For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

Nipo number 2 hapo, sura mbuzi, kicheko beberu

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Vaislay wewe wataka wa type gani kati ya hizo? utakayemchagua atakuwa ndio mimi
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wasaka ndoa wote watasema wapo namba 10 ili kuiteka mioyo ya wanawake.
 
Sasa wifi naomba unipe haraka hiyo dawa nimfundishe kaka yakooo

huyu ni we kupendeza, kutomjali hata kwa chembe akija kama ni maji ayakute bafuni na we si aje ndo upeleke ... weka mikakati ya kila baada ya miezi mitatu hakikisha yako ipo pouwa najua ya kwake itakuwa imebuba kwa sababu ya hao marafiki hapo unamwashia moto unamsema huku kama unamdharau fulani. ... itamuuma wanaume wa kichaga wanapenda umangi na kuheshimiwa sana hapo akili inaweza anza kumkaa sawa, na akiwa hana anachiokifanya cha maana ndo kabisa utakuwa kichwa cha nyumba wewe .... majukumu makubwa mpe yeye na yanapokwama takeover bila yeye kujua ... mfano ada ya watoto shule mwambie alipie akishindwa we lipia kwa siri huku ukimuuliza likiendelea kuwa bishi hilo dada umeingia choo cha kiume.....
 
mimi kuna siku nakuwa 1, siku ingine 5, siku ingine 2 ,siku ingine 3,siku ingine 7,siku ingine 4,siku ingine 10 etc kulingana na nitakavyo amka,im not perfect and im not a machine kuwa nitakuwa namba 10 maisha yote.
 
Back
Top Bottom