Forever Living!

Forever Living!

suala co wengine wanaichukuliaje................suala ni ww mwenyew coz maisha ni ya kwako huish kulingana na wngine wanaonaje jambo fulan, unaonesha ni jins gan ulivo na akil ndogo kk, mpk kila mtu aseme ndio na ww ndio ufanye, kwa attitude hyo nafikir maisha yataendelea kuwa magumu kwako.

Sio kila unachokiona ww kila mtu atakiona, binadamu tumetofautina sana kimtazamo (kutakana na mazingira, mazoea, experience, knowlegde, etc) kitu kinachopelekea kila mtu kuwa na his/her own personal philosophy.

Ushauri wa bure................fuata instinct na intuition yako, ukisubir wengine wanasema nn hutakaa ufanikiwe ktk chochote kk, mwana wa mungu mwenyew walimpinga na kumuua ndo ije kuwa ww binadam wa kawaida.

Unafikir ni kwa nn 3% tu ya watu dunian ndo wamefanikiwa???..................wameweza kuckiliza mioyo yao na co mawazo ya wengine. Mzee Mengi na Bakhresa wangewasililza watanzania wengine wanasema nn kuhusu biashara wanazotaka kuzifanya, nafikir leo wasingekuwa hapo walipo.

In short unahtaj mentoring sana ndugu.........sion dalili yoyote ya ww kuish maisha mazur, utalipa bill tu hapa dunian then urud mavumbin coz hujui kwann umezaliwa.

Mtafute mtu anaitwa Nick Vujicic google usome historia yake na mambo anayoyafanya,jamaa hana mikono wala miguu lakn anajielewa, ww naamin una kila kitu lakn hujitambui
Big sum ulivyojib hoja unaonekana ni mdau wa 4ever maana,badala ya kutumia jukwaa kuelimisha umetumia kushambulia. Kama ulifikiri unapalilia 4ever unajidanganya huwezi ongeza members kwa kutukana jf
 
Concern zangu kwa hawa jamaa ni mbili
1. Bidhaa zao hazina thamani ya bei wanayouzia - wanauza bei gahli kwa sababu kila bidhaa ipo kwenye long value chain. Ukinunua dawa moja ya meno ujue zaidi ya 80% ya hela uliyolipa ni faida inayogawanywa kwa msururu wa watu

2. Wawe wanalipa kodi au hawalipi kodi, ukweli ni kwamba hawaongezi chochote kwenye pato la taifa. Zaidi sana wanasababisha mabilioni ya fedha za walipa kodi ziende huko kunapotengenezwa hizo bidhaa. Hapa namaanisha kuwa, unapomkamua mtanzania sh laki 3 kwa dawa ya kupunguza kitambi, kisha serikalini ukalipa kodi ya sh alfu 50 labla, elfu 80 nyingine ukala wewe faida na iliyobaki ikalipia bidhaa uliyonunulia MALAYSIA, waliofanikiwa ni Malaysia, sio Tanzania. Huyu Mtanzania hiyo laki tatu pengine angenunulia chakula, ambapo pamoja na serikali kuendelea kupata kodi yake katika hiyo biashara ya chakula, hiyo fedha itakuwa imeenda kumnufaisha mkulima wa Kitanzania, na sio mtengeneza dawa wa Kimalaysia...
 
Kwa maneno ya yakipuuz unayoandika unaonyesha ni jins gan unaumia kwann co ww unatengeneza hcyo vipato............kwa kukusaidia tu ni kwa sababu hujataka kubadilika (mind set), umejaa mawazo hasi, kifupi ushakufa tunasubir tu watangaze tuje kukuzika (kama hujui ni kwamba binadamu anaanza kufa kimawazo kwanza ndo maana wanasisitiza kuwa positive in every situation)

Kingine ni kwamba c lazma wote tufanye FLP, kuna njia nying sana za kutafuta vipato, ni kama unavyotaka kusafiri, unaeza tumia gari, ndege, meli, kutembea, etc etc, inategemea unaenda wap na unataka kufika baada ya muda gan, kwangu mm FLP is the best vehicle kwa sababu am making more than what i make in my salary, twende mbali zaid, mshahara ninaoupata nimeuhangaikia for more than 18 years (nursery, primary school, secondary school o-level na a-level, college), achilia mbal gharama zilizotumika, but with FLP in less that six months natengeneza kipato kikubwa zaid ya nilichokihangaikia miaka hyo 18, na kitengeneza kwa masaa 5 tu ambayo nafanya FLP kwa week.

Sasa cjui ww una ndoto kubwa/ndogo kiac gan, mm ndoto zang ni kubwa sana that's why nmeichukulia kama fursa kwang, kuna watu wana nyumba sinza, kijitonyama na maeneo mengine wamepangisha lakn nyumba hazilet hata million 1 kwa mwez, sasa angalia gharama ya nyumba yenyew,lakn with FLP kwa 750,000 na team ta watu wachache you can make more and more kulingana na speed and how serious you are (nna miez sita lakn natengeneza kipato kikubwa kuliko nilowakuta, hii biashara ni ww, co products wala marketing plan, ukiwa serious u make, ukiwa lazy utaishia kulalamika kama hao iliowashinda, unavuna unachokipanda)

Ww endelea kusubir katiba mpya (ikiwezekana kaa chin au nunua godoro ulale coz utasubir sana), kwa taarufa yako University of Dar es Salaam wapo kweny mchakato wakuingiza Network Marketing kweny curriculum ya MBA kama somo na wanawatumia watu wa Forever kusiadiana kuandaa courses, sasa endelea kuweka akili lami ila the time will come and you will be explaining. Na labda nikupe mchanganuo wa hesabu za FLP zilizopo TRA za miaka mitano iliyopita:-

5 Years of Forever in Tanzania…
Cash flow 2008 – 2013
-Tshs.45 Billion in Revenue
-Tshs.19 Billion Bonuses to Distributors.
-Tshs.1.2 Billion Annual Profit Sharing to Distributors.
-Tshs.0.9 Billion Incentives to Distributors.
-Over 9.7 Billion Paid to the Government as Taxes.
-Branches in

  1. Dar-es-salaam
  2. Mwanza
  3. Arusha
  4. Mbeya
  5. Dodoma

Hapo nenda mpk TRA watakupa kama ilivo, na ni kwel FLP inafanya vzr sana kweny ulipaj wa kodi ktk mkoa wa Temeke, ikumbukwe huko ndo yalipo makampun ya Bakhiresa, Serengeti breweries na makampuni kibao ya mafuta. Nafikiri hamjui sheria ya kodi vzr, makampuni makubwa yana uwezo wa kukwepa kodi 'kisheria', yanalipa kodi yakipata faida (30% of the profit), sasa michezo inafanyika kuchezea mahesabu ili walipe kgd au wasilipe kabisa, nimewah kufanya hii kaz ya kutengeneza mahesabu ya wafanyabiashara by the time nipo college, nakir kushirik dhambi hii na Mungu anisamehe, ndo maana unaona wadau wa TRA wanapiga pesa sana sababu ya hii michezo (makampun hayaon tabu kuwahonga hata million 100 kukwepa kulipa mabilion), sasa ikumbukwe wanasiasa wetu nao njaa kal, wanashirikiana na wawekezaj na wamilik wa makampun makubwa kuiibia serikal, ndo maana mnashangaa kwann hayalipi kodi, na ndio maana FLP inawazid, na FLP hawawez kukwepa coz mfumo wa Network Marketing u can track each and everything (coz kila member ana ID yake inayoonyesha kanunua kwa kiwango gan kwa muda husika)

Na kama hujui sheria za kodi zmewekwa kuwanyonya watu wa chini(waajiriwa na wafanya biashara wadogo), angalia waaajiriwa wanalipa almost 30% kodi toka kweny mshahara (angalia salary slips zako), na kodi inachukuliwa hata kabla mashahara haujafika ndo maana waajiriwa wanaitwa watumwa wastaarabu, waaajiriwa wanalipa kodi kubwa (percentage-wise) zaid ya makampun makubwa. Mm nmechoka na haya ndo maana nmeamua kutafuta another vehicle (FLP) kwenda kweny ndoto zang. Juz watu 10,894 waliitwa kweny interview inayohitaj watu 70, nafikir hiz taarifa unazo mkuu, dunia ishabadilika, watu wamehamia kweny soft skills (networking) afu bado unang'ang'ania carrier na profession (Mungu awasidie)

Sasa katika FLP, 45 Billion, almost 22 Billion imerud kwa members wake kama bonus (kila mtu kalipwa kulingana na efforts zake), huku co kama kazin kwamba hata ukitega mshahara upo, na ndio hapo wenye akili ndogo kama ww mnapopotea.
9.7 imeenda serikalin, nitafutie kampun yoyote hapa bongo inayofanya hivo, wapo watu wanauza soda, bia na vitu vingine lakn waulize makampun yao yamewalipa kias gan. Ewe mtumwa mstaarabu endelea kukaza shingo na ubak hvohvo ila jua hukuumbwa ufe masikini. Unadanganya eti Job security, kwangu mm security ipo magerezan na co kazin, wakikuchoka wanakufukuza kama hawakuwah kukujua, wezee wa east africa c unawaona, walimu wanadai tangu nazaliwa, naamin ntakufa na bado wataendelea kudai, hyo ndo hali halisi kuhusu kuajiriwa, sisemi ni vibaya kuajiriwa,fanya kwa muda (coz mfumo ndo umetuandaa hvo), lakn jipange utoke uanze kukimbiza na ndoto zako.

Sisi kaz yetu ku-share information atakae penda anakaribishwa, asiependa tunamuacha kama alivo, lakn co wote wataielewa leo, wengine kesho, wengne mwakan na wengine hawatakaa waelewe (ndo wanadamu tulivo), mm nmekaa almost 5 years ndo nikaielewa lakn walioichukulia serious toka kipind hko leo wapo mbal sana.

Na hii business its about leadership, ukikosa wakukuongoza vzr itakushinda coz ni relationship based business, na kumbuka binadamu tunaongozwa na hisia so wengi tunashindwa ku-control hisia zetu pale mtu anapokataa kukuelewa unaona business haifai, ww ndo hufai kama hujui, hvo unapaswa kupata training za kukuwezesha kukabiliana na challenges kama hzo, na zipo tena free.

Kingine sio biashara rahis kama wanavowaambia members wengine, wanataka mjiunge ili wapate pesa ya kukuingiza (kumbuka kwenye kila kitu kuna walio serious na wale ambao wapowapo tu kufuata mkumbo ambao nakiri FLP wapo wengi sana na ndio wanaichafua image ya hii business hapa tanzania), mm huwa nawaambiaga ukwel watu wang, haitakuwa rahis, ila ukiiweza it is worth it coz results zitalingana na jitihada zako. Na watu wang nawafundisha kuifanya in a professional way, cna nafac ya wababaishaj kweny team yang na few years to come results zitaongea zenyew coz the future is so bright for us (me and my team).

Labda kwa kukusaidia tu, nikutumie kitabu kimoja (ebook) kikufungue about this industry (network marketing in general) coz makampun yanaingia mapya kila mwaka labda itakuja ambayo utaona inakufaa, ujiandae coz this is the business of 21st century, na makampun mengi yanahamia kweny huu mfumo kwa sababu nilizozieleza mwanzo,hata tanzania ucjeshangaa yakaibuka makampun local ya aina hii (dunia inaenda kas sana).

Ila ushaur wa bure, kuwa open minded co tu kweny FLP bali katika jambo lolote, try to see the opportunity and not the problems. Shule kuna wanaofel lakn hatuach kusoma, ndoa znawashinda weng lakn hatuach kuoana, kila mahal kuna watakao fanikiwa na watakao shindwa, angalia wanafanikiwa wakupe mbinu. Hii biashara ni mtu mwenyew, anaefanikiwa kaamua kufanikiwa, anaeshindwa pia kaamua kushindwa japo hajijui, wabongo ni wepesi sana kutoa lawama na kutafuta visingizio vya kwann tumeshindwa kitu fulan ila ukwel hatupend kuwa responsible & accountable kwa makosa yetu.Ila kumbuka utaendelea kufanana na wanaokushauri.

Kwa yeyote atakaekuwa interested kukipata hiko kitabu (nimtumie kwa email) anichek kwa mawasiliano hapo chini, SHARING IS CARING!!!

Network Marketing It is an Asset Not a Job.

0715782872 - call,sms,watsup.
email: samson.ndosi@gmail.com
 
Wala usishangae. Kwani itakuwa ni mara ya kwanza kwa Mkulu kutumika na wajanja ? Mbona alishawahi kuzindua hoteli iliyokuwa imejengwa kwenye road reserve? Na kwenye yale matangazo ya fursa je... ambayo mwishoni sauti ya mkulu wetu ilitumika visivyo kuipromoti ile radio ya watu??

Not surprised kwa kweli.
 
Mkuu endelea kutumia bidhaa unazomudu kununua, ndo maana soda mbagala ni 600 na serena ni elf 5, mbona hilo husemi.

Makampuni ya madini yanaondoka na sh ngap bongo.

Kumbuka kuna tofaut kubwa sana kati ya Price and Value Bidhaa za FLP zina value kubwa sana, uliza watumiaj wazur watakwambia mkuu. Value kwa maana ya kaz zinazofanya mwilin, watu wanatoa shuhuda kila cku.

Dawa za meno zeny fluoride hujui tu madhara yake (ingia google ujua effects za fluoride mwilin).

Ungekuwa unajua value ya afya yako ucngethubutu kutumia baadh ya products madukan, mwili wako umetengenezwa kwa ajili ya kupokea vitu natural, lakn leo kila tunachokula ni feki kuanzia mayai, kuku, ma-juice ya madukan na vitu kibao, ndo maana kansa, kisukari, presha (and all other lifestyle diseases) yanazid.

Ndo maana products zote za forever zimetokana na natural plants (aloe vera, bee products, macca plants and many more plants), kaz zake ni kuongzea virutubisho tunavyokosa mwilin coz vyakula vya cku hiz vinakosa virutubisho kibao ndo maana afya za weng mgogoro. Na co dawa ni food supplements

Jaribu kujua your blood group na what u need to eat, somo la Nutrition ni muhimu sana nashindwa kuelewa kwann walilitoa mashulen, jaribu kujieleimisha mwenyew mkuu
 
Matawi thank for your concern,

Kama ni elimu nimeitoa sana, soma post zang kwa utulivu wa kutaka kuelewa utaona all my points na kujaribu kuielezea FLP kwa best of my knowledge about it.

Nakir pia kutumia maneno ya kejel na kushambulia, ila ni kwasababu moja kuu, waliokuwa wanajibu hoja zang nao pia wametukana tena direct so si vbaya nao kuwajibu kama walivokuja.

Na ni kwel mm ni mdau wa FLP (6 months in the business now)
 
wachina hawajaleta za kwao? maana kwa kucopy na kupaste hawajambo
 
Hawa jamaa wako makini niliwahi kumpa mgonjwa was ukimwi dawa yao ya omega wash na ikafanya vizuri sana. Sasa hawa wanaozipiga vita ni wale wenye maslahi na hay a madawa ya hospital . Utakuta hata hawa wanaotibia mifupa kwa dawa za asili.kazi yao no nzuri kuliko hata moi lkn wanapigwa vita
 
Concern zangu kwa hawa jamaa ni mbili
1. Bidhaa zao hazina thamani ya bei wanayouzia - wanauza bei gahli kwa sababu kila bidhaa ipo kwenye long value chain. Ukinunua dawa moja ya meno ujue zaidi ya 80% ya hela uliyolipa ni faida inayogawanywa kwa msururu wa watu

2. Wawe wanalipa kodi au hawalipi kodi, ukweli ni kwamba hawaongezi chochote kwenye pato la taifa. Zaidi sana wanasababisha mabilioni ya fedha za walipa kodi ziende huko kunapotengenezwa hizo bidhaa. Hapa namaanisha kuwa, unapomkamua mtanzania sh laki 3 kwa dawa ya kupunguza kitambi, kisha serikalini ukalipa kodi ya sh alfu 50 labla, elfu 80 nyingine ukala wewe faida na iliyobaki ikalipia bidhaa uliyonunulia MALAYSIA, waliofanikiwa ni Malaysia, sio Tanzania. Huyu Mtanzania hiyo laki tatu pengine angenunulia chakula, ambapo pamoja na serikali kuendelea kupata kodi yake katika hiyo biashara ya chakula, hiyo fedha itakuwa imeenda kumnufaisha mkulima wa Kitanzania, na sio mtengeneza dawa wa Kimalaysia...

Haya pia ni mambo ya kuangaliwa ukiacha hilo swala la kuendesha pyramid scheme... kula like..!
 
........Kingine sio biashara rahis kama wanavowaambia members wengine, wanataka mjiunge ili wapate pesa ya kukuingiza (kumbuka kwenye kila...........
Kuna kitu mimi na wewe tunashindwa kuelewana na sijui kwanini hunielewi..., sijui ni hutaki tuu au unafanya makusudi ili kuchanganya watu hapa.., nakuoma sana legeza huo ubongo wako kidogo. hayo yote uliyoyasema mimi siyapingi kabisa.., sipingi kwamba hii biashara ukiwa serious na ukifanya kazi kwa bidii utafanikiwa..., sikatai kabisa hili. ninachopinga ni mfumo wa upatikanaji huo utajiri..., hapo kwenye red umesema mwenyewe kabisa kwamba watu wanalipwa kwa ku-recruit misukule wapya.., sasa huu ni mtindo wa pyramid schemes. NAISHIA HAPA.., NA HICHO NDICHO NINACHOPINGA.., NIELEWE BASI.., MAFANIKIO MEMA MKUU BIG SAM.., NA NIWAPE POLE MISUKULE WOTE WANAOTARAJIA KUJIUNGA.
 
Francis Da Done:

Labda nikusaidie uelewa kdg..........network marketing hawatangaz bidhaa zao kweny chombo chochote cha habar, wala mabango, na aina yoyote ile ya utangazaj. Hata hao unaoona wanaweka matangazo ya products kwenye facebook ni makosa coz ni nje ya policies za network marketing business.

Nilishakwambia our business is all about SHARING INFORMATION (kaz ambayo ingefanywa na medias na wangelipa gharama kubwa sana, kama hujui dakika moja ya air time kwa ITV premium time inagharimu 450,000 TZS), mi ni procurement officer nafanya nao business sana. So tunalipwa some cash kwa kumleta mtu mpya kwenye business kama ambavyo makampuni mengine yanalipa kweny vyombo vya habari kwa kuamin kuwa matangazo na mabango ndo yanawaletea wateja kumbe saa zingine ni sisi wenyew tunazitangazia biashara hzo kampuni na hawatulipi kwa sababu hakuna utaratibu unaoonyesha kuwa flan ndo kakushauri kutumia bidhaa fulan, lakn kwa network marketing utaratibu upo kwa sababu ukitaka kuwa member ni lazma ujiunge chin ya yule aliekuletea hizo taarifa. Sasa akishajiunga chin yako miez mingine yote itakayofuatwa utalipwa asilimia fulan kutokana na volume ya team yake nzima (ndo ile 6% first generation, 3% second generation na 2% third generation na bonus zingine kulingana na level uliofikia), hiz 6%, 3% na 2% ndo zile pesa ambazo alikua achukue distributor, whole seller, retailer kweny biashara za kawaida ndo maana ukinunua kitu duka la jumla bei ni tofaut na rejareja kwa sababu kila product inapo-move kutoka point moja kwenda nyingine muhiska anaeka faida yake, sasa ile faida iliokuwa wachukue hao jamaa (distributor, whole seller na retailer) inakuja kwetu kama bonus pia coz ile chain tayar imevunjwa (u need to understand this concept brother).

Na ndio maana watu wanashangaa hiz pesa huwa zinatoka wap, hapo ndo uelewa wa watu unapotea na kuhis mambo mengine kama uchaw nakadhalika, na the more people in your team the more money u make. (ila usisahau kuwa kila mtu anafanya kulingana na speed na ndoto alizonazo), wanaopata kdg ndo efforts zao hzo, weny kupata nying ndo efforts zao pia (hata kweny bible imeandikwa wengine watafanya 30%, wengine 60% na wengine 100% kulingana na alivo), no work no money, get that clear bro

Angalizo ni kuwa kila kampun ina utaratibu wake wa kulipa members wake, hzo percentage (%) hapo juu ni kwa FLP tu nisieleweke vibaya.​
 
ADK

Tell them brother, shuhuda za ubora wa product ni nying mno.

Kama hawajui ni kuwa madawa ya hospitali ni biashara za watu, bidhaa za FLP ukitumia vzr magonjwa mengi utaeka pemben (na sio dawa ni virutubisho), mi mwenyew ni shuhuda kwangu mwenyew na ndugu zang, kwangu mm FLP ni zaid ya biashara na ndio maana cwez kuvumilia kuona mtu anajaribu kupotosha!!!
 
Kashesho.

Mchina hawez kuchakachua, ndo maana bidhaa zinapatikana sehemu moja tu Quality Plaza na muda c mrefu zitahamishiwa jengo jpya millennium towers.

Hii ni kuhakikisha kuwa zinakaa kweny ubora unaohitajika (room temperature) mpk kumfikia mtumiaj, na kama co member hupat,lazma uzipate kupitia member. Na c ruhusa kuwekwa madukani, wanaofanya hvo ni makosa na wakigundulika wanafutwa kweny business.

Na ili pia kuhakikisha ubora, kampun inalima yenyew mazao yake, inahifadh na kuzitengeneza yenyew ili kuhakikisha hakuna uchakachuaji wowote ule (members wanapata nafac kila mwaka kwenda kushuhudia every process of manufacturing kama sehemu ya zile safar za kimataifa znazogharamiwa kila kitu na kampun)

Mchina kajitahd kuleta aloe vera zake (zile wanazouza kweny mabas) lakn quality z very poor, aloe vera yao lita moja ni elf 7,500, ya FLP ni 43,000 kwe retail na 30,500 kwa member, tofaut hapo ni quality ya product yenyew hata ukizifanyia test utaona ipi bora ipi feki (na TFDA wanajua). Ila chaguo linabak kuwa lako mtumiaj (price v/s value of the product)
 
Francis Da Done:

Labda nikusaidie uelewa kdg..........network marketing hawatangaz bidhaa zao kweny chombo chochote cha habar, wala mabango, na aina yoyote ile ya utangazaj. Hata hao unaoona wanaweka matangazo ya products kwenye facebook ni makosa coz ni nje ya policies za network marketing business.

Nilishakwambia our business is all about SHARING INFORMATION ...................
If that was the case then hapakuwa na sababu ya kumlazimisha mtu anunue rubbish kwa shs. 750,000/= ili tu aweze kuwa INFORMATION SHARER! Alichotakiwa yeye ni kufanya free registration na kupewa special ID no.., ambapo akim-refer mteja (ambae haji hapo kuwa member) ndio mnampatia hiyo commission (Kama ulivyochanganua hapo juu). Kitendo cha yeye kulazimika kutoa 750,000/= ili tu kuwa INFORMATION SHARER ndio kunawafanya nyinyi muwe a pyramid scheme. Jaribu tena mkuu.
 
Fransis the Don:

Eti Rubbish, anyway ni mtazamo wako (ila kumbuka kuna habar walitoa ITV kuhusu yule mwanafunz aliemeza sumu akiwa shule akiomba msaada wa kupatiwa bidhaa ya forever ili aokoe maisha yake na alishauriwa na daktari wake, akapatiwa na members na leo yupo vzr)..............hulazmishwi kuanza na hyo 750,000 mkuu, 750,000 ni kwa wale ambao wanataka kufanya kama business, 750,000 inakusaidia ku-qualify kuanza kupata bonus, kuna kitu kinaitwa case credits (business volume). By the way kila kitu kina utaratibu wake ambao kama huwez acha, hata ukitaka kukopa pesa bank au saccos kuna utaratibu sasa ww usitake kuleta utaraibu wako (anzisha kampun yako fanya unavotaka)

Kuna option nyingine ya mtu kuwa member kwa ajil ya kupata bidhaa kwa bei nafuu (13% less), hapo c lazma uanze na 750,000, lakn kama mtu akihitaj bidhaa zinazofikia kiwango hicho ndo anashauriwa (kwa faida yake) awe member ili apate bidhaa kwa bei nafuu kwa wakat wowote ule atakaopenda kununua bidhaa hata akienda nje ya nchi atauziwa kwa bei nafuu.
 
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu. Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK alienda kula chakula cha jioni na hawa jamaa pale St Gasper. Na leo mchana anahudhuria mkutano wa hawa jamaa pale Dodoma Hotel. Ataomba yana na mawaziri 6. Nasikia Forever living ni wa pili au wa tatu kulipa kodi kubwa serkalini.
Hii imekaaje? Mimi nilikuwa nadhani (na watu wengine wengi) hawa jamaa ni matapeli fulani hivi. Inaelekea shughuli zao ni halali!
Nawasilisha!
Mkuu kuhudhulia kwa raisi au waziri haimanishi kwamba hawajamaa wako safi ,kumbuka ni viongozi wangapi waliandamana na kunywa kikombe kwa babu?je unajua ni watu wangapi waliangamia baada ya kunywa kikombe cha babu?je slikari ilisema chochote Forever living dawa zao ni fully usanii, kwanini usishauliwe kunywa juice halisi ya karoti utakayo ipata kwa gharama ndogo ,kuliko hii juice ya kariti ya kutoka marekani ,tatizo letu tunaupenda umaghalibi zaidi nasema tena hawa jamma ni matapeli kwanini bidhaa zao wanauza bei ya juu,ni mawazo yangu tu.
 
Nshajaribu hiyo business mpaka nilikua manager dodoma miaka ya nyuma kabla wewe haujaanza......hii biashara ni mzigo na haijalenga mtu wa kipato cha chini, ndioa maana mtu wa kipato cha chini akiingia atapambana sana na mwisho wake utakuja kisikia ameacha.....

Kingine hii biashara huwa inakimbilia sana kuvutia watu kuwa ukijiunga utapata safari za nje, kupata benz, nyumba yakifahari na mpaka ndege au boat huko mbele.....but in reality hakuna aliyewahi kupata hivyo vitu hapa tanzania, zaidi kuna mmoja alijitahidi mpaka ngazi ya kupata benz lakini aliambulia kupewa noah old model tena used ya bongo.....sio forever living only lakin hii ni kwa biashara zote za mitandao.....mostly vikao vyao huwa ubungo plaza, holiday Inn, mark ham hall, na baadhi ya hotel za kifahari hili kuvutia watu..

Dawa zenu zinasaidia sikatai lakini bei yenu kubwa sana ukizingatia hamlipi hata kodi
 
.......By the way kila kitu kina utaratibu wake ambao kama huwez acha, hata ukitaka kukopa pesa bank au saccos kuna utaratibu sasa ww usitake kuleta utaraibu wako (anzisha kampun yako fanya unavotaka)

Sikatai kua huo utaratibu wa mtu kutoa 750,000/= ili kujiunga na ku-share information ni utaratibu wenu.., ila na-highlight kwamba utaratibu huo (wa kwenu nyinyi FLP) ni utaratibu wa ki-pyramid scheme. Jaribu tena.
 
Back
Top Bottom