For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

For Ladies:: Tujue aina za Waume Hapa

wifi yako kwa nani na umejiunga juzi juzi humu?

WEWE INAKUHUC NINI?UMEONA NIMEKUTAJA asakuta same hapo??au ndo ......!!pole kwa msiba mzito wa kuangalia nani kajiunga zamani nani kajiunga juzi ila kazi unayo!!
 
WEWE INAKUHUC NINI?UMEONA NIMEKUTAJA asakuta same hapo??au ndo ......!!pole kwa msiba mzito wa kuangalia nani kajiunga zamani nani kajiunga juzi ila kazi unayo!!

Shost jicho na kidole moyo wangu huooo
lazma aulize mke wake anaitwa wifi kwa nani
ili kama nachepuka nikirudi nyumbani anipige hata vichwa viwili...
 
Shost jicho na kidole moyo wangu huooo
lazma aulize mke wake anaitwa wifi kwa nani
ili kama nachepuka nikirudi nyumbani anipige hata vichwa viwili...

bac hii kuitwa wifi kaelewa tofauti kwani hajajua wewe una kaka?
 
Namba 8 hana vigezo vya kuitwa mume na maisha yake ya ndoa yatakuwa ni zaidi ya majanga
 
huyu ni we kupendeza, kutomjali hata kwa chembe akija kama ni maji ayakute bafuni na we si aje ndo upeleke ... weka mikakati ya kila baada ya miezi mitatu hakikisha yako ipo pouwa najua ya kwake itakuwa imebuba kwa sababu ya hao marafiki hapo unamwashia moto unamsema huku kama unamdharau fulani. ... itamuuma wanaume wa kichaga wanapenda umangi na kuheshimiwa sana hapo akili inaweza anza kumkaa sawa, na akiwa hana anachiokifanya cha maana ndo kabisa utakuwa kichwa cha nyumba wewe .... majukumu makubwa mpe yeye na yanapokwama takeover bila yeye kujua ... mfano ada ya watoto shule mwambie alipie akishindwa we lipia kwa siri huku ukimuuliza likiendelea kuwa bishi hilo dada umeingia choo cha kiume.....

Thanx alots ma wiiii miss chaga mbona atakomaaa?
 
Hapa kila huzband atajifanya ni caring huzband
na kila mwanamke atajifanya mme wake ni caring huzband
mme wangu ntamtaja baadae...
Hiyo ndo kawaida ya kijiji chetu hiki hakuna mwenye kasoro,hakuna anayepanda daladala,wote tuna nyumba za maana kama kuna aliyepanga basi ni appatment humu mbona raha wote mambo safi kwa hiyo usijali kila mwanaume kusema yeye ni caring husband
 
Nice post
 

Attachments

  • 1400342253514.jpg
    1400342253514.jpg
    44.7 KB · Views: 98
Back
Top Bottom