Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Boss tuko pamoja .
Kuna ndugu yangu alifika kwa training iliyoisha Jana akitokea Geita kjijini anakoishi kikazi ,akiwa na USD 270 .Aliañza live trading jumatatu mchana na hadi jana jioni alipofunga mahesabu ameweza kufanikisha kupata faida ya USD 100.
Mchana huu ameondoka na atalala Dodoma,akiwa mwenye furaha sana.
 
Nitaumia sana kama hili liserikali likianza kuleta fitina kwenye forex...

Niyashauri tu haya mazee yenye vipara kama solar panel ya mjerumani na vitambi kama gunia la mchele kama yameshindwa kutoa ajira kwa vijana na kukomboa pangaboi kule canada basi yakae mbali kabisa na forex!!!

Tutakutana Arusha mkuu wangu!!
 
Make sure Arusha still 16/10 tumeshaomb ruhusa makazini mkuu
mkuu,amekuambia wakitoka mwanza watarudi dar kwa wiki moja,hapo inamaana tareh 13,wanamaliza mwanza,then dar watarudi kwa wiki moja,hapo ina maana arusha wataanza tar 23oct,omba ruhusa kuanzia tar 23 mpk 27.
 
Haha mkuu una mawazo Kama yang yan mi nlipta had mteja kabsa lkn dakika ya 89 mzee akanipa pesa aisee[emoji23] [emoji23]wher there is a will there's a way
Dah hii kitu nzuri sana ukiweza, money without stress!
 
Wakuu maisha yashabadilika wakuu hapa ni mwendo wa Ku withdraw tu na kuanza kuujenga uchumi wa Tanzania hasa kwa kuanzia na MTU mmoja mmoja hii account ina less than two weeks na ukianza na mtaji mdogo sana kiasi kwamba hata kuamini ni kazi less that 100 USD lakini Leo ina more thank 2000 USD sasa hapo kuna uchawi kweli aisee
Cha msingi ni kupata maelekezo ya mentorship paka ukomae hakuna uchawi hapo ni ajili ndogo tu na uvumilivu basi
Thanks to Ontario aisee amechange maisha ya vijana wengi sana nikiwepo na Mimi niliekosa ajila for more than 2 years baada ya kumaliza chuo sasa hai watoa ajila nategemea kuanza kuwaajili Mimi sasa hahahah

Thanks chief and God bless you na tuko began kwa began popote pale paka tukikomboe hiko kizazi endelea kupambana paka ma heaters wake kujiunga pale TMT where money are downloaded yani unalipwa kwa kua patient tu na kua makini hahaha acheni aisee

Wakuu wa mikoani hii kitu sio ya kukosa jitahidi hata wakitishia kukufukuza kazi achana nao naenda Upate training sasa angalia less than two weeks kwa pesa ya kibongo hapo ni kama more than 4 mill na mda ukienda tukiwa vizuri taanza kuutafuta mshahara wa fundi lisu ambayo hadi anapigwa risasi wakati Mimi nakaa ndani na nilitoka nataka na begi la hela

Huyu mkuu Ontario anastahili kuheshimiwa sana na soon heshima yake inakuja na wote ambao wanapinga watajua alikua na vision gani

All in all God first and have a nice weekend guys
IMG_20171007_130419_525.jpg
 
Back
Top Bottom