Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

wakuu me nataka nifungue real acc kupitia JPmarkets vipi anahitaji documents gan hadi nifanikiwe
 
please, when this thing gets to Mbeya, notify us. watu wa Tunduma, Songea, Iringa and Njombe plus Sumbawanga, tukutane Mbeya city. be blessed!
 
MUNGU wangu, nawezaje na Mimi kujifunza.
Niondokane na huu umasikini mimi
Easy madam kila zone tz ina group lake so we check post ya kwanza ya Ontario then ingia group mojawapo ulilo karibu nalo geographical then you are in
 
Salute bosses

Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt [emoji14].

Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.

Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.
9ba62836e6ea18a2b9240fc1fa3f402c.jpg

be8fcc085ee2056e2a7131ac6d5ac01d.jpg


Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi
446cc8b9111e99909242b4d1d9b41a9b.jpg


Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.
b0986386c42a525f79b799ef03896a7d.jpg


Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000
dcab4699b38d8d593ec1da3cda0dc1f3.jpg


Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.

The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.

Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.

I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.

Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.

Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.

Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.

Utaratibu wa kujiunga:

Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!

Magroup yapo kama ifuatavyo

Lake zone - kanda ya ziwa
TMT Forex Lake Zone

Northen Zone - Kanda ya kaskazini
TMT Forex Northen Zone

Highland zone - nyanda za juu kusini
TMT forex Highland Zone

Coast Tanzania - Dar & pwani
TMT Forex Dar

Central Zone - Dodoma na mikoa jirani
TMT Coastal zone

Mkuu mi nataka kulipa leo nipo mwanza
 
Sirjeff "Ontario" kijana Mdogo Kwa umbo Ila akili mingi

Rea ,a very good instructor,ambaye anaweza kufundisha mavitu magumu na mwanafunzi akayaelewa kirahisi

Cre : A pan Africanist,anaeamini kuwa wakati umefika ambapo waafrica tupeane maujuzi ya biashara, tupeane madili na kustawishana wenyewe kwa wenyewe.

Hii ndo team ya TMT leadership, vijana wapo vyema.

Forex ni ngumu sana kama hautakuwa alongside watu sahihi, and to Me TMT is a dream team.

Kingine ambacho nadhan hata Authorities zitakuja kugundua ni kwamba Idad ya vijana wanao tumia intanet kwa mambo ya ujinga itapungua sana.

Kwa nini nipoteze bando langu kucomment ujinga wa Lemutuz ,Shilawadu na Mange wakibishana juu ya ushiriki wa Bashite kwenye harusi ya Zamarad, wakati I can use same bandle kufanya chart analysis,kupitia news i.e. NFP etc etc ambazo zinanifanya niingine $ ?

Life inabadilika sana.Ni hatari lakini salama. TMT forever
 
Tunachafua anga TMT ni mkombozi wengi mm mwezi ujao nataka nianze kujenga msingi wa kajumba kangu najua nikiasi gani akaunti inasoma


Mkuu, najua huwa tunakutana sana humu kwenye threads zenye nature ya kujikwamua kimaisha. Nakufuata PM mkuu unipe ABCs kuhusu hii.

Isijekuwa vijana njaa inatuchapa kitaani kumbe kuna fursa ya kupata real money bila jasho kiviiile.

Mkuu Lizarazu upo wapi kaka?

-Kaveli-
 
wakuu me nataka nifungue real acc kupitia JPmarkets vipi anahitaji documents gan hadi nifanikiwe
1.kitambulisho eg voters,national,driving licence
2.proof of residence eg bank statement(any bank),utility bill eg Luku kwa jina lako
Ingia kwenye hii link then utaona hizo document za kusubmit Live Trading Account - JP Markets
Au kama uko karibu na dar fika ofisini kuna smooth ways zaid pale unapokua umekwama sehemu shida yako itakua solved chap
 
Boss ONTARIO ,

My kind request: naomba unidhamini for one seat in the Forex Training. I will refund you when I start downloading the bucks a.k.a dead presidents !

I humbly submit.

-Kaveli-
 
Training kwa dar ni lini tena wajameni..... naona watu wana download ma dollari.....

this time i dont think kama nita miss hii chance kwa dar.....
 
Wakuu salaam

Hii ni habari njema sana kwa Watanzania walioko mikoani ambao kwa either kubanwa na shughuli zao ama kutomudu gharama za kuja Dar na kukaa kipindi cha Mafunzo

Hii ni fursa mlangoni!

Hawa TMT wamewafikia kwa gharama zao za Usafiri,Malazi,Chakula na hata Ukumbi wa Training

It worth a lot comparing to 130K ambayo utalipia mafunzo. kwa maisha ya leo hicho hakitoshi kwa siku ukikibajetia kwa chakula,usafiri,simu,data umeme nk

Vijana wengi wa vyuo vimefungwa wapo likizo hivyo wanaweza kutumia hii fursa kwa utulivu pasipo kuingiliana na ratiba zao za masomo.

Kwa vijana wengi wao tayari wana Laptop zao na pia Fresh minds ambazo ni rahisi kucatch mafundisho ya Forex Trading Skills tofauti na watu wazima wengi ambao tayari wana kazi, biashara zao na hata familia zao

Kwa kusema hivyo simaanishi kuwa fursa ni kwa vijana pekee hapana..Watu wazima akinababa na akinamama pia hii si jambo la kuwapita

Uzuri kuna masomo ya jioni hivyo kwa waenda makazini wanaweza kuhudhuria kipindi cha jioni wakitoka maofisini badala ya kupita kwenye viti virefu kukata kiu ama burudani zingine

Ni mafunzo mafupi ambayo binafsi nimeyapitia na ni wastani wa masaa mawili na nusu kwa siku na vijitabu zaidi vya kujisomea nyumbani pia kufungua akaunti za DEMO kufanya mazoezi ya Forex trading kabla ya kuja kufanya kitu halisi

Haya mafunzo ya theory yakikamilika kwa wiki moja mara nyingi wiki ya pili ni hatua ya muendelezo wa kufungua akaunti za benki na akaunti za kwa trading broker pamoja na finally kufanya LIVE accounts trading chini ya Muongozo(Mentorship)ya Mtaalamu wa biashara hii kutoka South africa

Darasa la kwanza hapa Dar lilihudhuriwa na watu wengi kutoka mikoani, hebu fikiri waligharimika kiasi gani kwa nauli,malazi, chakula na muda wao kwa muda wote waliokuwepo jijini Dar
Jambo ambalo hawalijutii kwa sasa kwa kuwa tayari wamesharejesha gharama zao pamoja na mitaji waliyoanzia kwenye trading accounts kama ilivyoonyeshwa kwenye maelezo ya awali aliyoweka mleta uzi ONTARIO

Acha kupoteza muda wako mitandaoni bure kubishana na kupoteza data zako pasipo kuzalisha na hata wakati mwingine kuangukia makosa yaliyobainishwa na sheria za mtandao

Tumia muda wako mtandaoni kifaida yako kiuchumi na kielimu kupanua ndoto zako kwa muda mfupi

Kwa ambao hawakusoma thread za nyuma za ONTARIO hii elimu ni aghali na imewagharimu watu wengi kabla hawajapata mafundisho sahihi kama haya yaliyowafikia huko na mashahidi ni testimonials za wanafunzi batch za awali walioanza kula matunda

Pia niwaambie kuwa hii biashara sio MCHEZO wala sio GAMBLING/BETTING ama Ponzi Scheme,
Hii ni Elimu ya Biashara ni SKILL ya kumanage ununuzi na uuzaji wa pesa za kigeni digitaly kwenye PC,Tablet ama Smartphone

Ni Bureau de Change mkononi uzuri wa hii huna wasiwasi wa kuvamiwa na majambazi..wateja wapo masaa 24 kwa siku tano za biashara yaani Monday to Friday na uamuzi wa kuuza ni wako at any time kulingana na hali ya soko

Hujachelewa anza sasa natumaini kufikia Christmas na Mwaka Mpya utakuwa umefika mbali baada ya kuhitimu mafunzo

All the Best tupeane mrejesho wa mafanikio kwani naamini miezi mitatu ijaho hutokuwa ulivyokuwa leo
 
Sirjeff "Ontario" kijana Mdogo Kwa umbo Ila akili mingi

Rea ,a very good instructor,ambaye anaweza kufundisha mavitu magumu na mwanafunzi akayaelewa kirahisi

Cre : A pan Africanist,anaeamini kuwa wakati umefika ambapo waafrica tupeane maujuzi ya biashara, tupeane madili na kustawishana wenyewe kwa wenyewe.

Hii ndo team ya TMT leadership, vijana wapo vyema.

Forex ni ngumu sana kama hautakuwa alongside watu sahihi, and to Me TMT is a dream team.

Kingine ambacho nadhan hata Authorities zitakuja kugundua ni kwamba Idad ya vijana wanao tumia intanet kwa mambo ya ujinga itapungua sana.

Kwa nini nipoteze bando langu kucomment ujinga wa Lemutuz ,Shilawadu na Mange wakibishana juu ya ushiriki wa Bashite kwenye harusi ya Zamarad, wakati I can use same bandle kufanya chart analysis,kupitia news i.e. NFP etc etc ambazo zinanifanya niingine $ ?

Life inabadilika sana.Ni hatari lakini salama. TMT forever
Mkuu umemsahau P. A hanifaa yan cjui kasomea wapi kuhudumia wateja[emoji23] [emoji23] yan unaondoka huku unamuwaza kwa kaul zake za kizalendo
Nimempenda bureee
 
Back
Top Bottom