mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,170
- 3,106
Sijawahi kuona watu wanapiga pesa ndefu na kuhamasisha wengine wakapige hizo pesa, hawa wnaopiga pesa kupitia forex yaelekea ni waungwana sana, wanapenda tutoke wote.
Losers wapo ila ni kwa uzembe wao. Hawafuati kanuni za biashara na kuishia kula loss. Ila uzuri ni kuwa huwa wanatambua makosa yao kisha wakaenda tena kufund akaunti zao na kufuata kanuni na taratibu
Ila kwa upande wa pili wametokea watu ambao ni matapeli wakitumia jina la TMT vibaya kwa kutapeli watu kwamba wanakusanya mitaji na kuiwekeza kwenye forex kisha watapata faida. Hao ndio wa kuwaogopa. Na wanatafutwa.
Unajua nini? Watu walikuwa wakila kimya kimya kwa miaka mingi mkuu. Walikula sana! Na kiukweli hawakutaka watu wapate hizi taarifa hapa bongo kwa kuwa wanaona watu wengi wangefaidika. Binafsi nami sikupenda pia kushirikisha watu kile nilichojifunza na nunachopata ila imenibidi.Forex inanivutia sana tatizo capital ya training ya kuanzia ,, lakin pia promo ya hii kitu imezid had inatia shaka maana tumezoea kuona watanzania wakiotea rizik sehem hula kimya kimya but ikitokea wametoa matangazo mengi basi ujue kuna mpango wa kupiga watu.
Yani mnalazimisha watu wapate hela? Si kuleni nyie mnaokula? Matangazo na thread nyiingi forex forex daaah. Wekeni updates hizo kwenye nyuzi yenu moja msituchoshe![]()
Sitakuwa na mameno mengi sana kwani picha inajionyesha yenyewe hapo. Piga mahesabu. Nilianza na usd300 na leo tayari nimeshawithdraw usd1000. Yaani shilingi milioni 2 na ushee. Kazi kwenu wadau kuchukua hatua. TMT is there for u kukupa elimu hii ya forex. Msiseme hatukuwaambia. Hiyo ni akaunti ya live. Yaani ile rasmi na sio demo ya kujifunzia.
NB: forex inahitaji usome sana na ufuatilie matukio ya kiuchumi na kisiasa duniani, hasa kwenye zile nchi ambazo sarafu [currency] zake ndio zina nguvu zaidi ikiwa ni pamoja na USA, Great Britain, Japan, Uswis, Newzealand, Australia, Canada, pamoja na European Union kwa ujumla
Mwanza mbona walikuja wakafanya training ya wiki moja na wameshamaliza? Sasa wako Arusha. Maybe watarudi tena huko. Mi ni mhitimu wa TMT na si sehemu ya waanzilishi wa TMTMwanza mnakuja lini mkuu.hii kitu inanivutia sana kaka.kwani promo imeshakuwa shida kila sehemu forex forex.nataka nijiunge
Hiyo 1000 umepiga baada ya muda gani mkuu?Umetumwa kuja kufanya utapeli mkuu?
Wazo lako la kuchangia jf ni zuri,naamini Fx traders waliotokana na The Mllion Team watalifanyia kazi,mimi pia nikiwepoToa fungu la kumi kwa Maxence Melo.
Kisha mkuu max atatujuza wanajamii kuwa FOREX inalipa.
KINYUME NA HAPO MNATAFUTA WATU WAINGIE MKENGE.
Ingekuwa ni jambo baya wala max asingeruhusu jukwaa hili litumike kwa kutangazia forex. Ni kwa nia njema tu sema itafika muda tutanyamazaToa fungu la kumi kwa Maxence Melo.
Kisha mkuu max atatujuza wanajamii kuwa FOREX inalipa.
KINYUME NA HAPO MNATAFUTA WATU WAINGIE MKENGE.
Tutoe fungu la kumi kwani amekua baba Jehovah si analpwa kwa zile ads kibao.Toa fungu la kumi kwa Maxence Melo.
Kisha mkuu max atatujuza wanajamii kuwa FOREX inalipa.
KINYUME NA HAPO MNATAFUTA WATU WAINGIE MKENGE.
1. BikO
2. Tatu Mzuka
3. Forex
Nadhani mmenielewa
Sawa mkuu, I would like to hear from the other end of results too (the losers of the game).
Sijawahi kuona watu wanapiga pesa ndefu na kuhamasisha wengine wakapige hizo pesa, hawa wnaopiga pesa kupitia forex yaelekea ni waungwana sana, wanapenda tutoke wote.
Mwanza mnakuja lini mkuu.hii kitu inanivutia sana kaka.kwani promo imeshakuwa shida kila sehemu forex forex.nataka nijiunge
1. BikO
2. Tatu Mzuka
3. Forex
Nadhani mmenielewa