We mwanamke dah
u HV the guts aiseee
We always point fingers to women and personally I still do vitambi vya wanawake but kwakweli this was needed to be spoken
Guys we need to change aisee mazoezi muhm sana sio lazima ucheze mpira kwa wale Wa basketball o football au gym as real gym but u have to know mazoez Fulani kwaajili ya pumzi na body structure
Example push ups za aina 4 zinayosha kwa pumzi na kujenga mwili
Baiskeli ya mazoez pia kwa wengi I hope we can afford kujiachia sio ishu thanks so much miss wish cud HV known u aisee sijui ningekuapa ofa gani kwa hili
uwiiii pole njoo nikuazime the last two days nilikuwa na mawazo hadi nimepungua tena
Umesema ukweli mtupu...get my like. Wanaume tu take this as positive advantage jamani
I agree sweetheart, 100 % uko right its just that sometimes huwa ninashindwa kuseparatisha vitu hivi viwili, sense na maenzi. Kama unaona mtu wako anaharibikiwa (tena mtu wako unayempenda) utamwacha bila kumwambia au kumsaidia kwa kuwa unataka asimame mwenyewe? Sijui but to me I believe in helping, kama atanipuuza that is another issue.
Ntashindwaje kunenepa wakati nakula vizuri
Habari zenu ndugu zanguniiii. Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its good that you manage to pay your bills and your family is well taken care of but dude please!!! Ukitoka kazini unapita pub unaanza moja mbili za kutafutia usingizi, nyama nyama then unaenda home kulala. Seemingly nothing wrong.
But looking again, everything is wrong. You are a lazy bum and a disgrace!
Wanaume wa Bongo hii mumezidi uvivu. Hamjipendi. Hamna muda wa kufanya mazoezi. Mnawaza mibia tu na mitotozz. Mnanenepeana, there are fewer good looking guys to look at each day.
Siku moja moja wekageni magari pembeni mtembee kidogo. Kwenye 6*6 pumzi hamna. Ule mwendo wa kujesemea mtoto wa kike wakati wa kujiswafi ' leo ***** zangu nimelabuliwa' hamna tena. Mukiwa juu mutatuuwa na mipumzi, sie tukiwa juu twaogopa kesi ' he died from a heart attack'. Tumechoookaaaaa.
Ingieni gym. Amkeni mapema rukeni kambaaaa. A fit man is very appealing. I can tell a good ---- from the way he walks. Wajameni jipendeniiiii. Mi bia wekeni pembeni.
Haya mumenisikia mie Karucee. Nuneni but do get your lazy bums moving.
yaani kwa siku ukikimbia dk 15 its very enough plus push up kadhaa walau 15,na seat up(dont mind the spelling)na zile up and down 10 mtu unakuwa uko sawa kabisa,alafu tuache kula mivyakula vya mafuta sana tea wengine daily kuna baadhi ya watu breakfast bila mayai ya kukaanga haijakamilika plus beer jioni,kiuweli lazima unenepeane,hata uwe busy vipi huwezi kukosa dk 15 walau kwa siku ikishindikana basi walau kila week end,maeneo mengi kunakuwa na mabonanza so tujichanganye wadau.kwa sis wengine tunaopenda swimming hata tusipofanya mazoezi wiki nzia tukienda na kuswim walau two hours its very enough.
loh unaraha sana mie jamani sipungui hata nilie kila siku
uwiiii pole njoo nikuazime the last two days nilikuwa na mawazo hadi nimepungua tena
Ngoja nikupe scenario. 6 a.m he leaves for work. Doesnt come home for lunch, but still ana option ya kula healthy, he doesnt. Gulps chips and chicken. Jioni anajisogeza pub in the name of 'dawa ya foleni' saa tano usiku heads home. And this is the norm. Who has the heart to stomach this ---- every single day?
yaani kwa siku ukikimbia dk 15 its very enough plus push up kadhaa walau 15,na seat up(dont mind the spelling)na zile up and down 10 mtu unakuwa uko sawa kabisa,alafu tuache kula mivyakula vya mafuta sana tea wengine daily kuna baadhi ya watu breakfast bila mayai ya kukaanga haijakamilika plus beer jioni,kiuweli lazima unenepeane,hata uwe busy vipi huwezi kukosa dk 15 walau kwa siku ikishindikana basi walau kila week end,maeneo mengi kunakuwa na mabonanza so tujichanganye wadau.kwa sis wengine tunaopenda swimming hata tusipofanya mazoezi wiki nzia tukienda na kuswim walau two hours its very enough.
Ntashindwaje kunenepa wakati nakula vizuri
kwa hiyo siku ile ulikuwa umepungua au umenenepa??