seph0408
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 1,180
- 703
Wiki hii siyo dar mkuu? Au hapa dar kuna wadau umedelegate?![]()
Arusha: Monday - Friday
Wiki hii siyo dar mkuu? Au hapa dar kuna wadau umedelegate?![]()
Arusha: Monday - Friday
Arusha: Oct 16 - Oct 20
Dar es Salaam: Oct 23 - Oct 27
Mbeya: Oct 30 - Nov 3
Nitaumia sana kama hili liserikali likianza kuleta fitina kwenye forex...
Niyashauri tu haya mazee yenye vipara kama solar panel ya mjerumani na vitambi kama gunia la mchele kama yameshindwa kutoa ajira kwa vijana na kukomboa pangaboi kule canada basi yakae mbali kabisa na forex!!!
Tutakutana Arusha mkuu wangu!!
Hii habari niliisoma nilipokuwa naisoma IML.Mmekataa kuelezea details za upatu wenu niwasaidie.Ila sio mbaya nikiweka walichoongea wengine.Mkiendelea kujichekesha tuu mnaotaka waibia bila kusema risk wenye akili watajua wanacheza nini.Nadhani mnaelewa kiingereza vyema au hata cha kuombea chai au cha kusikilizia EPL.
What a timely Warning from you Mr. E
In my candid opinion, your site has to be praised as one of the benefits of the website.
I just finished a 2day seminar on imarket live in Nigeria. I paid $10, hoping that will be all to achieve a basic understanding of forex, registration inclusive.
I was saddened when we were asked to pay $300 for proper registration and Training.
Then will be expected to be paying about $175 for monthly subscription. Too bad!
Hence, I decided to make some research. Lo, your site was my succour.
My question to you is:
Since they’vebeen proven to be potential scammers in the USA, what has the USA government done about them?
Why are internationally regulated brokers like HOTFOREX and FXTM partnering with imarket live,
Thirdly, what are the technical questions that we ought to inquire from their agents whenever they approaches us?
Thanks in expectancy
Bernard.
Yeah. Nimequi kuendelea ongea na jamaa,naona wapo exited.Halafu wanachukulia km nawapangia hela zao.Hii habari niliisoma nilipokuwa naisoma IML.
Sawa mkuu, mekusoma, tupo pamojaWala sipo hivyo mkuu shumpert
Hivi Mr kwa nn msianzishe platform itakayotoa live online training kwa maana mtu atakuwa na uwezo wa kuona hizo training kipindi ikifanyika sehemu nyingine maana kuna watu walishindwa kuhudhuria kutokana na sababu mbalimbali lkn mngekuwa na mfumo huu watu wengi wangepata access ya training live bila kwenda sehemu husika na ingewafikia wengi![]()
Arusha: Monday - Friday
[emoji23]Umetumwa kuja kufanya utapeli mkuu?
Hapana, Thomaso. Forex si utapeli. Ni kwamba tulikuwa kwenye ujinga na tulipopewa taarifa na maarifa tukaondoa ujinga huo. Sasa kwa kina nyie mliopewa taarifa na kuzigomea na kupuuzia maarifa ndio mnaingia kwenye kundi la wapumbavu.Umetumwa kuja kufanya utapeli mkuu?
Losers wapo ila ni kwa uzembe wao. Hawafuati kanuni za biashara na kuishia kula loss. Ila uzuri ni kuwa huwa wanatambua makosa yao kisha wakaenda tena kufund akaunti zao na kufuata kanuni na taratibuSawa mkuu, I would like to hear from the other end of results too (the losers of the game).