Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Kufungua nyuzi nyingi za Forex na matangazo kibaao kuna fanya watu waone Forex ni utapeli gambling ama upatu ONTARIO and CRE this is not right najua nia yenu njema kukomboa vijana kutoka kwenye umasikini na kuwa free financial lazima tutumie proper way kufikisha elimu hii kwa watu nasi kwa utaratibu huu i know ur students make money coz i witnessed and am among your student too. Na ukweli tabia yetu ya uninafsi wivu ndo umetufikisha hapa tulipo sasa watu wakiwaleteeni habari kama hizi tunaona ni wizi na utapeli. Ukweli Hakuna aliyekuwa tayari kushare hiki kitu we were forced, Forex is real narudia Firex is not gambling au upatu take ur time Google read books you will find the truth for your self usipinge kitu kabla hujajua ukweli wa habari husika. Japo Forex is not for everyone u need to be smarter to do this otherwise utaona kama biko tu jion njema.
 
We trade as a team boss. Ukiona jamaa anaonyesha mafanikio kama hivyo ujue na wengine nao wamefaidi unless kama hukufata maelekezo ya mentor. Karibu TMT

I will join in some days, especially after I see your physical successes like what are driving? How is your home? Any other business ventures? What is your bank account reading?

Not these mere words; I have heard a lot from Forever Living people, talking about virtual successes. So I want to first confirm that you are not the same ones.
 
Ni vizuri kufanya research kabla hujaongea!! Mwenye akili timamu hawezi fananisha FOREX na tatu mzuka au Biko, Forex ni bness sio upatu!!

Fanya hivi, nenda google andika "forex market" then tafuta source kwenye wikipedia "the trusted source" kama unaijua lakini maana nawasi wasi na uelewa wako.

Take ur time read and read!!

Then uje hapa useme tena kama forex ni utapeli...

Soma sana kabla hujapinga kitu...
Mkuu vipi kuhusu Hawa BITADVANTAGE
Forex inanivutia sana tatizo capital ya training ya kuanzia ,, lakin pia promo ya hii kitu imezid had inatia shaka maana tumezoea kuona watanzania wakiotea rizik sehem hula kimya kimya but ikitokea wametoa matangazo mengi basi ujue kuna mpango wa kupiga watu.

Losers wapo ila ni kwa uzembe wao. Hawafuati kanuni za biashara na kuishia kula loss. Ila uzuri ni kuwa huwa wanatambua makosa yao kisha wakaenda tena kufund akaunti zao na kufuata kanuni na taratibu

Ila kwa upande wa pili wametokea watu ambao ni matapeli wakitumia jina la TMT vibaya kwa kutapeli watu kwamba wanakusanya mitaji na kuiwekeza kwenye forex kisha watapata faida. Hao ndio wa kuwaogopa. Na wanatafutwa.

It's cool sir, as we always want to see all the sides of coin.

Unajua nini? Watu walikuwa wakila kimya kimya kwa miaka mingi mkuu. Walikula sana! Na kiukweli hawakutaka watu wapate hizi taarifa hapa bongo kwa kuwa wanaona watu wengi wangefaidika. Binafsi nami sikupenda pia kushirikisha watu kile nilichojifunza na nunachopata ila imenibidi.

Ontario ambaye ndiye muasisi wa forex ya uwazi kwa Tanzania aliona itakuwa ni dhambi kuona atafaidi mwenyewe na kuamua kuwaomba wadau fulani toka South Afrika kuja kufundisha forex hapa bongo ili vijana ambao ndio wengi wapate hii elimu na kujikwamua. Sasa wapo watu ambao nawaita washamba ambao hawataki kuelewa.

Pia wapo ambao wanaona ulaji wao umevamiwa hivyo kuleta figisu. We jipange tu utafute hiyo ada yao kwani forex is always there. Hata mwakani, we jipange
 
Hivi Mr kwa nn msianzishe platform itakayotoa live online training kwa maana mtu atakuwa na uwezo wa kuona hizo training kipindi ikifanyika sehemu nyingine maana kuna watu walishindwa kuhudhuria kutokana na sababu mbalimbali lkn mngekuwa na mfumo huu watu wengi wangepata access ya training live bila kwenda sehemu husika na ingewafikia wengi
Mnaweza kuanza na ile huduma ya Facebook
Ww kama muhusika wa TMT ungelifikiria ilo
Wazo zuri mkuu wengne tumeshndwa kupata mafunzo hii online ingetutoa kimaso maso
 
Kufungua nyuzi nyingi za Forex na matangazo kibaao kuna fanya watu waone Forex ni utapeli gambling ama upatu
Naona moyo unakuuma sana kuona watu wanaielezea forex na faida yake!

This is open forum mkuu, kila mtu ana uhuru wa kuandika anachotaka bila kuvunja sheria!!
 
Forex inanivutia sana tatizo capital ya training ya kuanzia ,, lakin pia promo ya hii kitu imezid had inatia shaka maana tumezoea kuona watanzania wakiotea rizik sehem hula kimya kimya but ikitokea wametoa matangazo mengi basi ujue kuna mpango wa kupiga watu.
Hii inaashiria roho yako ilivyo...

Na kama wewe ungekua ontario wala usingehangaika kuwajulisha wenzako
 
Forex inanivutia sana tatizo capital ya training ya kuanzia ,, lakin pia promo ya hii kitu imezid had inatia shaka maana tumezoea kuona watanzania wakiotea rizik sehem hula kimya kimya but ikitokea wametoa matangazo mengi basi ujue kuna mpango wa kupiga watu.


Hayo ni mawazo yako mgando fursa ya Forex haiko kama unavyotaka wewe yaani kuficha ficha the money is there for everyone mwenye juhudi na uvumilivu wa kujifunza na kufanya Forex.

Kijana badirika ukifikiri kuwa Forex inapewa promo ili watu wapigwe unachelewa sana. Ontario hana moyo wa kinyongo kama walionao watu wengine yeye angeendelea kupiga fedha akiwa ndani ya sebule yake lakini hivi inaleta maana kuwa na fedha wewe pekee yako wakati jamii inayokuzunguka ni maskini?
 
Ingekuwa ni jambo baya wala max asingeruhusu jukwaa hili litumike kwa kutangazia forex. Ni kwa nia njema tu sema itafika muda tutanyamaza
Mumpe jamani japo dola mia tano au mia sita mpaka buku kwa wiki.
 
Wazo lako la kuchangia jf ni zuri,naamini Fx traders waliotokana na The Mllion Team watalifanyia kazi,mimi pia nikiwepo

I will join you max akishuhudia kupokea gawio kutoka forex team.
Liwe gawio nono msimuige kaini.
 
I will join in some days, especially after I see your physical successes like what are driving? How is your home? Any other business ventures? What is your bank account reading?

Not these mere words; I have heard a lot from Forever Living people, talking about virtual successes. So I want to first confirm that you are not the same ones.

Mkuu mafanikio kwako wewe ni gari, nyumba and other material ownership tuu?
 
Mkuu mafanikio kwako wewe ni gari, nyumba and other material ownership tuu?

We are talking about money business, you invest money to get money, right?

So, business performance will be measured basing on things that money buy, or else other investments that came from diversified profit.

If I may ask, how else do you want me to judge your Forex business if it's not on money terms.
 
Hii inaashiria roho yako ilivyo...

Na kama wewe ungekua ontario wala usingehangaika kuwajulisha wenzako
I talk from my experience brother,, someni mnielewe tafadhar,, sijapinga promo yake Bali nimehusianisha na mambo yaliyowah tokea nchini. Nimeshakiri kuikubali forex lakin kukiri huko hakunizuii kuweka waz hofu kidogo niliyonayo.
 
Salute bosses
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt [emoji14].

Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.

Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.
9ba62836e6ea18a2b9240fc1fa3f402c.jpg

be8fcc085ee2056e2a7131ac6d5ac01d.jpg


Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi
446cc8b9111e99909242b4d1d9b41a9b.jpg


Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.
b0986386c42a525f79b799ef03896a7d.jpg


Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000
dcab4699b38d8d593ec1da3cda0dc1f3.jpg


Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.

The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.

Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.

I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.

Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.

Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.

Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.

Utaratibu wa kujiunga:

Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!

=========================================

The GT Salute to all hustlers.
Wenzetu wa DAR tayari wameshaanza kufaidi matunda ya hii biashara ya FOREX kwa hisani ya ONTARIO ,hakuna namna nyingine ya kupata hiyo elimu mapema zaidi ya sisi wana IRINGA kujiorganise wenyewe ili tufikishe idadi nzuri ya kumshawishi ONTARIO kuja kushusha upako wake wa kibiashara.
Uzi huu umeanzishwa maalumu kwa ajili ya wana IRINGA wote tukutane hapa na tuyajenge pamoja na tuweke utaratibu ili ONTARIO atue IRINGA.
Nataraji ushirikiano toka kwenu.
Nipo makinikia zaidi ya umakini wenyewe.naomba×100 mkifika Songwe au Mbeya tustuane wakuu naomba
 
Nipo makinikia zaidi ya umakini wenyewe.naomba×100 mkifika Songwe au Mbeya tustuane wakuu naomba

Kuna group ya Whatsapp ya TMT Southern Highlands Forex vipi ushajiunga? Maana leo ndiyo wamepewa utaratibu wa kulipia check link ujiunge na Training ni Oct 30 mpaka Nov 3 karibu sana
 
Wakuu salaam sana,

Wiki jana TMT ilikuwa Mwanza na siyo watu wote walipata fursa ya kuhudhuria.

Naamini wanaBukoba, Karagwe, Muleba na Misenyi ni watu wenye mwamko mkubwa katika maswala ya kielimu. Na hii fursa ya kielimu na kifedha si ya kukosa na haiwezi kutupita wana Bukoba.

Hatujawahi kushindwa na kitu konachohusu elimu. Inawezekana. Sirjeff mwenyewe kasoma Ihungo. Tuwalete Cre na Sirjeff Bukoba waje watoe somo lakini pia tuwalishe eshakara za Bukoba na sato.

Tutumie uzi huu kuji-organize wadau. Twaweza pia kuunda kundi la Watsap at least by the end of November TMT iwe Bukoba.
Ahaha eshakara na masuala ya kusheshaa pia
 
Kuna group ya Whatsapp ya TMT Southern Highlands Forex vipi ushajiunga? Maana leo ndiyo wamepewa utaratibu wa kulipia check link ujiunge na Training ni Oct 30 mpaka Nov 3 karibu sana
Mkifika lushoto Tanga tujulishane
Nipo makinikia zaidi ya umakini wenyewe.naomba×100 mkifika Songwe au Mbeya tustuane wakuu naomba


Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom