Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Mkuu umemsahau P. A hanifaa
Nimempenda bureee
Tutakosana bwana mdogo...
Mimi ndio wa kwanza kumpenda kabla yako. Chunga sana.
Mkuu umemsahau P. A hanifaa
Nimempenda bureee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] forex itaamuaTutakosana bwana mdogo...
Mimi ndio wa kwanza kumpenda kabla yako. Chunga sana.
Hakika umenenaSirjeff "Ontario" kijana Mdogo Kwa umbo Ila akili mingi
Rea ,a very good instructor,ambaye anaweza kufundisha mavitu magumu na mwanafunzi akayaelewa kirahisi
Cre : A pan Africanist,anaeamini kuwa wakati umefika ambapo waafrica tupeane maujuzi ya biashara, tupeane madili na kustawishana wenyewe kwa wenyewe.
Hii ndo team ya TMT leadership, vijana wapo vyema.
Forex ni ngumu sana kama hautakuwa alongside watu sahihi, and to Me TMT is a dream team.
Kingine ambacho nadhan hata Authorities zitakuja kugundua ni kwamba Idad ya vijana wanao tumia intanet kwa mambo ya ujinga itapungua sana.
Kwa nini nipoteze bando langu kucomment ujinga wa Lemutuz ,Shilawadu na Mange wakibishana juu ya ushiriki wa Bashite kwenye harusi ya Zamarad, wakati I can use same bandle kufanya chart analysis,kupitia news i.e. NFP etc etc ambazo zinanifanya niingine $ ?
Life inabadilika sana.Ni hatari lakini salama. TMT forever
Mkuu thread ikiwa ndefu hamna haja ya kui-quote, comment tu post yako itaonekana.Mungu akubariki sana, Mungu ibariki TMT idumu daima....mmebadilisha maisha yangu ndani ya wiki moja
Word MkuuHakika umenena
Hii timu ni timu ya ushindi a.k.a. The Million Team
Ontario-Or Jeff hakika ni kijana mdogo lakini amepitia na kufanya mengi makubwa kabla ya kuianza safari ya Forex.ukigoogle jina lake halisi la Sirjeff Dennis utasuuzika na roho yako kwa mafanikio yake hususani kupitia kilimo na ufugaji utaona kweli ni kijana wa determination
Vitu vyake na umbile au umri ni tofauti kabisa mimi namfananisha anapoweka malengo yako inakuwa ni kama Messi na goli hana kazi nyingine uwanjani ni kutikisa nyavu tu
Reabtsone Nkopane a.k.a Ria maana jina halisi ni gumu msije uma Ulimi.
Huyu ni Mwalimu aliyefanikiwa kufundisha kwa lugha nyepesi na mifano halisi itakayokufanya uone somo la Forex kama burudani na hutochoka na kutamani upewe test ili upige maksi mia
Mr Createn Valoyi a.k.a Mr V, Mr Blue ama Mchana(Hii Mchana ni namna ya kuitana kwa mabest kule South Africa)
Huyu ni very Skillfully & Professional trader ambaye atakupa Mentorship au Miongozo ya kufanya Forex Trading kwa kufuata analysis mbalimbali na kuzingatia miiko ya maandalizi kabla ya kuingia uwanjani ili uweze kutrade kwa urahisi na kwa faida
Kwa wenye Instagram mnaweza kuingia akaunti za hao wadau na mkajionea taarifa mbalimbali zinazotumwa kwenye akaunti zao nyingi kutoka kwa traders mbalimbali wanaotoa shuhuda zao
Jaribu kuchungulia "@cre.forex" au "@sirjeff_dennis" na "@tforex_n" kama hujapigwa butwaa kwa kuona figure za hatari za Blue Blue (ndio asili ya jina Mr Blue) ambazo zinamaanisha pesa zilizoingia na zikiwa kwa currency za hatari kama USD au GBP
Bila kusahau kuwa kuna Personal Assistant na Office Caretaker Niffah anayesimamia hatua zote za usajili na ufunguaji wa akaunti za benki na za broker kwa urahisi na kujibu maswali mbalimbali yahusuyo TMT Forex activities pale ofisini Jangid Plaza, kwa kweli akikuhudumia utaondoka umeridhika kiasi cha kutosha
Mwisho nimeona watu wengi wakiulizia suala la Broker..kwa kuwa nimebahatika kulijia kidogo sio mbaya nikilielezea kwa faida ya wengine
Ili uweze kuunganishwa na kuweza kufanya biashara na Financial Market zilizopo Sydney- Australia,London Uingereza,Tokyo-Japan na New York marekani ni lazima upitie kwa Broker aliyesajiliwa na aliye na vigezo vinavyotakiwa ili akusimamie kwa commission fee ndogo unapofanya trading
Kwa mfano rahisi ukiagiza gari ama mzigo nje ya nchi utakapotaja kuutoa bandarini lazima utumie Clearing & Forwarding Agent aliyesajiliwa na mamlaka husika kama TRA akutolee mzigo wako kwa chaji kidogo
Hivyohivyo ukitaka kutuma(export) mzigo au mazao nje pia itakupasa upitie kwa huyo wakala wa forodha akufanyie taratibu zinazotakiwa kwa gharama ndogo
Hivyo hivyo katika Forex kuna Broker wa kukusimamia biashara yako na mapato utakayoingiza kwa gharama ndogo
Vinginevyo ingekuwa ni vurugu mechi
Kwa walionunua hisa za Vodacom hivi karibuni waliona matangazo ya kuwa ununuzi ulikuwa unafanyikakupitia kwa mabroker wa soko la hisa la DSE
Hii kitu ni fursa haichagui umri,dini, itikadi,jinsia na haikulazimishi kufunga safari kwenda ofisini ili ukaifanye..You can trade Forex Anywhere,Anytime during those 5 days..
Sio kipaji bali ni elimu ambayo ukifundishwa, ukaifuata vema na kuisoma zaidi basi ni hakika utaifanya kwa kiwango cha mafanikio zaidi kuliko kiwango cha kutofanikisha
Posho unayolipwa pale Lumumba haikutoshi mkuu?Songea lini aiseee....dah kukaa porini sa nyingine kunacost kweli kweli!
PM bossMrejesho nami nilianza na 189 USD hadi Jana nilikuwa na faida ya 112 USD.shukrani TMT
Oysterbay jengo LA jangid plaza karibia na makao makuu ya usalama Wa taifaNi wapi huko TMT na Mimi nije?
Mataa ya kupinda kwenda St Peters Church ama Protea HotelOysterbay jengo LA jangid plaza karibia na makao makuu ya usalama Wa taifa
Kuna social network nyingi kwa nini wabongo tumekomaa na watsap group tuu? why not telegram group, why not facebook closed group?Hauna wasap! Au magrp yamejaa?