Umetaja wachache waliopata mamilioni.Ingekuwa vema ukaeleza: Jee kuwafikisha hao wachache kwenye mamilioni ni watu laki ngapi wanamaliza viatu barabarani bila mafanikio na kuishia kukata tamaa? Pili -je wee umepata mamilioni mangapi mwaka ulioisha, au ni moja wa wasindinkizaji?
Hawa wapuuzi wameshavunja ndoa nyingi sana za watu.., mimi naongea kwa hasira na uchungu kwa sababu walitaka kunikosanisha na my girlfriend wa miaka mingi sana na ninae mpenda kisa huu usengerema wao.., mbwa kabisa hawa..!!
Mkuu Francs the DON kwanza nkushukuru kwa kuniita mbwa, it shows how mean u r, ckutukan coz co kaz yang na nkikutukana ntaonekana mpuuz zaid yako
Sasa kwa maelezo yako hapa chini sijui unataka nkufafanulie kip coz maelezo yenyew yanajitosheleza kama kiingereza unakielewa vzur, kwa kukusaidia labda nikupe majina tofaut ya hii business yanayotumika dunian kote (MLM wakimaanisha Multi level marketing, Intellectual Distribution, Direct selling, Network Marketing, etc ),
No genuine product or service. MLM programs involve selling a genuine product or service to people who are not in the program. Exercise caution if there is no underlying product or service being sold to others, or if what is being sold is speculative or appears inappropriately priced.
Promises of high returns in a short time period. Be leery of pitches for exponential returns and "get rich quick" claims. High returns and fast cash in an MLM program may suggest that commissions are being paid out of money from new recruits rather than revenue generated by product sales.
Easy money or passive income. Be wary if you are offered compensation in exchange for little work such as making payments,recruiting others, and placing advertisements.
No demonstrated revenue from retail sales. Ask to see documents, such as financial statements audited by a certified public accountant (CPA), showing that the MLM company generates revenue from selling its products or services to people outside the program.
Buy-in required. The goal of an MLM program is to sell products. Be careful if you are required to pay a buy-in to participate in the program, even if the buy-in is a nominal one-time or recurring fee (e.g., $10 or $10/month).
Complex commission structure. Be concerned unless commissions are based on products or services that you or your recruits sell to people outside the program. If you do not understand how you will be compensated, be cautious.
Emphasis on recruiting. If a program primarily focuses on recruiting others to join the program for a fee, it is likely a pyramid scheme. Be skeptical if you will receive more compensation for recruiting others than for product sales.
sasa uliyoyaonyesha hapo juu FLP yote inayo na yako waz kabisa, nianze na mojamoja
Product zipo, Unalipwa bonus kulingana na efforts zako(ndo maana mnashangaa inakuaje wapo wanapata pesa nying na wengine kdg (tatizo co umejiunga lini, suala ni activities na how many people umeweza kuwafikia at that particular time))
tukija upande wa revenue nenda TRA upate details kila kitu kipo waz na serikal ina appreciate inachofanya FLP
FLP hakuna joining fee (kinachofanyika ni unajaza form free then unapata products kulingana na amount uliyotoka,kama ni 750,000 bas unachagua products za bei hyo), pyramid scheme unalipia form, flp form ni free, wapo ambao wanajaza form na hawarud lakin hawadaiwi chochote
Na commission (ambazo kwetu ndo bonus) zinalingana na volume ya business yako at that particular month (mm mwenyew ni shahid ktk hilo kuna miez wakat bado ni mgen na cjaielewa business vzr nlikua sipat chochote (coz ckuwa na activity yoyote, kwa maana ya kuwa cjafanya any personal purchase na pia dowliners wang hawajafanya any purchase)
Suala la easy money wala msijidanganye, FLP kupata hela co rahis kama mnavodanganywa na baadh ya wanaotaka mjiunge, you must work hard my friends, lakin hela yake it is worth it cause u r paid according to your efforts (tofaut na kazin ambapo wapo ambao wao ni kuugua tu, kufiwa na visingizio vingine kibao lakin mishahara ipo palepale na wengine wanalipwa zaid hata ya wanaofanya kaz halis zaid)
Ishu ya hight returns in short period of time labda niitolee ufafanuz (hapo itategemea na speed yako ya kutengeneza na kutanua team yako), wapo ambao wapo toka 2007 lakn vpato ni vya kawaida sana, lakin wapo walio-join last year na wengine this year lakn wanatengeneza hela nying, KWANINI HIVO???.....No tunarud kweny ileile point ta msingi, inategemea activities zako na efforts zako (Network marketing unalipwa kulingana na efforts zako co kulingana na muda uliokaa kweny business (maofisin ni tofaut na ndio mawazo yaliowajaa vichwan))
Kuna aliesema kwann nmetaja wachache, wapo weng sana wanaofanya vzr kweny hii business.........hao ni kama leaders ambao wanapata mpk mialiko nchi zingine kwenda kutoa elimu hii.
Turud kwa upande wang, nna miez 6 kweny business...............am making more than what am making in my full time job (kuna ambao nimewakuta na nnafanya vzur zaid yao), najipanga baada ya muda napiga kaz chin niingie full time, the future is so bright for me cause bado naendelea kujifunza (because its the business of LEARNING, PRACTICE AND TEACH), nilikuwa kama wengi wenu hapa (kubisha bila facts), lakin kadir hii opportunity ilivokuwa inanifikia kupitia watu tofaut nkaona hapana ngoja nijaribu kuiangalia kwa jicho la tatu (kwa maana ya kuichimba na kuielewa kwa undan na kujua how does it operate), kiukwel nkaja kugundua kuwa nlikuwa nabisha tu.
Kuna maneno mazur sana kweny hyo post yako hapo (Pyramid schemes cannot be sustained and always collapse eventually.), FLP ipo TZ mwaka wa 6, na dunian mwaka wa 36
Kuna ambao mnasubir FLP ifungiwe, endeleen kusubir tu (lakin ni kama mnasubir boat airport)...........huu ni mwaka wa 6 toka isajiliwe serikalin (hamshangai kwann Tellex free imekuja last year na ishafungiwa)
Ila endeleen na mawazo mgando yenu.................ili baadae heshima iendelee kuwepo (tutawaajir watoto wenu kama co nyie wenyew coz vijana wana malengo makubwa sana ya ku-invest hapa nchini)
Wakat mnaendelea kuhama kaz moja kwenda nyingine (Carrier Prostitution)..............huku vijana wanaendelea kutanua network zao. Wanaamka mda wanaotaka, hawaombi ruhusa kwenda likizo (mtoto wang akitaka kwenda kucheza kwa jiran anaomba ruhusa, wengine hapa ni watu wazima na ndevu zenu mkitaka likizo, mkipata misiba mnaomba ruhusa na mkinyimwa hamuend (bas mvalishwe pampas tu tujue ni watoto))
Note: Network marketing au MLM ndo njia ya kisasa ya kusambaza bidhaa (wenzetu ulaya wanafundisha nyuon kabisa), sasa badala ya kuji-position na kuanza ku-benefit from it nyie mnakaa kuropoka bila mipangilio na facts, ukwel ni kwamba mlikosa watu sahihi wa wakuwaongoza.
Kwa kuwasidia niwape link muone ukubwa wa hii business world wide (kwa makampuni yote yanayofanya network marketing), ni pia muone list ya top earners in this industry worldwide
Note: siongei yote haya ili mjiunge but najaribu kuweka waz mjue what is real going on...............kwa mnayodanganyana huko mitaan kampun ingeshafungiwa cku nying sana.
Never interrupt someone doing what you said couldn't be done.........
Yaani nyie watu sijui mnasomeaga physchology kwenye chuo gani hakyanani..! sasa kututajia hao watu walio huko kileleni kwenye hilo li-pyramid lenu ina-jibu vipi hoja kwamba FLP ni pyramid scheme..??!, kututajia pesa nyingi wanazoingiza hao watu walio juu kwenye hiyo pyramid scheme zinazotokana na pesa nyingi wanazotoa loosers wengi walio chini kwenye hiyo pyramid scheme ina-jibu vipi hoja kwamba nyinyi ni pyramid scheme..??!, kila ulichotaja hapo ni characteristic kabisa na pyramid schemes a.k.a DECI.., yaani mnachofanya nyinyi ni sawa na mtu uokote mawe mazuri kutoka baharini halafu ufanye kazi ya kumwaminisha mtu kwamba haya mawe yana-uwezo wa kutibu Ukimwi alafu ukayauza (kwa shida sana) kila jiwe 2million.., then huyo unaemuuzia na yeye akipata wajinga wenzake wa kuwaunganisha kwenye pyramid basi mnagawana gawio lake.., mimi naomba nikuite MBWA..!!!!!!!!!!
S
Investor Alerts and Bulletins
Beware of Pyramid Schemes Posing as Multi-Level Marketing Programs
Oct. 1, 2013
The SEC's Office of Investor Education and Advocacy is issuing this Investor Alert to warn individual investors about pyramid schemes, a type of investment scam that fraudsters often pitch as a legitimate business opportunity in the form of multi-level marketing programs.
Have you ever been tempted by an advertisement or offer to make "easy money" or "online income" out of your own home? Multi-level marketing ("MLM") programs are promoted through Internet advertising, company websites, social media, presentations, group meetings, conference calls, and brochures. In an MLM program, you typically get paid for products or services that you and the distributors in your "downline" (i.e., participants you recruit and their recruits) sell to others. However, some MLM programs are actually pyramid schemes -- a type of fraud in which participants profit almost exclusively through recruiting other people to participate in the program.
Pyramid schemes masquerading as MLM programs often violate the federal securities laws, such as laws prohibiting fraud and requiring the registration of securities offerings and broker-dealers. In a pyramid scheme, money from new participants is used to pay recruiting commissions (that may take any form, including the form of securities) to earlier participants just like how, in classic Ponzi schemes, money from new investors is used to pay fake "profits" to earlier investors. Recently, the SEC has sued the alleged operators of large-scale pyramid schemes for violating the federal securities laws through the guise of MLM programs.
When considering joining an MLM program, beware of these hallmarks of a pyramid scheme:
No genuine product or service. MLM programs involve selling a genuine product or service to people who are not in the program. Exercise caution if there is no underlying product or service being sold to others, or if what is being sold is speculative or appears inappropriately priced.
Promises of high returns in a short time period. Be leery of pitches for exponential returns and "get rich quick" claims. High returns and fast cash in an MLM program may suggest that commissions are being paid out of money from new recruits rather than revenue generated by product sales.
Easy money or passive income. Be wary if you are offered compensation in exchange for little work such as making payments, recruiting others, and placing advertisements.
No demonstrated revenue from retail sales. Ask to see documents, such as financial statements audited by a certified public accountant (CPA), showing that the MLM company generates revenue from selling its products or services to people outside the program.
Buy-in required. The goal of an MLM program is to sell products. Be careful if you are required to pay a buy-in to participate in the program, even if the buy-in is a nominal one-time or recurring fee (e.g., $10 or $10/month).
Complex commission structure. Be concerned unless commissions are based on products or services that you or your recruits sell to people outside the program. If you do not understand how you will be compensated, be cautious.
Emphasis on recruiting. If a program primarily focuses on recruiting others to join the program for a fee, it is likely a pyramid scheme. Be skeptical if you will receive more compensation for recruiting others than for product sales.
The SEC has taken emergency enforcement action to stop alleged pyramid schemes that violate the federal securities laws, including schemes disguised as MLM programs.
For example, in a recently filed litigation, SEC v. CKB168, the SEC filed charges to stop an alleged pyramid scheme perpetrated under the façade of an MLM program for online children's courses. The promoters of the scheme allegedly solicited investors worldwide, including targeting members of Asian-American communities in New York and California. The SEC alleges that these promoters misrepresented CKB as a legitimate and profitable MLM company that sells web-based children's educational courses when, in fact, CKB has little or no retail consumer sales and no apparent source of revenue other than money received from new investors.
In an adjudicated settled action, SEC v. Rex Venture Group, the SEC shut down a $600 million fraud that duped approximately one million Internet customers through a complex investment scam involving a Ponzi scheme promoted as a daily profit-share pool and a pyramid scheme pitched as an MLM program for Zeekrewards.com, the self-described affiliate advertising division for zeekler.com, a penny auction website. The SEC alleged that, for the pyramid scheme component of the scam, the defendants promised bonuses and commissions to customers for enrolling in a monthly subscription plan and recruiting others to join the plan. However, according to the SEC's complaint, new customers' funds were pooled and used to pay recruiting bonuses to existing customers because there was no substantial legitimate revenue from product sales.
Pyramid schemes cannot be sustained and always collapse eventually. Protect yourself and your money by steering clear of any "opportunity" bearing warning signs of a pyramid scheme.
Additional Resources
To report a possible securities fraud, ask a question, or report a problem concerning your investments, your investment account, or a financial professional, please visit Questions and Complaints.
To receive the latest Investor Alerts and Bulletins from the SEC's Office of Investor Education and Advocacy, sign up for our RSS feed at sec.gov/rss/investor/alertsandbulletins.xml or for email at sec.gov/news/press/subscribe_updates.htm. You can also follow us on Twitter @SEC_Investor_Ed, or visit Investor.gov, the SEC's website dedicated to individual investors.
Network marketing is a type of business opportunity that is very popular with people looking for part-time, flexible businesses. Some of the best-known companies in America, including Avon, Mary Kay Cosmetics and Tupperware, fall under the network marketing umbrella.
Network marketing programs feature a low upfront investment--usually only a few hundred dollars for the purchase of a product sample kit--and the opportunity to sell a product line directly to friend, family and other personal contacts. Most network marketing programs also ask participants to recruit other sales representatives. The recruits constitute a rep's "downline," and their sales generate income for those above them in the program.
Things can get sticky when a network marketing network compensates participants primarily for recruiting others rather than for selling the company's products or services. A network marketing system in which most of the revenue comes from recruitment may be considered an illegal pyramid scheme.
Since network marketing programs are usually exempt from business opportunity regulation and aren't defined as franchises under state and federal franchise laws, you'll need to do your own investigation before investing any money.
Mkuu ndo maana nkasema, siongei haya ili ujiunge lakin naongea haya ili watu wajue ukwel about FLP................guys in the next 5 - 10 years kuna ambao watakua wanatengeneza kat ya 50 - 100m kwa mwezi ndan ya FLP, sijui mtajificha wap, afu kibaya zaid nyie bado maisha yatakua ni yaleyale ya kutembeza CV.
Haya ndio maajabu ya 8 ya dunia aliyoyaongelea Mwanafalsafa Albert Eistein (the power of duplication au compounding effect)
Hapa kuna concept inaitwa (LEVERAGE) wanayoitumia akina Mengi, Bakhressa na matajir wengine (kutumia nguvu na muda wa watu wengine), Bakressa kaajir watu kama 1000 kila mmoja akifanya kaz masaa 8 ina maana Bakressa kwa siku anafanya kaz masaa 8000 na ndio maana unaona anaendelea kutajirika. Yeye anawalipa mishahara ambayo co proportional na productivity zao.
Sasa turud kweny Network marketing example FLP in particular (kwa mfano ukiwa na watu 100 chin yako ina maana wao wanachangia asilimia flan kweny volume ya business yako, kwahiyo unapata income from all 100 people ambao hata ukiwa umelala wao wanafanya kaz, sasa ndo wakaeka zile % ambazo ni 6, 3 na 2 ili kuleta fairness ya kila member kulipwa kulingana na efforts zake)
Kweny kaz za kawaida unapata income from 100% of your own efforts ndo maana ukiumwa na ukashindwa kuendelea na kaz bas na mshahara hauendelei sababu ww ndo mhusika mkuu (100%) wa ile nafasi, lakin in network marketing kama una network ya watu mia kweny team yako hata ukiumwa bado income itakuja cause bado una watu 99 chin yako (na hamuwez umwa wote kwa pamoja).
Halafu kuna kitu kikubwa sana ckukielezea..............hii business ukifa anarith mwanao pale uliachia, sasa kuna ambao (wengi tu)leo wanatengeneza around 15 - 30m kwa mwezi, umri miaka chin ya 35, u can imagine mpk wanafika 60 years watakua wanatengeneza how much na wanao watarith business ya ukubwa gan coz wanapiga kaz utafikir wameanza business leo.
Guys iangalien hii biashara kwa picha kubwa...................mm nashangaa sana wanaoipinga (tena bila facts), halafu ndio haohao maisha yanawapiga chin kila iitwapo leo.
Kama bado hamuamin ingien google mtapata every details about this business....................achen siasa na muwe busy na maisha yenu, katiba mpya wala upinzan wakiingia madarakan hawataleta ugali mezan kwenu, hawataleta ada za watoto wenu na mengine mengi mnayotarajia.
Wakubadilika ni ww..................For things to change you have to change dear brothers!!!
Mkuu Francs the DON kwanza nkushukuru kwa kuniita mbwa, it shows how mean u r, ckutukan coz co kaz yang na nkikutukana ntaonekana mpuuz zaid yako
Sasa kwa maelezo yako hapa chini sijui unataka nkufafanulie kip coz maelezo yenyew yanajitosheleza kama kiingereza unakielewa vzur, kwa kukusaidia.........BLAH BLAH BLAH BLAH.........!
1.) Kwanza ya yote kabisa naomba nikushushe daraja kutoka kuwa mbwa (coz nilikupendelea) mpaka kufikia daraja la kuwa fisi mzee.
2.) Pili naomba utueleze hicho chuo kinachofundisha courses in 'brain washing' kiko wapi naamini watu kama akina Lusekelo.., Gwajima, Al-shabaab, Al-qaeda na wengineo wangependa sana kupeleka vijana wao kwenda kupata huo ujuzi.
SASA TURUDI KWENYE HILI PYRAMID SCHEME TUNALOLIJADILI.
Nasikitika kusema kwamba hakuna hata point moja kati ya hizo ambazo nimeziwekea red ambazo umezijibu na nitachambua point moja hadi nyingine na nitaonyesha ni kwa namna gani bado zinastand concretely.., vuta seat yako vizur.., vaa miwani na anza kunisikiliza kwa makini sasa.
A.) appears inappropriately priced.
-Hii inamaanisha kwamba bidhaa zinazouzwa zinaonekana kama zina bei kubwa za ajabu ajabu kutoka kuzimu (Astronomical prices). Hili liko dhahiri kabisa..!!!, hakuna mtu asiyeweza ku-notice kwamba dawa ya mswaki kuuzwa shilling laki moja ni kitu /jambo la kuzimu kabisa..!! Mimi ningeomba sana utuwekee mchanganuo ni kwa namna gani dawa for instance ya kupunguza unene (ambayo hata hivyo haifanyi kazi) inaweza ika-kucost shilling laki tatu kwenye uzalishaji huku tukifahamu kwamba hakuna kitu chochote humo cha ajabu zaidi ya food supplements za kawaida tu chiefly aloevera..??! Kwa point hii basi tunasema FLP ni PYRAMID SCHEME.
B.) commissions are being paid out of money from new recruits rather than revenue generated by product sales.
-Hili nalo liko wazi MNO!! Umetuambia wewe mwenyewe katika lile bandiko lako la mwanzo kwamba kunamtu anaitwa nani sijui ameingiza Billlion ngapi sijui.., sasa hii inamaana huyu mtu alitakiwa awe ameuza yeye mwenyewe tena kwa style ya umachinga ya kubeba dawa za mswaki kwenye begi la mgongoni dawa zenye value ya ateleast 500bn ili ukikata % commission yake ndio apate hayo mabillion.., GRACIOUS LORD...!!!! Hivi unafahamu kwamba zipo bandari hapa duniani ambazo total trading ya mwaka haifikii hata billion tano tu.., alafu mtu afanye umachinga wa hayo mabillion..!! HII INAMAANISHA KWAMBA huyu mtu yuko juu sana kwenye hii pyramid hivyo kuna mazombie mengi sana huku chini kwenye pyramid yanayofanya kazi ya ku-recruit mazombie mapya kabisa yenye ari na nguvu sana ya kutoa shillingi 750,000/= ili kwenda kulisha hao mafarao wa pyramid walio huko juu (Nawasikitikia sana hao misukule). Sasa ili kuficha picha halisi wanajidai kwamba hiyo 750,000/= ni kwa ajili ya dawa (in reality hazicost more than 50,000/=) na hapo serikali inashindwa kabisa kuwafungia na inabidi iendelee tu kula kodi. Basi kwa point hii tunaona kabisa kwamba FLP ni PYRAMID SCHEME!!
C.) offered compensation in exchange for little work such as making payments,recruiting others, and placing advertisements.
- Tukiendelea sasa kuangalia hizo point zilizo kwenye red. Hapa tunachoambiwa ni kwamba kwenye pyramid scheme huwezi kutajirika kwa kuuza zile useless rubbish (Dawa za aloevera) unazonunua kwa pesa yako mwenyewe bali utatajirika kwa wewe na downliners wako ku-recruit misukule (mazombie a.k.a loosers) wengi iwezekanavyo. Ni dhahiri kabisa huyo Pharao alieingiza mabillion huko juu kwenye hilo pyramid hakuuza dawa za mswaki kwenye begi la mgongoni na kuzunguka nalo kwa majirani zake..., LA HASHA! Bali alifanya kazi kubwa sana ya kuwashawishi rafiki zake na marafiki wa ma-downliners wake kujiunga kwa kutoa shillingi 750,000/= ambazo sasa ndio zimetumika kumlipa yeye na ma-downliners wake huku hao misukule wakiachiwa hizo useless rubbish zikioza chini ya vitanda vyao (Imebainika 90% ya hizi dawa huishia kwenye makabati ya members walionunua)..., sasa ili wasipate hasara na wao hutafuta misukule wengine ili na wao waanze kula pesa za gawio la KU-RECRUIT NEW ZOMBIES. sasa kwa point hii tunaona kabisa kwamba FLP NI PYRAMID SCHEME!!
D.) Be careful if you arerequired to pay a buy-in to participate in the program,
Tukiangalia point iliyo kwenye red hapo juu sasa. Hapa tunaambiwa kwamba kwenye pyramid scheme ni lazima utoe pesa ili uweze kujiunga. Kwenye FLP utake usitake.., ni lazima utoe kiasi cha shs. 750,000/= ili uweze kujiunga.., japo wametumia ujanja wa kusema kwamba registration form ni free.., na kwamba hiyo pesa ni kwa ajili ya kununua some rubbish drugs (ni useless kabisaa!!!) ukweli unabaki pale pale kwamba hiyo pesa ndio entrance fee ya hiyo pyramid scheme na hutokaa uje ufanye 'biashara' nao kama huna hiyo shs. 750,000/=, period. Yaan nyie mbwa nyie..., daaa.
E.) primarily focuses on recruiting others to join the program for a fee,
-Hapa sitaongea sana coz hili nimelielezea vizuri sana kwenye hizo point za juu hapo. Ila.., kama mtu mnafikia hadi kuwadanganya watu na message za uwongo za kuwafanyia usahili wa ajira ili tu waweze kuja kwenye conference zenu za brainwashing.., ili tu waweze kuwapa shs.750,00/= zao.., hii inamaanisha nini..???!
Kwanza kabisa dawa ya meno kwa member ni elf 9, kwa non member ni 13,500, ongea facts acha kurukaruka kama pop corn kwenye kikaango, ww endelea kutumia hzo za elfu mbil mnazohongwa na miswak juu, huku sio ghal ukwel ni kwamba YOU CANT AFFORD endelea kusubir the next salary na pension yako (ambayo wadau wanaitengeneza ndan ya miez michache), endelea kumsikiliza huyo mshaur wako (mwenye njaa kama ww)
Programe ya uzito inafanya kaz vzr (mm ni shahid coz hata ndugu zang wa karibu wametuimia na imeleta majibu mazur sana), kwa kukusaidia ingia google mke wa Beckham kaitumia na ameiongelea vzr sana, tatizo la waswahili (akiwepo ww mwenye akil ndogo) ni kuwa hamfuat maelekezo, kupunguza uzito inahtaj descipline ya hali ya juu sana (kwa cku 9 za kwanza hutakiw ule zaid ya calories 600 (sasa cdhan kama unajua hata calorie ni nn)), tatizo mnataka mpungue mkiwa usingizin kitu ambacho hakipo (lazma ufanye na mazoez kdg).
Halafu unaonekana kabisa huelew system inavofanya kaz.....................hyo 2.8B aliotengeneza ni bonus aliyolipwa kutokana na consumption ya team yake kwa miaka hyo 7 mpk mwaka jana december, endelea kuuza sura wakat wadau wanatengeneza mishiko (tena kihalal kabisa). Serikal yenyew imepata kodi 9.5B ww unashangaa nn sasa distributor kupata hyo amount, nenda kweny link niliotoa ya top earners dunian in this industry (kuna anaetengeneza 1.3m USD mwez, ww unashangaa huyu mbongo kupata hyo kwa miaka 7(you are thinking too small young man), na chin yake wapo waliotengeneza around 500m - 1.5B kwa kipind hcho ambao baadh kwa miaka miwil wamenza kumzid vipato vya mwaka mzima
Na hii busness c yakutembeza bidhaa kama unavofikir (ndo maana ikaitwa network marketing), u r paid from the consumption of your network, huyo alietengeneza 2.8 ana team kubwa sana ndo maana unaona hvo.
Yah ni kwel kabisa ww unaona ni Pyramid scheme, take it from me (wanao watakuja kukuuliza ww ulikuwa wap wenzako wakichangamkia fursa), ni mtazamo wako (ww unaona pyramid sisi tunaona fursa hata baadh ya viongoz wako wanafanya hii business)
Hii ni biashara sasa ww unataka upewe pesa bila kufanya kaz, wanachomaanisha hapo ni kuwa pyramid scheme kuna joining fee (kias kadhaa ambacho hakirud), FLP ukitoa 750,000 unapata products za gharama hyo (ipo ndan ya price list), sasa hapo joining fee iko wap, FLP ni kununua products tu tayar u r a member
Hao wanaotumia usahili ndo wale niliosema wanaifanya ndivo sivyo, na kwa taarifa yako wanafuatiliwa wakijulikana wanafutwa kweny business coz wanaenda kinyume (kama una majina yao nipe na uje twende mpk kwa viongoz wafutwe coz wanaharibu image ya business na kampun kwa ujumla)
Nimalize kwa kukupa kitu kdg, kuna watu wa aina tatu hapa dunian:-
Those who see what is happening
Those who wonders what is happening
Those who make things happen
Nafikir unajijua upo kundi gan hapo...............na hakukosea mwana falsafa ― Alvin Toffler, aliesema
"The illiterate of the 21st century will not be those who cannot read and write, but those who cannot learn, unlearn, and relearn. "
Kwa ufupi hujielew, una macho lakin huon, una masikio lakin huelew................Mungu akusaidie mdogo wang (sio kiumri bali kimtazamo na akili)
maelezo nilitoa kuhusu anayodai hapo jamaa yanatosha sana, yy anazunguka tu mbuyu hana jipya kabisa.............nimetoa link kaziangalien.
Au ingia google uulize kama FLP ni pyramid scheme utapata majibu (mi nmefanya hvo last year kabla cjajiunga coz nlikua na mawazo kama yake).
Pyramid scheme haiwez kuwa ndan ya nchi 158 dunian na iangaliwe tu.............FLP kwetu ndo inakua kwa wenzetu iko mbal sana, Nigeria wanatengeneza mpaka 2b kwa mwaka mtu mmoja.
Viongoz wakubwa wanaiongelea vzr coz licha ya pesa na kuwapa vijana ajira lakin pia imegusa sana afya za watu (na wanatoa shuhuda), nenda google na youtube tafuta utapata kila unachotaka.
Nyie ni vijana wenzangu ndo maana najitahid kuweka kila ninachokifahamu waz ili muichangamkie hii fursa coz baada ya muda tutaanza kuzungumza lugha tofaut (nafikir mnaelewa pesa ikishakuwa nying hata muda wa kulumbana haupo).
maelezo nilitoa kuhusu anayodai hapo jamaa yanatosha sana, yy anazunguka tu mbuyu hana jipya kabisa.............nimetoa link kaziangalien.
Au ingia google uulize kama FLP ni pyramid scheme utapata majibu (mi nmefanya hvo last year kabla cjajiunga coz nlikua na mawazo kama yake).
Pyramid scheme haiwez kuwa ndan ya nchi 158 dunian na iangaliwe tu.............FLP kwetu ndo inakua kwa wenzetu iko mbal sana, Nigeria wanatengeneza mpaka 2b kwa mwaka mtu mmoja.
Viongoz wakubwa wanaiongelea vzr coz licha ya pesa na kuwapa vijana ajira lakin pia imegusa sana afya za watu (na wanatoa shuhuda), nenda google na youtube tafuta utapata kila unachotaka.
Nyie ni vijana wenzangu ndo maana najitahid kuweka kila ninachokifahamu waz ili muichangamkie hii fursa coz baada ya muda tutaanza kuzungumza lugha tofaut (nafikir mnaelewa pesa ikishakuwa nying hata muda wa kulumbana haupo).
Yah ni kwel kila mtu atumia akil yake kufanya maamuz..............umesema unachokijua (ukifikir unajua)
Kuna utafauti mkubwa sana kati ya Knowing the path and walking the path, knowing the business and doing the business
Am doing the business, ww upo nje ya system hujui kinachoendelea hata kdg, endelea na shughul unazozifanya coz nafkir ndo mwisho wa kufikir kwako hapo
Kama imekushinda kuwa waz tu, co wote wanaiweza hii business coz inataka moyo (hasa ukikutana na watu weny alil ndogo kama yako), inahtaj guts sana kuzipita challenges zote kama hiz.
Ila next tym njoo na facts, co hzo cheap bla bla unazookota huko mitaan.
Hahahaha.............umeanza kuleta pumba zingine, ikifika miaka 50 cjui utasema mingapi, baki na mawazo mgando yako, huku watu wanatengeneza future mbulula ww, na cna haja ya kukuckiliza (nafikir na wengine pia) coz huna chochote cha mtu kujifunza.
wanasema ''Dont take advice from people who are more screwed than you''
Hahahaha.............umeanza kuleta pumba zingine, ikifika miaka 50 cjui utasema mingapi, baki na mawazo mgando yako, huku watu wanatengeneza future mbulula ww, na cna haja ya kukuckiliza (nafikir na wengine pia) coz huna chochote cha mtu kujifunza.
wanasema ''Dont take advice from people who are more screwed than you''
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.