Hongera sana Mpendwa....Mungu ndo kakupa wako hapo hakuna kubisha zaid kukubaliana na matokeo tu
Hizi type zimekuwa so biased on negative side!
hahahhahhaaha Mashindano yakizid sasa inakuwa ni kuharibu kabisaaa
wanasema mtoto kwa mama hakui lakini..
Sasa baba hajui weekend wala nn yeye anakuambia natoka sasa siye hatutaki kutoka mpka najiangaliaga kwenye kioo au natisha nawauliza watu kwani nipoje? Wananiambia mbona upo bomba sana jamaa tu anamichepuko
Tatizo mmezidi nyie
Habari za wekeend....
Hebu jamani tuangalie hapa aina ya Mume,Habitito,swirls,Baby love uliyenaye/Unayepende...Si mbaya na wapendwa wanaume mkachangia tujue wewe ni wa kundi lipi ili wenye target zao wasikosee..
Bantu lady mimime Evelyn Salt
Na wengine woooteee
Mwee!natamani nimpate huyo namba 10!mbona nitaenjoy.habari zako wifi yangu Everysalt?