WA PUGU NA SHULE NYYINGINE ZA DAR KAMA BENJA AZANIA , TAZAMA NK
KAMA AKICHAGULIWA TOSA PCM NA YEYE ANATAKUSOMA PCB ANAWEZA AKAFIKA AKABADILI MAANA KUNA WIKI ZA MWANZO UNAPATA NAFASI YA KUBADILI COMB KAMA UMEKIDHI VIGEZO LA KAMA UNA UWEZO MPELEKE PRIVATE TU ILA SHULE NYINGI ZA SERKALI HASA ZA MICHEPUO YA SAYANSI ZINA MATATIZO YANAYOFANANA
NAFIKRI NIMEJITAHIDI KUTOA DARASA
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom