Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

I will alwayas remember this statement....
*i will share my blessing with others*
TMT team really doing this sharing this blessing will others,...no words can explain how greatful i am to yo all...but may the Almighty God grant you more,...all TMT members including all who attended and who will attend training.
Lets keep downloading it.
 
kumbe niffah ndio secretary.? hebu wekeni picha yake tumuone
TMTM ni zaid ya family....soon we gonna be agents as TMT will be first forex broker in east africa.....tunajuana wote physically mle ndan.....so kumuulizia niffah tuu haina maana mkuu.....hata ukitaka kumuona The Bold we njoo TMT.......[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Ahsanteni sana TMT ndoto zangu zinatimia. Kwa mara ya kwanza baada ya kusoma thread ya ontario inayohusu forex na utajiri uliofichwa hasa kwetu watanzania ilitosha kabisa kunifanya nihamasike na kuanza kutafuta maarifa zaidi ya jinsi ya kufanya hii biashara. Kuna watu wengi walupongeza na baadhi wakataka kutuaminisha ya kuwa hii ni kama DESI laki i kwangu mimi ilikuwa fursa adimu sana. Nilianza kutafuta brokers mbalimbali kama Xness, XM, ICM, AAA, Zulu trade na Fxpro. Nilijisajili na brokers wote lakini nika fund akaunti ya fxpro baada ya kufanya demo kwa mwezi mmoja. I funded my account with $ 2,100. Wiki ya kwanza nilipata $ 480 nikaendelea kwa wiki nyingine nikapata zaidi. Baada ya muda kwasababu sikuwa na mentor na kukawa na press conference ya Yellen ambaye ni chairwoman wa FOMC kwasababu nilikuwa na trade kama a naked day trader akaunti yangu ikapukutishwa nikabaki na almost $ 300. Baada ya hapo nikaingiwa woga kidogo nikawa natafuta maarifa zaidi huku na trade kwa kuvizia, baadae nikapata nafasi ya training TMT group 3 thanks to Ontario, Rea and Mr. V himself for guidance my account is now $ 1,169. Hopefully next week i can double the account. The training and guidance are of the highest standards. Binafsi nimejifunza mengi sana na nimejifunza kwanini nilikuwa naunguza akaunti sababu ziko nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kuwa mlafi (GREED) na hivyo kuwa na lot size kubwa kuliko uwezo wa mtaji niliokuwa nao.
 
Bado nasema na nasisitiza kusema.

Watanzania ni wavivu wa kusoma, ila natoa rai tu kwamba kama mtu kashindwa hata kusoma Vitabu basi aingir training ajionee mwenyewe alivyo mjinga.

Training ilifumbua mengi saana na kwa pamoja tunadownload money, yaani maisha yanawezekana kwa kuwa member wa TMT.

Ontario kama kutangaza nimetangaza saana Forex kwa ndugu na jamaa...

Usikate tamaa tupo pamoja sana[emoji1474][emoji1474]

As i said, i have nothing to offer you other than prayers...

Stay blessed..
 
Salute comrades.
Nianze kwa kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia fursa hii ya FOREX. Kiukweli awali nilidhani ni masihara lakini nilipohudhuria training ya Dar bila kujali nilitokea Shinyanga all the way, na sasa nimeamini forex ni mkombozi kwa watu wengi. Binafsi nimeanza ku-download [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG].

Niwasihi ndugu zangu walioko huko ambako [HASHTAG]#TMT[/HASHTAG] umeamua kuwaletea fursa hii wasiiache ikawapita bure watakuja jilaumu baadae. As I have said hapo juu, mimi nilipanda basi kwa zaidi ya saa 15 kuifuata forex, leo hii mnaletewa mikoani kwenu halafu ukose??? Hapo maisha yakiwa magumu usiilaumu serikali tena, jilaumu mwenyewe.

Let this knowledge get into you and one day you will call ONTARIO and thank him.

CHANGAMKIA FURSA, let's download money [HASHTAG]#ForNoReason[/HASHTAG]
 
I am so proud to be in TMT,because we make money for no reason. Sir Jeff,Cre and Rea wamesacrifice a lot kwa ajili ya kufanya maisha yetu yabadilike,I am so proud that I've met these people,they are not ordinary,they are full loaded with love,caring and commitment ili kuona watanzania wanafanikiwa na kuwa financially free. My fellow Tanzanians don't dare to miss,let us change Tanzania let us change the world.Viva TMT
 
Ahsanteni sana TMT ndoto zangu zinatimia. Kwa mara ya kwanza baada ya kusoma thread ya ontario inayohusu forex na utajiri uliofichwa hasa kwetu watanzania ilitosha kabisa kunifanya nihamasike na kuanza kutafuta maarifa zaidi ya jinsi ya kufanya hii biashara. Kuna watu wengi walupongeza na baadhi wakataka kutuaminisha ya kuwa hii ni kama DESI laki i kwangu mimi ilikuwa fursa adimu sana. Nilianza kutafuta brokers mbalimbali kama Xness, XM, ICM, AAA, Zulu trade na Fxpro. Nilijisajili na brokers wote lakini nika fund akaunti ya fxpro baada ya kufanya demo kwa mwezi mmoja. I funded my account with $ 2,100. Wiki ya kwanza nilipata $ 480 nikaendelea kwa wiki nyingine nikapata zaidi. Baada ya muda kwasababu sikuwa na mentor na kukawa na press conference ya Yellen ambaye ni chairwoman wa FOMC kwasababu nilikuwa na trade kama a naked day trader akaunti yangu ikapukutishwa nikabaki na almost $ 300. Baada ya hapo nikaingiwa woga kidogo nikawa natafuta maarifa zaidi huku na trade kwa kuvizia, baadae nikapata nafasi ya training TMT group 3 thanks to Ontario, Rea and Mr. V himself for guidance my account is now $ 1,169. Hopefully next week i can double the account. The training and guidance are of the highest standards. Binafsi nimejifunza mengi sana na nimejifunza kwanini nilikuwa naunguza akaunti sababu ziko nyingi lakini kubwa kuliko zote ni kuwa mlafi (GREED) na hivyo kuwa na lot size kubwa kuliko uwezo wa mtaji niliokuwa nao.
mnatutamanisha sana wakuu....mimi nina kashamba kangu ka miti NJOMBE namalizia kuvuna nikimaliza najiunga huko kwenye traini nataka nianze na mtaji $15,000....sitaki mchezo kabisa na maisha
 
MUNGU wangu, nawezaje na Mimi kujifunza.
Niondokane na huu umasikini mimi
 
Tunachafua anga TMT ni mkombozi wengi mm mwezi ujao nataka nianze kujenga msingi wa kajumba kangu najua nikiasi gani akaunti inasoma
 
Back
Top Bottom