Aaaaaaanh kuamka tu na mipasho!!!!!!!
Haya wamekusikia "coach potatoes"!!!!!
Yupo sahihi sana hapa mjini watu wengi hawafanyi mazoezi, namshukuru Mungu huku kwetu Mivumoni kuna vimilima kidogo hivyo binafsi nimejiwekea utaratibu wa kukimbia japo Kilomita5 mara tatu kwa wiki, yaani Jumamosi, Jumapili na siku moja ya kazi nitakayoiotea eidha asubuhi nichelewe kazini au jioni niwahi kurudi home na imenisaidia napoteza uzito taratibu Mwaka 2010 nilikuwa na Kg93 kwasasa nina86 zinapungua taratibu ila hazijawahi kupanda, na yale mambo mengine yana boreka kila mwaka
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
unikomeeee siwezi kuwa kama mwanaume....... unatabia mbaya
Japo sijakuelewa apo kwenye bold!!
Bao nane mkuu! Khaa! kulikoni?.... kupiga 8 za dakika mbili mbili au tatu tatu na kupiga bao mbili za lisaa na ushee bora kipi apo!!!! La tatu ndio usiseme.
Idadi sio kitu, bali inatakiwa KIWANGO. Lakini kiwango hakini kwa chipsi na uvivu.
Janga la kitaifa!!
Mkuu Tized yeah bao 8 na wala unakuta sikamii,inatokea tu hamu haiishi na hakuna kuchoka! Bao 1 - 3 zinaunganishwa mkuu
kwa mwaanume mwenye akili hili atachukua na kufanyia kazi........ alafu hawajui wakiwa na vitambi wakivua nguo wanatia kinyaaa..... mwanaume uwe smart nikimaanisha from your body language hadi uvaaji... mtu anvua nguo utafikiria mdudu kumbe mtu...
badilikeni mwanaume umeunganika kichwa huna shingo tumbo makalio mapaja manene lohhhh mmmh inatia kinyaaa
Komredi kumbe na wewe umemstukia eeeh?