Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Kuna social network nyingi kwa nini wabongo tumekomaa na watsap group tuu? why not telegram group, why not facebook closed group?
Whatsapp inafikiwa na wengi na imezoeleka zaidi tofauti na hio mitandao mingine
 
ONTARIO Mungu akutie nguvu katika haya.
Na hii ni fursa nyingine adhimu kwa watanzania walio nje ya dar kupata elimu hii ambayo kwetu huku ilichelewa kufika ila sasa inakuja hadi milangoni kwetu.

Kwa wote walio na shauku ya kuanza hii kitu aisee msirudi nyumaa kabisaa, maana wapo watakaowakatisha tamaa na kuwatisha, either kwa kutokujua kwao, kutopanua fikra zao ama kwa chuki tu. Hii ni fursa maridadi kwa watakao kua makini kubadilisha hali ya mifuko yao. Hii ni investment kama investment nyingine so muwe tayari kukabiliana na changamoto zake maana zipo, ila tupo ili tuzishinde changamoto so msife moyo muwe hodari.

Wakati wote nimekua nikisema kwamba haya ni mabadiliko chanya ya kiteknolojia na hatuna budi kwenda nayo sambamba watu wangu.

Tushikamane na ONTARIO maana ana team ya watu MARIDADI SANA na kwa pamoja tunaendeleza gurudumu hili liende mbali zaidi.
Binafsi sikutegemea training tamu kutoka kwa watu wanaojua ni nini wanafanya aisee, na nilishaanza kutrade live.

Guys this is a welcome call for all of you to grab this hot hot opportunity as it is still available and for the very very cheap fee.

All the best on your way to download money.
 
Boss ONTARIO ,

My kind request: naomba unidhamini for one seat in the Forex Training. I will refund you when I start downloading the bucks a.k.a dead presidents !

I humbly submit.

-Kaveli-
Boss ONTARIO ,

My kind request: naomba unidhamini for one seat in the Forex Training. I will refund you when I start downloading the bucks a.k.a dead presidents !

I humbly submit.

-Kaveli-
😀
 
Salute bosses
Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.

Utaratibu wa kujiunga:


Magroup yapo kama ifuatavyo

Lake zone - kanda ya ziwa
TMT Forex Lake Zone

Northen Zone - Kanda ya kaskazini
TMT Forex Northen Zone

Highland zone - nyanda za juu kusini
TMT forex Highland Zone

Coast Tanzania - Dar & pwani
TMT Forex Dar

Central Zone - Dodoma na mikoa jirani
TMT Coastal zone

Zanzibar mbona haipo mkuu...na kwenye list umeiweka, lakini hakuna whatsapp group? na labda huku visiwani mnalenga kuja lini ili niweze at least kuhamasisha watu wakaribu yangu,tuweze kuhudhuria walau watu kadhaa.
 
Kuna social network nyingi kwa nini wabongo tumekomaa na watsap group tuu? why not telegram group, why not facebook closed group?
Facebook??? WhatsApp yenyewe kuna watu wanaleta mizaha ndo iwe Facebook
 
Watu wa mwanza, mmeletewa Neema. Jitokezeni kwa wingi kujifunza fursa hii muhimu tuliyoikosa miaka mingi ambayo internet imekuwepo lakini kwenye maarifa na taarifa hawakujitokeza mapema kujuvya wa TZ.
Big up kwa kijana ndogo wa mwili na umri Ontario ambaye amejitolea kwa nguvu zake zote kutufumbua macho kwa gharama zake mwenyewe kuhakikisha kwamba suala la ukata wa fedha kwa wazee na vijana hasa wasomi linakwisha. Ontario ameanza kwa vitendo kuhakikisha kwamba vijana walioko na waliomaliza vyuo wanaacha Mara moja kulalamika juu ya ajira maana ajira ya Forex ni kubwa na kamwe vijana hawawezi kuimaliza.
Mwanza amkeni Sasa.
Achanenj na kuangalia ngono kwenye smartphone zenu. Hizo smartphone zigeuzeni kuwa ofisi zenu.
Karibu Forex trading
 
Nimemaliza training Jana. I'm not the same guy who came to TMT last Monday!

Hakika nimepata knowledge itakayo nifaa for life.

This thing has to be taught in schools. Tutabadilisha maisha ya watu wengi sana kwa kushinda hii vita ya UHURU WA KIUCHUMI.

I'm a TMT ambassador now. I'll make sure I spread the good news to everyone I know.

Uzuri ni kwamba hatuuzi matikiti kwamba kukiwa na wauzaji wengi tutakosa soko!

We are in the world of endless opportunities for everyone who is willing to take them.

Sitaki kuzungumzia kiasi nilichotengeneza au nitakacho tengeneza hivi karibuni.

I will testify after six months!

It's a liberation movement, you can join us or you can watch us grow!

Results or excuses, the choice is yours. Have results and earn respect or have excuses and earn sympathy!

Peace be upon you!

Oohh! Kakufundisha Haya Maneno yote? Good Guy
 
Oohh! Kakufundisha Haya Maneno yote? Good Guy
Very pathetic, unaonekana ni lizee flani lenye wivu usiokua na tija.

Hakuna alieshikiwa fimbo kuingia kwenye training. Tumependa wenyewe. By the way, hakuna aliekuomba mchango kwaajili ya training. We use our own money, so take a chill pill old man!

Sitaki nikukosee adabu, ila kama itanilazimu nitafanya hivyo!
 
Very pathetic, unaonekana ni lizee flani lenye wivu usiokua na tija.

Hakuna alieshikiwa fimbo kuingia kwenye training. Tumependa wenyewe. By the way, hakuna aliekuomba mchango kwaajili ya training. We use our own money, so take a chill pill old man!

Sitaki nikukosee adabu, ila kama itanilazimu nitafanya hivyo!
Old man,What do you mean? young ass!
 
Back
Top Bottom