Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,174
Loooh, kwa ufahamu wangu naona aina hizo za husbands zinaendana na makabila, yaani: 1= MCHAGA, 2=MKURYA, 3=MNYAKYUSA, 4=MNGONI, 5=MPARE, ila huyo 10=MSUKUMA. Ninaona nikomee hapo, na wengine endelezeni.