waheshmiwa awali ya yote niwashukuru sana tena sana kwa kushriki ktk kuchangia hoja hii ya kijana wangu cna neno lingne la kushukuru zaid ya asanten.niwatambuwe kwa kuwataja MAGANGAMSEMAKWELI Maoni na ushaur wako nauzingatia hasa hoja ya kubadili comb nk. nitakuwa mchoyo wa fadhira kama ctamtaja SIZINGA ambae kwa mie namuita MASTER ktk Kushauri maswala ya elimu hakika wote wenye shukrani wataungana nami ktk kutambua mchango wako.nawashukuru pia wote walionipigia cm kutoa maoni yao 6tawataja wote lakn ni pamoja na ndg.kaminyoghe ndg.steven na wengne weng MUNGU AWATANGULIE NA KUWAPA MAARIFA ZAIDI.AMEN