aroon dismon
Member
- Sep 20, 2024
- 28
- 66
Naomba mawasiliano kakaKiwanda cha rasta mbagala , kiwanda cha bakheresa kazi ni nnje nnje , ukitaka kibarua cha kupalilia na kazi za mashambani cha 8000 kwa kutwa nitafute
Nicheki inbox nikuunganishe fastaNaomba mawasiliano kaka
Kaka Mimi nipe iyo ya mashambani itanifaa sana kaka.Kiwanda cha rasta mbagala , kiwanda cha bakheresa kazi ni nnje nnje , ukitaka kibarua cha kupalilia na kazi za mashambani cha 8000 kwa kutwa nitafute
Hahaha acha zako daktariKaka Mimi nipe iyo ya mashambani itanifaa sana kaka.
Cha Rasta Mbagala @8000 kula juu yangu ? Kuhusu nauli piaa... Mpaka nifike let's say gongolamboto mpaka mbagala nauli go & return 4000 kwaio naifuata 8000
N.b Wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika
Forex ni kuchanganyikiwa ndugu yangu mawazoForex Ndio Jaman...
Embana Eeeh Kumbe NI Hatari IoForex ni kuchanganyikiwa ndugu yangu mawazo
Unakaa sebuleni , na unaangalia grafu zikishuka na kupanda halafu unachukua pesa huku unapulizwa na kiyoyozi bwasheeEmbana Eeeh Kumbe NI Hatari Io
KAZI Ngumu Io ...Kama Graph Nilizishindwa Darasan Napigwa Ya Uso SioUnakaa sebuleni , na unaangalia grafu zikishuka na kupanda halafu unachukua pesa huku unapulizwa na kiyoyozi bwashee
Wanadai kuna stop lose na lot size unajipimia tu kupigwa kwako au kupiga bwasheeKAZI Ngumu Io ...Kama Graph Nilizishindwa Darasan Napigwa Ya Uso Sio
Kwa sasa nmeachana nayo kabisa , nifocus na maisha mengine, nlikua vizuri ila sahib ad najihirumiaNaona nyuzi kibao humu kuhusu Forex na umasikin, hii ni zaidi ya kamali.
Mleta mada umechukua hatua gani kuachana kabisa na Forex?
Mate so Bila Huruma Io Kitu ...Ndio Wanasema UwekezajiWanadai kuna stop lose na lot size unajipimia tu kupigwa kwako au kupiga bwashee
Ku-download mafedhaaaForex Ndio Nn...
Ku Download Rahisi Tyu Ila Io Forex Sio Ku Download Ni Mambo Ya Graph 📉Ku-download mafedhaaa
Unawekezwa na kuwekeza , inakata makali kuwiliMate so Bila Huruma Io Kitu ...Ndio Wanasema Uwekezaji
Me Angu Macho Sijui Kwa Kweli Heri Nifuge Kuku TuUnawekezwa na kuwekeza , inakata makali kuwili