Tatizo co bei..........suala ni quality ya products zao. kuhusu kuwa walipa kodi wakubwa ni ukwel kabisa,kuna mwaka walilipa kodi zaid ya bakhressa ktk mkoa wa Temeke, kwa sasa wanahamia kinondoni i think ndo watakua wanaongoza kwa ulipaj wa kodi ktk mkoa huo. Na kila mwaka wapo katika top 100 makampuni yanayokuwa kwa kas nchini
Wanaosema ni Pyramid shceme nafikir hawajui pyramid scheme ni nn (waingie google wajue tofaut ya pyramid scheme na Network marketing) Kifupi pyramid scheme huwez kumpita aliekuingiza kweny biashara but network marketing inawezekana kabisa na c kitu cha ajabu (mimi ni mfano halisi na wengine wengi tu), FLP wanafanya Network marketing (biashara ya mtandao), ingekua ni pyramid scheme ingeshafungiwa cku nying kama ilivofungiwa Tellex free, FLP ipo TZ mwaka wa 8 sasa, imesajiliwa, serikal washapata zaid ya 9.5 billion kama kodi katika kipind hiko.
Tukija upande wa distributors wake, vijana wanapiga hela za kutosha, anaeongoza kiujumla mpaka mwaka jana ametengeneza 2.8 billion(kwa miaka 8), anaitwa Alphonce Chillato weng wanamjua,lakn miaka miwil iliopita wapo ambao wanamzid pesa kwa maana ya mapato ya mwaka mzima, wapo akina Mr & Mrs Enos Salema (huyu mwaka jana katengeneza over 500m), Mr & Mrs Mgoyo (zaid ya 300m), Chilato mwenyew (over 300m), Mr & Mrs Khushe (over 200 m), Blandina Njau (over 150m) wapo weng sana wanao-range (50-200m). Huyo Enos ni mtu wa tano chin ya chillato lakin mwaka jana katengeneza pesa zaid ya watu wake wote wanne walioko juu yake (afu mnaita pyramid scheme(usililijua ni kama ucku wa giza)) Hao nilowataja hapo juu ni wachache wanaoangaliwa kama leaders hapa TZ. Na ukisikia mta anatengeneza 25m kwa mwez jua kuwa chin yake wapo wengi pia wanatengeneza mpk 5-20m, lakin wakikaza buti wana uwezo uwezo wa kumpita na ndio maana ya ile (6%,3% na 2%) ili kuleta fairness (ulipwe kulingana na efforts zako)
Na ishu co kuuza products, ishu ni network yako ina consume kiac gan kila mwez ndo bonus yako inakua-calculated (6% first generation, 3% second generation na 2% third generation), its the business of sharing information, kuuza product au kupata mtu wa kujiunga chini yako ni results of the core activity (sharing information), na 95% of the business ni kutengeneza timu, only 5% ndo utafanya retailing (kwa watu wako wachache ambao watapenda kuwa watumiaj na co distributors), wanakupa hela unawachukulia products cause hawakuuzii direct kama co member
Network marketing ndo mtindo wa kisasa wa kusambaza bidhaa (soma the Business of 21st century by Robert Kiyosaki and other many more books), huu mtindo unayapunguzia makampun gharama kubwa sana (matangazo, distribution chain (agent, whole seller, retailer, etc)), hiz gharama zote ndo zinakuja kwa distributors kama bonus ndo maana mnashngaa pesa zote znatoka wap, lakin pia mtindo huu unaipeleka biashara ya kampun husika haraka sana, FLP mpaka sasa ipo kweny nchi 158 ila mweny kampun hajawah tembelea hata nchi nusu ya hzo lakin bidhaa zmefika. Na kama distributor unaruhusiwa kuwa na network ndan ya hiz nchi (what the opportunity!!!)
Ni suala la uelewa tu ndugu zangu, ingien google mjaribu kuielewa hii business vzr.............hao mnaowaona mtaan hawafany business professionally na ndio maana maisha yao hayajabadilika,lakin ni biashara ambayo ukifuata misingi na taratibu zake utatengeneza pesa za kutosha na hata ndoto zilizokuwa zmekufa zitafufuka, Enos ninaemzungumzia hapa hana miaka zaid ya 32, yupo kweny business mwaka wa 7, ana-drive brand new (0 km) Land Rover Discovery 4, kwasasa anatafuta kiwanja town aanze project yake ya ghorofa, anaish maisha ambayo weng mtakufa bila hata kuyaish (kama hamtakubal kubadilisha mitazamo na kutafuta potential zenu na kuacha siasa). Na ameweza yote hayo kwa biashara hiihii ambayo weng mnaidharau (sababu hamjui how does it operate na hamtak kujua cause mnafikir mnajua). Na wapo wengi tu wanaotengeneza around 5 - 25m per month, nmemtolea mfano Enos cause ni kijana mwenzetu na ni wa umri wa members wengi wa JF. (sijui ww una umri gan, una miliki nn na unatengeneza kias gan kwa mwez au mwaka)
Wakati ninyi mnaona products (dawa za meno, perfume, lotion, etc etc)............wengine wanaona utajir na maisha mazur, forever hiihii wapo members wake wanaisha oysterbay, masaki, upanga, na maeneo mengi ambayo kwa wengine ni ndoto, wengine washanunua apartments maeneo hayo (sijui nyie mnaopinga mnaish wap na kwa mwez mnatengeneza shiling ngap). Kwahyo jaribun kuwa wachunguz na muache tabia ya kuwasikiliza walioishindwa hii biashara............nawashaur watafuten hao niliowataja hapo juu muwaulize wawape in and out of this business, ni watu wanaotengeneza pesa nying lakin wana utu sana cause forever is the business of 'Love', mjaribu kupata ushaur kwa waliofanikiwa co walioshindwa. Naelewa wapo walioshindwa na wataendelea kushindwa, hii inatokana na wao kushindwa kufuata taratibu na mafunzo, mbona shulen wanafel kila cku lakn hatuachi kusoma???
Nimalize kwa kusema hivi.................chochote unachotaka kufanya wapo watakao kushauri (nn cha kufanya, usifanye, etc etc), lakin ujue baada ya muda utafanana na huyo aliekushaur. By the time nyie mnaiponda huku wenzenu wanaendelea kupiga pesa na kuzid kutanua network zao.............kipato unachotengeneza kwa mwaka kwa wengine ni cha nusu mwez, by the way ni maisha yenu its non of their business, but network marketing is now the beautifully business on earth (Bill Gates mwenyew alisema kama angepewa nafas ya kuanza upya angefungua kampun ya inayofanya biashara kwa mtindo wa Network marketing)
Don't take financial advice from broke people.........................
If you think its too good to be true..............THEY ARE PAID,
If you think its a scam................THEY ARE PAID,
If you don't join them...............THEY ARE PAID,
If you join them....................YOU WILL ALL GET PAID.
Kwa sasa niishie hapo, for more information you can ask or comment.
Or check me 0715782872 (call,watsup or sms)
email:
samson.ndosi@gmail.com