Sana tuu. Kwa vile ni mwembamba kama sindano haina maana kuwa hutakiwi kufanya mazoezi na kula vizuri.
i apreciate ur compliments ila mmhh!!!
mhh bt you were looking good.! ,kwahiyo ukiwa free from stress unakuwa jmama la haja,??ila usiniambie umepungua zaidi ya pale!!
Mie mwenyewe huwa nashangaa mtu akiniona anasema sasa we wafanya mazoezi ya nini!!!!!!!!
nikajiuliza mwenyewe kwa hiyo watu wanasubiri uwe chibonge ndio uanze mazoezi
Wenye miili yao wakifanya mazoezi unaona kakifua kamenyanyuka, tumikono tunavimba, wanavaa vibodi suti...mi najazia ndani tu huko sa ya nin?Sana tuu. Kwa vile ni mwembamba kama sindano haina maana kuwa hutakiwi kufanya mazoezi na kula vizuri.
Usiache mazoezi Mama Kijacho. Yanakuweka poa sana. Pia mwili utakuwa kwenye hali nzuri wakat wa kujifungua.
Usimfie mtu kifuani please!
nikiwa sina stress mwili unakuwa poa tu stable........ila nikiwa nazo aisee hasa stress za mapenzi
nahisi hivi nimepungua ila kidogoooooo
Na wewe kimbaumbau kama mimi?Mie mwenyewe huwa nashangaa mtu akiniona anasema sasa we wafanya mazoezi ya nini!!!!!!!! nikajiuliza mwenyewe kwa hiyo watu wanasubiri uwe chibonge ndio uanze mazoezi
Mie mwenyewe huwa nashangaa mtu akiniona anasema sasa we wafanya mazoezi ya nini!!!!!!!!
nikajiuliza mwenyewe kwa hiyo watu wanasubiri uwe chibonge ndio uanze mazoezi
Wenye miili yao wakifanya mazoezi unaona kakifua kamenyanyuka, tumikono tunavimba, wanavaa vibodi suti...mi najazia ndani tu huko sa ya nin?
yaani kwa siku ukikimbia dk 15 its very enough plus push up kadhaa walau 15,na seat up(dont mind the spelling)na zile up and down 10 mtu unakuwa uko sawa kabisa,alafu tuache kula mivyakula vya mafuta sana tea wengine daily kuna baadhi ya watu breakfast bila mayai ya kukaanga haijakamilika plus beer jioni,kiuweli lazima unenepeane,hata uwe busy vipi huwezi kukosa dk 15 walau kwa siku ikishindikana basi walau kila week end,maeneo mengi kunakuwa na mabonanza so tujichanganye wadau.kwa sis wengine tunaopenda swimming hata tusipofanya mazoezi wiki nzia tukienda na kuswim walau two hours its very enough.
siwezi kuacha Baba kijacho.........si unakumbuka hata daktari alinishuri hivo pia...........
thanks for this reminder
We kaseme na mtu wako huko. Kila mwanamke anapenda mwanamume wake awe dizaini fulani. Hako ka cv kako peleka kwako. Sio lazima ukimbize upepo au unyanyue vyuma ndo uwe fiti. Njia ziko lukuki. Au unavizia watu jim hawaji huko ndo ukakasirika? Nimepita Gymkana nikakuta wanawake wanavizia watu pale. Baadhi ya gym mambo ni hayohayo. Beach nazo sio salama. Huo ushauri wako ni kama wa giza vile!!.