Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Dude don't take it personal. Sweat it out for your own good.
Pole bana, nimekustukia
Dude don't take it personal. Sweat it out for your own good.
huwa namuadmire sana mwanaume anatenga muda kwa ajili ya mazoezi na kuwa fit
huwa namuadmire sana mwanaume anatenga muda kwa ajili ya mazoezi na kuwa fit
Problem is they are growing fatter by day. Kama Fidel80.
You speak, of what you know not.
Wengi wao huwa wana stress ndio maana wanajikuta wamenenepa bila mpangilio.Kuna mtu hivi karibuni alinikumbusha kitu tulikua tunazungumzia stress akasema wabongo wengi wana stress ndio maana utawaona wanaspend like 4 to 6 hrs baa . Hushindwa kwenda kuona familia zao mapema sababu ya stress sasa kwa kupotezea anaona bora akae baa. Matokeo yake wanajikuta wanaongeza weight taratibu bila kujitambua.kunenepa ovyo ni kuto kujielewa hata akili inakuwa mbaya
Wanaopigwa kimoja cha kichovu utawajua tu! Lakini hatushangai, wewe ndiye sababu.Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.