pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,577
Kwa sababu umeamua kunitusi.Ngoja nianze hivi. FOREX IMENIZIDI SANA UMRI ILA SIO UPATU KTK FOREX. Hata sabuni imenizidi umri ila sio upatu wa sabuni unaofanywa nyuma ya sabuni. Sasa nipe analysis hapa ya MChakato mzima wa kujiunga hadi kutengeneza pesa na mimi nikupe facts zote.
Kumbe hata mchakato wa kuanza kusoma kupata training na kufungua account na broker kisha kufund account yako na kuanza kutrade hujui halafu unathubutu kusema ni Upatu....Mimi nilidhani unajua mchakato mzima na umeupima ukaona ni Upatu ndo maana ukadiriki kusema ni Upatu....kumbe hata mchakato huujui halafu unathubutu kusema ni Upatu.
Siwezi kuendelea na wewe maana wanasema no research no right to speak.
Nakushauri ufanye kwanza research Kuhusu kinachoendelea halafu ndo uje na hzi ngonjera zako vinginevyo watu watakuona hujui kitu.
Na kwa vile wewe ndo umeamua kusema ni scam sio kazi yangu kukuelezea mchakato hilo ni jukumu lako la kutafuta huo mchakato ili uaminishe umma kuwa ni scam kama ambavyo unasema.