For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,840
Habari za wekeend....

Hebu jamani tuangalie hapa aina ya Mume,Habitito,swirls,Baby love uliyenaye/Unayepende...Si mbaya na wapendwa wanaume mkachangia tujue wewe ni wa kundi lipi ili wenye target zao wasikosee..

Bantu lady mimime Evelyn Salt

Na wengine woooteee
 

Attachments

  • 1509033_573665819397448_2179462095253830496_n.jpg
    1509033_573665819397448_2179462095253830496_n.jpg
    65.6 KB · Views: 2,613
Vaislay mama namba 10 ndo mambo yote japo kumpata huyo kwa sasa ni ishu nzito wengi wao wa sasa ni Mario na wako kwenye 9-1.
 
Last edited by a moderator:
mmmh hao kina parasite na huyo baby husband loh mbona kazi
 
Nr 3 na 5 hatari zaidi

haoo dawa yao ninayo ndogo sana.... huyo dry mimi nakuwa mara kumi yake ... huyo slave husband atajikuta anajiendesha mwenyewe humo ndani naongea kutokana na experience familia niliyoko
 
haoo dawa yao ninayo ndogo sana.... huyo dry mimi nakuwa mara kumi yake ... huyo slave husband atajikuta anajiendesha mwenyewe humo ndani naongea kutokana na experience familia niliyoko
Duuu heri unaexperience maana kwa wengine tatizo tayari
 
Hao baby huzband ndo bure kabisa ni heri kuishi kisimbe kuliko kuwa na mwanaume mtoto wa mama
yani huyo hata ukimnyima papuchi anashtaki kwa mama ake ptuuuuuu
Hhahhah kila kitu hafanyi mpaka mama aseme lol anikomee
 
Back
Top Bottom